NIPASHE

Katibu Mkuu Antonio Manuel de Oliveira Guterres.

25Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni mwanasiasa na mwanadiplomasia kutoka Ureno ambaye alikuwa kwa miaka kumi iliyopita Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kusaidia wakimbizi (UNHCR), nafasi ambayo kimsingi ni ya...
25Jan 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Trump kwenye hotuba yake alisema taifa hilo kwa muda mrefu limehangaikia masuala ya mataifa mengine lakini likasahau kustawisha maisha ya watu wake. Sasa akasema Marekani kwanza, tutafanya yale...
25Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kufuatia ubadhilifu huo, Moris amemsimamisha kazi Mhasibu wa mradi huo, Selestine Dafii, ili kupisha ukaguzi huo ambao ulianza rasmi jana na kuagiza akabidhiwe taarifa ya ukaguzi huo Januari 27,...
25Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Mwanaharakati huyo alisema hayo alipokua akizungumza na waandishi wa habari kutoa tathmini ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani, pamoja na ule wa kuwania viti 22 vya udiwani Tanzania Bara uliofanyika...

MKUU wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga Mwanasha Tumbo.

25Jan 2017
Steven William
Nipashe
Tumbo alisema kuwa mazoezi ni mtaji mkubwa wa Afya kwa binadamu kwa ajili ya kuepukana na magonjwa hayo yasioambukiza kwa kuwa hivi sasa yamekuwa tishio kutokana na watu kukaa bila kufanya mazoezi...
25Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kiungo huyo hakuwepo wakati Mtibwa Sugar inalipotoka suluhu na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumatano iliyopita. Jopo la madaktari la timu...

picha kwa msaada wa global publishers.

24Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Kaimu Meneja Mawasiliano kwa Umma TCRA, Semu Mwakyanjala, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa kwa sasa kuna ongezeko la matapeli wanaowaibiwa watu kwa njia ya mtandao.Mwakanjala alisema baadhi ya...
24Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Jangwani waiomba Serikali waanze kutumia uwanja waTaifa kuanzia sasa...
Awali mchezo huo ulikuwa umepangwa kuchezwa Februari 18. Habari kutoka ndani ya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kwamba sababu ya kusogezwa mbele kwa mchezo huo kunatokana...
24Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Katibu Mkuu wa Simba, Patrick Kahemele, alisema klabu hiyo ya Oman inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo imeonyesha nia ya dhati ya kumtaka mchezaji huyo. “Kwa sasa...
24Jan 2017
Lilian Lugakingira
Nipashe
Kufuatia tukio hilo, uongozi wa hospitali hiyo umeliomba Jeshi la Polisi mkoani Kagera kufanya uchunguzi na kubaini chanzo cha moto huo. Jeshi la Polisi mkoani humu limethibitisha kutokea kwa...
24Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Kwa mujibu wa ofisi ya TRA ya mkoa, taarifa za kuwapo kwa 'mchezo' huo walizipata kutoka vyombo vya dola na kufika eneo la tukio ambako walikuta lori likishusha mzigo huo. Shehena hiyo ilikuwa...
24Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Juma Ali Juma, aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi huo uliofanyika juzi, aliibuka na ushindi kwa kupata kura 4,860 dhidi ya mpinzani wake wa Chama cha...
24Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza mara baada ya kusaini kwa mikataba tisa ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili Ikulu jijini Dar es Salaam jana, Rais Magufuli alisema kampuni ya Uturuki ni miongoni mwa zilizoomba na...
24Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Hata hivyo, katika utekelezaji wa agizo hilo la Rais John Magufuli, uongozi wa wizara hiyo umesema utalazimika kufungua ofisi zake kwenye moja ya majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) wakati...
24Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Maana ya ‘mashaka’ ni matatizo au masahibu/masaibu yanayompata mtu katika maisha; tabu. ‘Shaka’ ni hali ya kujawa na wasiwasi na kukosa uhakika wa jambo; hatihati, wahaka. Pia fukuza; udhanifu,...
24Jan 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Wao waliona madini ni kila kitu, huku wakimuomba Rais Dk. John Magufuli atimize ahadi yake ya kuwasaidia wachimbaji wadogo. Madini ni sekta inayoweza kuwadanganya watu na kuwafanya waache kufanyia...
24Jan 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kwa kawaida mwaka mmoja huwa na miezi 12. Lakini katika kalenda ya Kichina kuna miaka yenye miezi 13.Hiyo inatokea mara saba katika kila kipindi cha miaka 19. Muda wa mwaka wa kawaida ni siku 353...
24Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Matokeo ya mtihani wa taifa wa upimaji wa kidato cha pili.uliofanyika Novemba 14, mwaka jana na kutangazwa hivi karibuni, umeonyesha kuwa, shule tisa za mkoa wa Mtwara ni miongoni mwa kumi...
24Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
aeleza Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), Edda Sanga, alipozungumza na Nipashe. Mwanamke ni nguzo muhimu katika familia kwa kuzalisha na kulea nguvu zake...

ASKOFU wa Jimbo Kuu la Arusha, Josphat Lebulu.

24Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza wakati wa ibada maalum ya uzinduzi wa shule hiyo jana kwenye Kanisa la Utatu Mtakatifu kwa Murombo ilipo shule hiyo, Askofu Lebulu alisema itasaidia wananchi kuondokana na ujinga wa...

Pages