NIPASHE

24Jan 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Wao waliona madini ni kila kitu, huku wakimuomba Rais Dk. John Magufuli atimize ahadi yake ya kuwasaidia wachimbaji wadogo. Madini ni sekta inayoweza kuwadanganya watu na kuwafanya waache kufanyia...
24Jan 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kwa kawaida mwaka mmoja huwa na miezi 12. Lakini katika kalenda ya Kichina kuna miaka yenye miezi 13.Hiyo inatokea mara saba katika kila kipindi cha miaka 19. Muda wa mwaka wa kawaida ni siku 353...
24Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Matokeo ya mtihani wa taifa wa upimaji wa kidato cha pili.uliofanyika Novemba 14, mwaka jana na kutangazwa hivi karibuni, umeonyesha kuwa, shule tisa za mkoa wa Mtwara ni miongoni mwa kumi...
24Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
aeleza Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), Edda Sanga, alipozungumza na Nipashe. Mwanamke ni nguzo muhimu katika familia kwa kuzalisha na kulea nguvu zake...

ASKOFU wa Jimbo Kuu la Arusha, Josphat Lebulu.

24Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza wakati wa ibada maalum ya uzinduzi wa shule hiyo jana kwenye Kanisa la Utatu Mtakatifu kwa Murombo ilipo shule hiyo, Askofu Lebulu alisema itasaidia wananchi kuondokana na ujinga wa...
24Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwa niaba ya wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite mwishoni mwa wiki, mliki wa mgodi kitalu B, eneo la Kileleni, Abubakari Madiwa, alisema hali ya upatikanaji wa madini hayo...
24Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Taarifa hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, wakati akifungua mkutano wa wadau na wataalam wa afya mkoani humo mwishoni mwa wiki. Alisema takwimu zinaonyesha kuwa, vifo vya...
24Jan 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe
Kamishna Andengenye alitoa wito huo wakati akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, AbdulAziz Abood, aliyetembelea kikosi hicho mkoani hapa ili kujua changamato zilizopo, ikiwa ni siku...
24Jan 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe
Amewapongeza madiwani wa halmashauri zote za mkoa huo kwa kushiriki kikamilifu katika awamu ya kwanza ya utambuzi wa mifugo kwa ufanisi mkubwa mkoani humo. Dk. Kebwe alisema hayo mwishoni mwa wiki...
24Jan 2017
Idda Mushi
Nipashe
Walitoa wito huo kwa nyakati tofauti wakati wakizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wanachama hao walidai baadhi ya viongozi wa vyama hivyo wamekuwa wakitumia madaraka yao vibaya na...
24Jan 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mjini hapa juzi, Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi, alisema nia ya serikali kuhamishia makao yake makuu ni kufanya mkoa huo uwe kitovu cha biashara na...

Hija Ugando kulia.

24Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ugando hana nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha timu hiyo tangu timu hiyo ilipoanza kuwa chini ya kocha Joseph Omog mwanzoni mwa msimu. “Sina tatizo, kama unakaa benchi na wachezaji...
24Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Samatta alifunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya As Eupen kwenye mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A nchini humo kwenye Uwanja wa Kehrweg mjini Eupen. Nahodha huyo wa timu ya taifa...
24Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Ajali hizo za kila mara nyingi zimegawanyika katika makundi mawili. Zipo zinazosababishwa na mtu mwenyewe binafsi na aina ya ajali nyingine, ni ambayo mtumia chombo cha moto kumsababishia mwingine...
23Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Droo hiyo iliyopangwa mjini Libreville, Gabon siku mbili kabla ya kuanza kwa Afcon 2017, inamaanisha safari hii Taifa Stars haitaanzia kwenye mchujo. Furaha ya kwanza kwa Watanzania ni kwenda moja...

Tundu Lissu.

23Jan 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Yataja silaha yake kulikabili Jeshi la Polisi, CUF yalia hujuma uchaguzi Dimani marehemu akipiga kura
Lissu ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, aliyasema hayo katika mahojiano na Nipashe juu ya hatua wanazochukua baada ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, kudai kuwa serikali...

Simon Msuva.

23Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na kuwa mmoja wa wachezaji wanaowania kiatu cha dhahabu msimu huu. Aliwahi kuwa mfungaji bora kwenye Ligi Kuu msimu wa 2014/15, akipachika mabao 17. Huyu ni...
23Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ina maana imecheza dakika 630 bila mastaika kufunga bao. Simba, inayoongoza kwenye Ligi Kuu kwa pointi 45, imeonekana kusaidiwa zaidi kufika hapo kutokana na uwezo wa viungo wao wa kati na pembeni...

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.

23Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza mjini hapa mwishoni mwa wiki baada ya kufunga mkutano wa wanachama wa ushirikiano wa mambo ya umeme wa nchi za Afrika ya Mashariki (Eastern Africa Power Pool), Waziri wa Nishati na...
23Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia, Prof. Simon Msanjila, kwenye mahafali ya nane ya chuo hicho ambayo wanachuo 460 wamehitimu kozi mbalimbali za astashahada na...

Pages