NIPASHE

18Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati hali ikiwa hivyo, utafiti unaonyesha kuwa wanawake wa vijijini wanaongoza kwa kuzaa watoto wengi tofauti na wa mijini kwa asilimia nne. Katibu Mkuu  wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...

daladala zinazofanya safari zake ndani ya manispaa ya dodoma.

18Mar 2017
Paul Mabeja
Nipashe
Wameilalamikia Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) mkoani humo kwa madai ya kuomba rushwa na kuwapa faini kubwa kwa makosa ‘bubu’. Malalamiko hayo yalitolewa jana na...

mafuta ya kula .

18Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo yalisemwa juzi jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania (ACT), Dk. Sinare Sinare, wakati wa mkutano wa mradi wa utafiti shirikishi wa Trans-SEC uliolenga kuboresha hali...
18Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa Masoko wa EATV Ltd, Basilisa Biseko, alisema katika kampeni hiyo iliyoanza Machi Mosi, mwaka huu kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8,...
18Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa mradi huo kwa mkoa wa Dodoma katika kijiji cha Kigwe, wilayani Bahi, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani, alisema hatua hiyo itasaidia kukuza...
18Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Wakati uchaguzi huo ukifanyika leo, jana ulizuka mjadala mkali wakati wa mkutano huku baadhi ya wanachama wakitaka Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe, afutwe uanachama. Tangu...
18Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aidha, waziri na viongozi wengine wanatakiwa pia kuzingatia dhana ya uongozi wa pamoja kwa kuwahusisha wenzao na pia kupata maoni ya wataalamu katika wizara au taasisi wanazoziongoza kabla ya...
17Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*Atoa neno, Kamanda Sirro ataja sababu 3 kumkamata
Lissu aliashiria hayo kupitia andiko lake hilo ikiwa ni muda mfupi kabla ya kukamatwa na polisi mishale ya asubuhi wakati akiwa nyumbani kwake, eneo la Area C mjini Dodoma, jana. Katika andiko...

tundu lissu.

17Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, mahakama hiyo imesema mlalamikaji, Wakili wa Kujitegemea, Onesmo Mpinzile, hana mamlaka ya kufungua kesi hiyo na kwamba hakuna ushahidi uliothibitisha kuwa ni mwanachama halali wa TLS na...
17Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kimsingi inaweza ikawa rahisi kuanzisha biashara yoyote, kwani kuna fursa za kutosha za kuanzisha biashara kulingana na mtaji na maarifa aliyonayo mtu ya kufanya biashara. Lakini, ugumu huwa ni...
17Mar 2017
Peter Orwa
Nipashe
Hilo ni moja ya mambo ambayo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inayasimamia, ikijumuisha benki na hata taasisi za fedha zenye mtaji usiopungua Sh. milioni 800 katika kuendesha biashara yake. BoT kupitia...
17Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naanza kutoka jasho hata kabla sijapata staftahi. Natazama mitaa ya hapa Chake Chake huku nikifikiria wimbo wa Fredy Ndalla Kasheba uliotwa ‘Marashi ya Pemba.’ Joto ninalokabiliana nalo haliakisi...
17Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Nchi hiyo ilinunua kilowati milioni 20.87 kutoka kwa jirani yake huyo, kiwango ambacho ni sawa na mahitaji ya miezi minne ambacho serikali ya Kenya ilikuwa ikiagiza. Ukame ambao umekumba sehemu...
17Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa CBT, Hassan Jarufu, amewaambia Wadau wa Korosho kwamba, inaaza na jumla ya miche milioni 10 itakayosambazwa mwaka huu kwa wakulima wa mikoa mitano inayolima zao hilo kitaifa...
17Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Ni jambo la kawaida kama ilivyo tofauti kati ya jamii moja na nyingine ama taifa na taifa au taifa na mataifa mengine. Si jambo la ajabu kutokana na asili ya binadamu, kwamba ni vigumu sana kukuta...
17Mar 2017
Jenifer Gilla
Nipashe
Miongoni mwa mizigo hiyo husafirishwa kwenda nchi za nje kwa ajili ya matumizi wanayoyafahamu wao. Baadhi yake husafirishwa kwenda kwenye masoko ya kimataifa kama vile Kenya, Uganda, Jamhuri ya...
17Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Imetoa changamoto kwa serikali kulifanya eneo la kuendeleza kilimo katika Ukanda wa Nyanda za Juu (Sagcot) kuwa maalum ukanda wa viwanda kwa mazao ya biashara ili kuchocheo maendeleo na ukuaji wa...
17Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
*Wamo waliohusishwa uswahiba na CUF
Hali hiyo inatokana na kuundwa kwa kamati maalumu ya kufuatilia mwenendo wa kimaadili wa baadhi ya makada wanaotuhumiwa kukiathiri chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu uliopita. Jumamosi iliyopita...
17Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Aidha, Kamishna Boaz amesema ofisi yake imetoa taarifa kwa kutumia mfumo wa kiuchunguzi kwa Jeshi la Polisi la Kimataifa (Interpol) kumsaka mwanachama huyo wa Chadema, lakini bado halijapata mrejesho...

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

17Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Aidha, alisema wapo viongozi wanaopenda kutunga sheria wakiwa katika majukwaa ya siasa, hatua ambayo inafanyika kinyume cha sheria. Alisema hayo katika mikutano yake ya hadhara iliyofanyika jijini...

Pages