NIPASHE

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, Julius Mtatiro.

20Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa kikao hicho katika ofisi zaze zilizoko CUF Vuga, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, Julius Mtatiro, watajadili mambo mazito kwa ajili ya...

MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir.

20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Horera Tabu, alisema Mufti anaondoka usiku kuelekea Ujerumani...
20Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kadhalika, amesema lugha ya Kiswahili ina istilahi chache za kukiwezesha kutumika katika kufundishia masomo ya sekondari na elimu ya juu. Dk. Mkenda aliyasema hayo jana wakati akichangia katika...

Zitto Kabwe.

20Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Msafiri Mtemelwa, alisema Lissu anastahili pongezi kwa kufanikiwa kushinda nafasi hiyo kutokana na...
18Mar 2017
Marco Maduhu
Nipashe
Wamedai kukosa kwa mikopo kunawasababishia kushindwa kupanua wigo wa mashamba yao, na hata wanapovuna hukosa soko la uhakika pamoja na kutumia mashine hafifu za kutengenezea bidhaa za zao hilo....
18Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Akizungumza wakati wa kukabidhi hundi ya Sh. milioni 140 kwa vikundi hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Butamo Ndalahwa, alisema kuwa fedha hizo kutayawezesha makundi hayo kujikwamua...
18Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, yenyewe leo watashuka uwanjani mjini Lusaka, Zambia kuwavaa wenyeji katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika wakiwa na kumbukumbu ya kupata...
18Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
‘Hasimu’ ni neno lenye maana mbili zinazokaribiana. Kwanza ni mtu anayechukiana na mwingine; adui. Pili ni kitendo cha kuepukana baada ya kupita ugomvi. ‘Hasimisha’ ni kitendo cha kugombanisha. ‘...
18Mar 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hii ni baada ya kugundua kuwa kumbe walevi wengine huwateua bi wakubwa wa marafiki zao kuwa wanene. Mie sikungoja nistaafu ili atakayechukua kiti changu amteue mamsapu wangu. Kama mzee K M7 pale...

Waziri wa afya Ummy Mwalimu.

18Mar 2017
Abdul Mitumba
Nipashe
Umri wa mtoto wa Tanzania kisheria ni chini ya miaka 18. Asilimia 44 inayotajwa kwa sasa inawahusu watoto wenye umri wa chini ya miaka 15. Sera ya Maendeleo ya Vijana Tanzania ya mwaka 2007,...
18Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Usafi huu unamwepusha na uwezekano kuambukizwa magonjwa na kupata athari za kikemikali zinazotokana na kemikali,vikolezo na sumu nyingine zinazoleta magonjwa. Usafi ndiyo unaoondoa majitaka,...
18Mar 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Wasomi wa Biblia kitabu cha (Walawi 11) wanafahamu kuwa nyama hii imekatazwa kwenye maandiko matakatifu kuwa isiliwe sababu ya uchafu uliokithiri. Mnyama huyu hula kila kitu kuanzia wadudu,...
18Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hii ilitokana na kuibuka wimbi la mauaji na ukataji viungo vyao kwa imani potofu. Ilidaiwa na baadhi ya waganga wa kienyeji kuwa viungo vyao ni chanzo cha utajiri. Wakati huu hali inaanza...

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi.

18Mar 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe
Akifunga mafunzo ya wiki moja kwa Maafisa Michezo wa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, Manyara na wenyeji Singida, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amesisitiza kuwa michezo ndiyo jambo...

MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia.

18Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mabingwa hao wa Kombe la Kagame, wanahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili kuweza kusonga mbele katika michuano hiyo ya kimataifa. Akizungumza jijini hapa jana, Karia ambaye ameambatana na...
18Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Singida United, Njombe Mji FC ya Njombe na Lipuli FC ya Iringa ndiyo timu zilizopanda daraja na msimu ujao zitashiriki Ligi Kuu Bara. Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa Singida United,...
18Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Mwambusi adai wananafasi kubwa ya kushinda mchezo wa leo dhidi ya Zanaco, Niyonzima, Kaseke ndani...
Akizungmza na gazeti hili kutoka Zanaco, Mwambusi, alisema kuwa kikosi chake kina nafasi ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo kama tu wachezaji watafanya kile walichoelekezwa na benchi la ufundi...

Balozi wa Finland nchini Tanzania, Pekka Hukka.

18Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Fedha hizo zimetolewa kwa ajili ya wilaya za Kilolo mkoani Iringa na Kilombero mkoani Morogoro na zitatumika kuwawezesha wakulima wadogo kuendeleza misitu kwa kuanzisha misitu mipya. Akizungumza...

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Profesa Norman Sigalla.

18Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Profesa Norman Sigalla, akizungumza na watumishi wa TCRA na wajumbe wa kamati hiyo juzi jijini Dar es Salaam, alisema ziara hiyo itakuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika...
18Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Hassan Nassir Ali, alisema tukio hilo lilitokea Jumatano wiki hii saa 8:00 mchana katika gereza la Kiinua Mguu, Kilimani, Mjini Unguja. Alimtaja mfungwa...

Pages