NIPASHE

26Jan 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, LAAC imemwagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa miradi hiyo ili kujiridhisha kama fedha zilizotolewa kwa ajili ya kazi hizo zilitumika...

mmoja wa majerehi katika tukio hilo.

26Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
MAJERUHI wasimulia wenzao watano walivyouawa kwa risasi za wanajeshi, kisa kilianzia mifugo kuingizwa msitu wa hifadhi...
Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani humu, linawashikilia askari sita wa Suma JKT kwa mahojiano. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ripoti ya Dunia ya Malaria kwa mwaka 2015, inaonyesha idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa malaria imeporomoka kwa asilimia 66 miongoni mwa makundi ya umri wote. Aidha ugonjwa huo umeporomoka...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
• Nta ndani ya sikio huzalishwa na mwili ili kuyafanya masikio yetu yawe laini, safi na katika hali iliyo salama., • Kutumia pamba kusafishia masikio kimsingi kunaweza kuongeza madhara zaidi.
Bado wataalamu hao wanasisitiza kwamba, haitakiwi mtu kutumia pamba kusafisha masikio yake. Kwa mujibu wa maelekezo yaliyochapishwa hivi karibuni katika Jarida la Sayansi la Otolaryngology,...
26Jan 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Sasa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imeamua kuchukua hatua kadhaa za tahadhari. Ni zipi? Waziri mwenye dhamana - Ummy Mwalimu katika taarifa yake,...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya wizara inayohusika na afya imesema, sehemu kubwa ya wagonjwa ni wanaotoka vijijini na katika sehemu zilizotajwa, kuna wagonjwa 35 wenye hali mbaya. Hadi sasa serikali inasema...
26Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Meneja Maonyesho ya Kilimo mkoani Arusha, Yolanda Santos, wakati akizungumzia maonyesho ya kilimo na zana zake yatakayofanyika kwa siku mbili Januari 26 na 27, mwaka huu katika...
26Jan 2017
Asraji Mvungi
Nipashe
Kiongozi wa wafanyabiashara hao, Adolf Loken na baadhi ya wajasiriamali licha ya kukiri eneo hilo ni mali ya halmashauri, walisema taratibu zinazotumika kuwaondoa zina ajenda ya...
26Jan 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Tukio hilo lilitokea ikiwa ni siku tano tu tangu Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kueleza hairidhishwi na hali ya usalama katika uwanja huo ambao walisema umegeuzwa uchochoro wa kutoroshea...
26Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Wito huo uliutoa alipotembelea nyumba ya kurekebisha tabia kwa vijana walioathirika na dawa za kulevya katika mtaa wa Mpandae, mkoa wa mjini Magharibi Unguja juzi. Alisema serikali imekua...
26Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Akitoa tamko hilo, Mwigulu alisema kuanzia sasa, utaratibu wa wakimbizi kuingia nchini kwa makundi umefutwa. Waziri Mwigulu alisema kama mgeni anatafuta hifadhi ya ukimbizi, ni lazima ajadiliwe na...
26Jan 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Usalama wa chakula katika ngazi ya taifa unakuwapo pale ambapo wananchi wote, kwa wakati wote, wanapokuwa na uwezo wa kiafya,...
26Jan 2017
Joctan Ngelly
Nipashe
Kesi hiyo ya mauaji, iliahirishwa juzi na Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, Elia Baha, wa mahakama hiyo. Upande wa mashtaka ukioongozwa na Wakili wa Serikali, Robert Magige, ulidai kuwa upelelezi wa...

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk. Dalali Kafumu.

26Jan 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk. Dalali Kafumu, alitoa ushauri huo baada ya watendaji wakuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, walipokutana na kamati hiyo juzi na kuelezea mikakati ya serikali ya...
26Jan 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Ajali hiyo iliyohusisha gari dogo lenye namba za usajili T 959 ARC, pia ilimjeruhi mwanamke ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Wakizungumza jana na gazeti hili, baadhi ya mashuhuda wa...
26Jan 2017
Rose Jacob
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi, alisema tukio hilo lilitokea Januari 23, mwaka huu saa 20:00 usiku katika Kijiji cha Igombe `A' Kata ya Bugogwa Wilaya ya Ilemela. Ilidaiwa kuwa...
26Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mpango huo umelenga kuwasaidia wanafunzi kupambana na vitendo hivyo katika maeneo yao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Ofisa Sheria wa WLAC ambaye pia ni Mratibu wa...
26Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za klebya hubadili akili au fikra za mtumiaji, hivyo kuwa tofauti na akili ya kawaida. Aina hii ya dawa, huwa hazitumiwi kwa lengo la kuleta tiba au manufaa...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
JKT Ruvu imepanga kuanza kuutumia uwanja huo kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya Stand United ambao awali ulikuwa ufanyike kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi Mkoani Pwani. Kwa mujibu wa taarifa...
26Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Bocco, alisema mchezo huo utakuwa mgumu kutokana na kila timu kuhitaji pointi tatu muhimu. "Haimaanishi kwa sababu tuliwafunga kwenye mchezo wa fainali wa kombe la...

Pages