NIPASHE

Rais John Magufuli akiendesha basi la utoaji huduma ya yaendayo haraka (BRT) baada ya kukagua katika uzinduzi wa miundombinu ya mradi wa huo kwa awamu ya kwanza jijini Dar es Salaam jana.

26Jan 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Sambamba na hilo, Rais Magufuli amewataka mawaziri hao kumpelekea taarifa ya mradi huo kama umeleta faida ama hasara tangu kuanza kufanya kazi na kwamba hataki kusikia kitu kinachoitwa hasara....
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Barua ya juzi ya Katibu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Godfrey Nkini, iliyoifikia Nipashe jana ilisema hakuna waraka au tangazo lolote la kanisa hilo ambalo liliwahi kutolewa kuhusu...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pondambali, alisema kuwa moto waliouwasha hakuna timu inayoweza kuizuia na hivyo kuwahakikishia mashabiki wa timu hiyo watarajie kuiona timu yao kileleni."Sisemi kwa kuwaogopesha wapinzani wetu...

Humphrey Polepole.

25Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Hatua hiyo ya Polepole inatokana na viongozi kadhaa wakuu wa upinzani wakiwa tayari wameshatabiri kifo cha CCM kabla ya mwaka 2020. Vyama vya siasa vinavyounda Ukawa (Umoja wa Katiba ya Wananchi)...

NAHODHA wa Simba, Jonas Mkude.

25Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya Mkude iliyosambazwa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Hajji Manara, ilisema jana kwamba kuna taarifa ya upotoshwaji inayosambazwa mitandaoni ikisema wachezaji wa timu hiyo wanadai mishahara...
25Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Kwa upande wa ubunge, kulikuwa na uchaguzi katika Jimbo moja la Dimani visiwani Zanzibar, Juma Ali Juma wa CCM akashinda kwa kura 4,860 na kufuatiwa na mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF),...
25Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Katika mikataba hiyo, nchi hizo zimekubaliana kushirikiana katika maeneo tisa, ikiwamo shughuli za viwanda ambako ndiko hasa ilipo dira ya Serikali ya Awamu ya Tano ambayo imepania kuifanya nchi kuwa...
25Jan 2017
Frank Monyo
Nipashe
Kupitia huduma hiyo, watoto hao wataunganishwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupitia  huduma ya Toto Afya Kadi. Tayari watoto 50 kati ya watoto 200 katika mradi huo kwa awamu ya kwanza...
25Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mwanasheria wa Ofisi ya Takwimu Tanzania (NBS), Oscar Mangula, baada ya kumalizika kwa mjadala wa Sheria ya Takwimu na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ulioandaliwa...

Askofu Dk. Owdenburg Mdegella kulia.

25Jan 2017
Friday Simbaya
Nipashe
Nyumba hiyo yenye thamani ya Sh. milioni 55, ipo eneo la Kihesa - Kilolo, Manispaa ya Iringa na gari aina ya Toyota Hiace Double Cabin yenye thamani ya Sh. milioni 68. Askofu Mdegella aliyezaliwa...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

25Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ahadi hiyo ilitolewa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa Kichina hapa nchini. Sherehe hizo zilihudhuriwa na raia wa China na Tanzania katika viwanja vya...

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita.

25Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Jana Nipashe ilishuhudia katika mtaa wa Sokoine Kanda ya Ilala saa 9:11 watumishi wa kampuni husika ikiendelea kutoa risiti za kawaida zenye mhuri wa kampuni ya uwakala ya Kaps Ltd. Moja ya risiti...

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni.

25Jan 2017
Gurian Adolf
Nipashe
Masauni alitoa agizo hilo alipokuwa akijibu taarifa ya maendeleo ya Mkoa wa Rukwa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa, Zelothe Steven mjini hapa juzi. Katika taarifa yake hiyo, Mkuu wa Mkoa alidai kuwa baadhi...
25Jan 2017
Romana Mallya
Nipashe
Meneja Uhusiano wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Udart), Deus Bugaywa, akizungumza na waandishi wa habari jijini jana, alisema kutokana na ukubwa wa tukio hilo, wanawajulisha watumiaji wa huduma...
25Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Kadhalika, walimu wengi nchini hawafahamu changamoto zinazowakabili wanafunzi, hali inayochangia kuwapo kwa ufaulu mdogo. Mkurugenzi wa Mafunzo na Elimu ya Jamii, Solvia Temu, aliyasema hayo jana...
25Jan 2017
Richard Makore
Nipashe
Ni uchaguzi ambao ulikuwa na ushindani mkali kuanzia kwenye kampeni hadi siku ya upigaji kura kama tulivyoushuhudia. Katika hali kama hii inayohusisha vyama tofauti vya siasa vikigombania viti vya...
25Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Ipo tayari kumsajili kama wataridhidhwa na kiwango chake, ila hawatamtumia msimu huu kutokana na....
Akizungumza na Nipashe jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe, alisema kuwa kwa kuwa mshambuliaji huyo aliondoka kwenye klabu yake ya Sonderjyske ya Denmark akiwa...
25Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Tunakwenda mbele ama tumerudi nyuma
Wanaharakati mbalimbali walitoa tathimini ya siku 100 za rais wa awamu ya tano, John Magufuli, wakionyesha jinsi ambavyo usawa wa kijinsia unaendelea kupigwa mweleka kadri siku za utendaji wa...
25Jan 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Ofisi ya Bunge, kamati za Bunge zimeanza vikao vyake Januari 16, mwaka huu ikiwa ni pamoja na kutembelea na kukagua...

Katibu Mkuu Antonio Manuel de Oliveira Guterres.

25Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni mwanasiasa na mwanadiplomasia kutoka Ureno ambaye alikuwa kwa miaka kumi iliyopita Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kusaidia wakimbizi (UNHCR), nafasi ambayo kimsingi ni ya...

Pages