NIPASHE

05Jan 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe
Mkulima huyo, Fabian Bago (21), amefariki dunia katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Morogoro, alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kukatwa mapanga kichwani na watu wanaodaiwa kuwa ni wafugaji wa...
05Jan 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe
Walimlalamikia kuwa wanapofikisha masuala yao kituo cha polisi, wafugaji hawachukuliwi hatua zozote kwa madai wamekuwa wakitoa fedha kwa baadhi ya askari polisi na kutoa mwanya kwa wafugaji hao...
05Jan 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Hali hiyo inatokana na ekari 2,300 za mashamba ya vyama vya ushirika yaliyomilikishwa kwa wawekezaji hao hivi sasa kutumika kulima mboga, mahindi na maharage badala ya zao hilo. Ofisa Ushirika wa...
05Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Kwamba utumbuaji wa majipu katika serikali ya awamu ya tano umeikumba pia Mahakama ya Tanzania. Kwamba katika Mahakama mahakimu zaidi ya 60 wamejikuta wakifikishwa kortini kukabiliana na makosa...

MBUNGE wa Handeni Mjini (CCM), Omari Kigoda.

05Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kigoda alitoa agizo hilo juzi kwenye ziara yake ya kikazi ya katika kata hiyo kukagua miradi ya maendeleo na alipofika shuleni hapo, alikuta ujenzi wa darasa lakini sakafu yake ikiwa chini ya kiwango...

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla.

05Jan 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Tume zilizoundwa ni za watu watatu kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambayo pia ina watu watatu. Kila tume itafanya kazi kwa wakati wake...
05Jan 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Wananchi hao wameamua kuishi chini ya miti na wengine kwenye mahema kwa kipindi cha miezi mitatu sasa huku wagonjwa, watoto na wazee wakipata adha na usumbufu mkubwa. Uongozi wa Halmashauri...
05Jan 2017
Dege Masoli
Nipashe
Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga, Swalehe Byarugaba, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Nipashe kuhusiana na changamoto mbalimbali
zinazoikabili mamlaka hiyo katika kukusanya kodi za serikali....

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Onesmo Lyanga, akiwa na waziri mkuu kassim majaliwa.picha na maktaba

05Jan 2017
Anceth Nyahore
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Onesmo Lyanga, aliwaambia waandishi wa habari ofisini kwake jana kuwa
watuhumiwa hao walikamatwa Januari 2, mwaka huu saa 11:00 jioni kijijini hapo. Kamanda...
05Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza juzi usiku baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Simba ambao walifungwa bao 1-0, Msoma, alisema kikosi cha Simba kina wachezaji wenye uwezo mkubwa na walifanya kazi ya ziada...
05Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Farid anasubiri leseni hiyo kutoka kwa Shirikisho la Soka Hispania (RFEF). Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya mtandao, Farid, alisema tangu afike Hispania amekuwa akifanya mazoezi pamoja na...

Kocha wa Majimaji ya Songea, Kally Ongala.

05Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Ongala, alisema kwa sasa wanaendelea na programu yao ya mazoezi ya kila siku, lakini watacheza michezo miwili na timu za mkoani Ruvuma. "Sisi tunatumia muda huu ligi...
05Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Inadaiwa watu duniani kote, hasa wale walio katika nchi zinazoendelea, wanakabiliwa na mwongo wa hatari kutoka kwa maambukizi mapya ya magonjwa sugu, miili kukosa kinga kikamilifu na dawa za kukabili...
05Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kimsingi, ni taarifa inayotangaza kufunguka mpango wenye tija katika harakati za kuwalinda tembo Afrika, ambao hivi sasa wanaelezwa wako hatarini kutoweka. Kuchukuliwa hatua hiyo ni pigo kubwa kwa...
05Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pombe imetajwa kuwa kinywaji kinachosababisha aina saba za saratani na watu wanaoitumia hata kwa kiwango kidogo, wanajiweka katika hatari ya kuugua ugonjwa huo. Hayo yatokanayo na matokeo ya...
05Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sehemu hiyo ikiharibika, inasababisha kazi zilizokuwa zinafanywa na sehemu hiyo kutokufanyika. Kiharusi ni hali ya dharura inayohitaji matibabu ya haraka na ya umakini. Kuna aina tatu za kiharusi...

Godbless Lema (Chadema), akiwapungia mkono wafuasi wa chama hicho, alipokuwa akitoka kusikiliza rufani yake.

05Jan 2017
John Ngunge
Nipashe
Kufuatia notisi hiyo iliyosajiliwa Ijumaa iliyopita katika masjala ya Mahakama ya Rufani Arusha, shauri la dhamana ya Lema sasa litatinga Mahakama ya Rufani katika siku itakayopangwa. Lema ambaye...
05Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Katika ubomoaji huo, wastani wa watu 2,000 walikosa makazi, katika azma ya serikali ni kuokoa maisha ya wananchi wanaokumbwa na mafuriko kila msimu wa mvua. Hatua ya ubomoaji nyumba, ilitekelezwa...
05Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Ajali za mara kwa mara, nyingi ikielezwa kuwa zinachangiwa na kutozingatia sheria za usalama barabarani. Pamoja na hayo, usafiri huu umeongeza ajira kwa vijana ambao wengi wao walikuwa vijiweni...

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka.

04Jan 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Aidha UVCCM umeelezea kufurahishwa kwao na kuunga mkono uamuzi huo ambao umethibitisha kuwa Rais Magufuli ni mtawala anayejali, kuthamini na kupigania maslahi ya wananchi wanyonge na wenye vipato...

Pages