NIPASHE

26Jan 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Ajali hiyo iliyohusisha gari dogo lenye namba za usajili T 959 ARC, pia ilimjeruhi mwanamke ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Wakizungumza jana na gazeti hili, baadhi ya mashuhuda wa...
26Jan 2017
Rose Jacob
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi, alisema tukio hilo lilitokea Januari 23, mwaka huu saa 20:00 usiku katika Kijiji cha Igombe `A' Kata ya Bugogwa Wilaya ya Ilemela. Ilidaiwa kuwa...
26Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mpango huo umelenga kuwasaidia wanafunzi kupambana na vitendo hivyo katika maeneo yao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Ofisa Sheria wa WLAC ambaye pia ni Mratibu wa...
26Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za klebya hubadili akili au fikra za mtumiaji, hivyo kuwa tofauti na akili ya kawaida. Aina hii ya dawa, huwa hazitumiwi kwa lengo la kuleta tiba au manufaa...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
JKT Ruvu imepanga kuanza kuutumia uwanja huo kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya Stand United ambao awali ulikuwa ufanyike kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi Mkoani Pwani. Kwa mujibu wa taarifa...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Bocco, alisema mchezo huo utakuwa mgumu kutokana na kila timu kuhitaji pointi tatu muhimu. "Haimaanishi kwa sababu tuliwafunga kwenye mchezo wa fainali wa kombe la...
26Jan 2017
Woinde Shizza
Nipashe
Mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini, ulikuwa wa upinzani mkubwa hasa kutokana na timu hizo kujuana vizuri. Goli pekee la Madini lililowahakikishia kutinga hatua hiyo...

Rais John Magufuli akiendesha basi la utoaji huduma ya yaendayo haraka (BRT) baada ya kukagua katika uzinduzi wa miundombinu ya mradi wa huo kwa awamu ya kwanza jijini Dar es Salaam jana.

26Jan 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Sambamba na hilo, Rais Magufuli amewataka mawaziri hao kumpelekea taarifa ya mradi huo kama umeleta faida ama hasara tangu kuanza kufanya kazi na kwamba hataki kusikia kitu kinachoitwa hasara....
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Barua ya juzi ya Katibu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Godfrey Nkini, iliyoifikia Nipashe jana ilisema hakuna waraka au tangazo lolote la kanisa hilo ambalo liliwahi kutolewa kuhusu...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pondambali, alisema kuwa moto waliouwasha hakuna timu inayoweza kuizuia na hivyo kuwahakikishia mashabiki wa timu hiyo watarajie kuiona timu yao kileleni."Sisemi kwa kuwaogopesha wapinzani wetu...

Humphrey Polepole.

25Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Hatua hiyo ya Polepole inatokana na viongozi kadhaa wakuu wa upinzani wakiwa tayari wameshatabiri kifo cha CCM kabla ya mwaka 2020. Vyama vya siasa vinavyounda Ukawa (Umoja wa Katiba ya Wananchi)...

NAHODHA wa Simba, Jonas Mkude.

25Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya Mkude iliyosambazwa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Hajji Manara, ilisema jana kwamba kuna taarifa ya upotoshwaji inayosambazwa mitandaoni ikisema wachezaji wa timu hiyo wanadai mishahara...
25Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Kwa upande wa ubunge, kulikuwa na uchaguzi katika Jimbo moja la Dimani visiwani Zanzibar, Juma Ali Juma wa CCM akashinda kwa kura 4,860 na kufuatiwa na mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF),...
25Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Katika mikataba hiyo, nchi hizo zimekubaliana kushirikiana katika maeneo tisa, ikiwamo shughuli za viwanda ambako ndiko hasa ilipo dira ya Serikali ya Awamu ya Tano ambayo imepania kuifanya nchi kuwa...
25Jan 2017
Frank Monyo
Nipashe
Kupitia huduma hiyo, watoto hao wataunganishwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupitia  huduma ya Toto Afya Kadi. Tayari watoto 50 kati ya watoto 200 katika mradi huo kwa awamu ya kwanza...
25Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mwanasheria wa Ofisi ya Takwimu Tanzania (NBS), Oscar Mangula, baada ya kumalizika kwa mjadala wa Sheria ya Takwimu na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ulioandaliwa...

Askofu Dk. Owdenburg Mdegella kulia.

25Jan 2017
Friday Simbaya
Nipashe
Nyumba hiyo yenye thamani ya Sh. milioni 55, ipo eneo la Kihesa - Kilolo, Manispaa ya Iringa na gari aina ya Toyota Hiace Double Cabin yenye thamani ya Sh. milioni 68. Askofu Mdegella aliyezaliwa...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

25Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ahadi hiyo ilitolewa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa Kichina hapa nchini. Sherehe hizo zilihudhuriwa na raia wa China na Tanzania katika viwanja vya...

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita.

25Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Jana Nipashe ilishuhudia katika mtaa wa Sokoine Kanda ya Ilala saa 9:11 watumishi wa kampuni husika ikiendelea kutoa risiti za kawaida zenye mhuri wa kampuni ya uwakala ya Kaps Ltd. Moja ya risiti...

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni.

25Jan 2017
Gurian Adolf
Nipashe
Masauni alitoa agizo hilo alipokuwa akijibu taarifa ya maendeleo ya Mkoa wa Rukwa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa, Zelothe Steven mjini hapa juzi. Katika taarifa yake hiyo, Mkuu wa Mkoa alidai kuwa baadhi...

Pages