NIPASHE

10Nov 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kibaya zaidi ni kwamba hata serikali zao haziwatambui wala kuwasaidia kupata haki zao, kwa sababu ya mila na desturi potofu kuwa mwanamke hatakiwi kurithi ardhi. Lakini upo bayana kuwa, wanawake...
10Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa pembejeo Wilaya ya Moshi, Julius Too, alimweleza Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba, kuwa  wameshindwa kusambaza pembejeo kwa wakulima kutokana na serikali...
10Nov 2016
Mary Mosha
Nipashe
Mfanyabiashara, Harison Nko, alidai  matapeli katika mji wa Moshi wamekuwa ni changamoto kubwa  hali ambayo itasababisha uchumi kudorora  kutokana na baadhi ya wafanyabiashara kutoka mikoa ya jirania...
10Nov 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli nchini (Trawu) na Tazara, Musa Kalala, alitoa malalamiko hayo katika mkutano mkuu wa tano, uliofanyika mjini hapa. Awali wafanyakazi wa shirika hilo,...
10Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Hiyo ni kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk.Charles Msonde. Watahaniwa waliofanya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka huu, walikuwa 795, 739, kwenye shule za...
10Nov 2016
Mhariri
Nipashe
Ni ugonjwa ambao umekuwa unalipuka kila wakati katika maeneo tofauti na kusababisha vifo na watu wengine kulazwa. Serikali imekuwa ikitoa maelekezo kwa wananchi ili wachukue hatua za tahadhari...
10Nov 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Kutokana na utaratibu huo, ambao ni kama umezoeleka, ndio maana hapa nchini kuna viongozi wa aina hiyo wako kwenye ngazi mbalimbali za uongozi zikiwamo za maamuzi kama Bunge. Hivyo si jambo la...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui.

10Nov 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Tukio hilo lilitokea jana saa 12:00 jioni eneo la Lutare ndani ya Ziwa Tanganyika Manispaa ya Kigoma/Ujiji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui, alithibitisha vifo vya wanafunzi hao...

waziri wa viwanda charles mwijage.

10Nov 2016
Owden Kyambile
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa ESRF, Dk. Kidda Kidawa, alisema mpango huo ambao ulizinduliwa rasmi jana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shabani, umepata mafanikio makubwa kutokana...
10Nov 2016
Idda Mushi
Nipashe
Mchembe amewataka watendaji hao kubuni miradi ya maendeleo ili kupanua wigo wa vyanzo vya mapato na kuiwezesha wilaya kukua kiuchumi. Akizungumza juzi katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya...
09Nov 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Sambamba na kutengua hukumu hiyo, mahakama pia imeamuru kuwaachia huru au kuwafungulia upya mashtaka. Uamuzi huo umetokana na kusikilizwa kwa rufani iliyokatwa na askari hao, Sajenti Theodory...
09Nov 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Dhahiri Kidavashari jana, askari waliofukuzwa kazi ni Petro Magana wa Kikosi...

RAIS John Magufuli.

09Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli alitoa agizo hilo jana katika salamu za rambirambi alizomtumia Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack, kutokana na vifo vya watu 18 katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumapili...
09Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, ilieleza kuwa kutokana na tishio kubwa la ugonjwa huo, Serikali imewataka...

Spika wa Bunge, Job Ndugai.

09Nov 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Hali hiyo ilijidhihirisha jana wakati wabunge walipotoa hoja zinazofanana za kuishauri Serikali kutotia saini Mkataba wa Ubia wa Kiuchumi baina ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya(EAC-EU...
09Nov 2016
Woinde Shizza
Nipashe
Kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo, Jaji Salma Maghimbi alimwamuru Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kumfikisha Lema mahakamani hapo ndani ya nusu saa, baada ya kukaa mahabusu ya polisi kwa...

marehemu Joseph Mungai.

09Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alifikishwa Muhimbili kwa ambulance saa 11:20 jioni...ikagundulika kuwa ameshafariki, Alikuwa nguzo awamu za Nyerere, Mwinyi, Mkapa hadi Kikwete...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Aminiel Aligaesha, alisema: "Tumepokea mwili wa marehemu Joseph Mungai katika idara yetu ya...
09Nov 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe
Rais Yoweri Museveni wa Uganda, ni miongoni mwa marais wanaotarajiwa kujiondoa kwenye Mahakama hiyo wakati wowote kwani ameshaonyesha dalili kwamba hafurahishwi nayo. Dalili ya chuki dhidi ya ICC...
09Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amekuwa mtu anayejiamini kupata mafanikio katika maisha yake na anasema ni lazima afanikiwe katika kupata tuzo kuu duniani, yaani kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Kwa wafuasi wake, mgombea huyu...
09Nov 2016
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Miongoni mwa hayo ni kauli za hofu kwamba huenda hiyo ilikuwa safari ya mwisho ya BMK kutokana na kutokuwapo uhakika kama hatua ya wananchi kuamua kupitia kura ya maoni ingetekelezwa. Ni kwa...

Pages