NIPASHE

08Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na kukiuka mambo yaliyoainishwa katika Kanuni za Kudumu za Polisi (PGO) namba 103. Uamuzi huo ulitangazwa jana mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,...
08Nov 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Wazee wamekuwa wakikumbana na usumbufu kwa sababu wanapofika hospitali wakiamini kwamba wanaweza kupata huduma ya matibabu bure, lakini hujikuta wakikwama na hivyo kuwekwa katika wakati mgumu. Kwa...
08Nov 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Hernandez, aliiambia tovuti ya klabu hiyo kuwa wachezaji wake walijiamini sana na kujikuta wakifanya makosa yaliyowagharimu kwenye mchezo huo. "Wachezaji wangu walijiamini sana kwenye mchezo ule...
08Nov 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Kufuatia majukumu hayo ya Twiga Stars, Shirikisho la soka Tanzania (TFF), limesimamisha ligi ya Taifa ya Wanawake. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas, alisema...
08Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkude aliliambia Nipashe jana kuwa, wamepoteza mchezo huo kutokana na makosa ya uwanjani lakini bado wana nia na kiu ya kutwaa ubingwa msimu huu. "Tunafahamu mashabiki wameumia kwa matokeo ya jana...

Kocha mpya wa Yanga, Mzambia George Lwandamina.

08Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Zesco yaanika kila kitu, Hatima ya Pluijm wasaidizi wake sasa...
Kwa pamoja, Justin Mumba na Katebe Chengo Mtendaji Mkuu wa Zesco na ofisa habari wa klabu hiyo, jana walitoa taarifa ya kuachana na Lwandamina.Lwandamina ambaye amekwishamalizana na uongozi wa Yanga...
08Nov 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Ajali hiyo ilitokea saa 1:30 usiku wakati Noah hiyo yenye namba T 232 BQR ikitokea Nzega kwenda Tinde, ilipokuwa inalipita lori aina ya Fuso, kugongana uso kwa uso na lori lenye namba T 198 CDQ...
08Nov 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Kitamkwa ni sauti inayowakilishwa kwa herufi. Kwa hiyo kitamkwa kimoja tu katika neno kinapotamkwa au kuandikwa visivyo huweza kuleta maana tofauti. ‘Hafla’ na ‘ghafla’ ni maneno mawili yenye...
08Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Huo ni msimamo wa msanii Vanessa Mdee, aliutoa wakati akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari katika Ubalozi wa Marekani Tanzania hivi karibuni. Vannesa alikutana na wanafunzi hao wa shule...
08Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Imani hiyo inajengeka kwa sababu amezaliwa na kukulia Marekani, taifa linalosifiwa kwa kuheshimu haki za binadamu na hususan jinsia ya kike.Hata hivyo mwenyewe anaelezea tofauti na mitazamo hiyo...
08Nov 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Wafanyakazi hao wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 1,000 waliweka kambi katika ofisi za PPF, kuanzia saa 1.00 asubuhi kabla ya ofisi hizo kufunguliwa kushinikiza kulipwa mafao hayo. Akizungumza na...
08Nov 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Wakulima hao walitoa malalamiko hayo katika mkutano wa hadhara, uliofanyika katika Kijiji cha Ludewa, mbele ya Mbunge wa Jimbo la Kilosa, Mohamed Bawazir na viongozi wa CCM, wilayani humo....
08Nov 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Awali kabla ya kituo hicho hakijahamishwa, walikuwa wakitumia cha Majengo ambacho walidai hakina usalama kwa ajili ya mali zao na abiria. Akizungumza na Nipashe jana, dereva Haji Ayoub, kwa niaba...
08Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Lakini si za kufurahisha tu, lakini pia zinatia moyo. Ijumaa wiki iliyopita, Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe kwa kushirikiana na balozi wa Israel nchini, aliye na makazi...
08Nov 2016
Mhariri
Nipashe
Mvua hiyo iliyoambatana na upepo mkali, ilinyesha usiku na kusababisha athari kadhaa, ikiwamo kuharibu mazao mashambani na watu watatu kujeruhiwa katika vijiji vya Chakamba, Igara, Bwasa na Lugara...
07Nov 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Aidha, ongezeko hilo limechangiwa na magonjwa ambayo mama mjamzito huugua akiwa mjamzito, mtoto kuzaliwa na manjano au kupata ajali. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...
07Nov 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Katika ratiba ya vikao vya bunge inaonesha Alhamisi Bunge litajadili na kuishauri serikali kuhusu mkataba huo. Waatalamu hao waliitoa tahadhari hiyo jana kwenye semina hiyo iliyofanyika kwa...
07Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akizungumza na Nipashe katikati ya wiki iliyopita, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi, alikiri kuwapo kwa deni hilo ambalo fedha za kujikimu. Katibu Mkuu...

Rais John Magufuli akipokea saluti toka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi.

07Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
• Ni yule aliyetajwa na Magufuli Maliasili...
Akiwa katika ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii, Mpingo House, jijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita, Rais Magufuli alimpongeza Katibu Mkuu Meja Jenerali Gaudence Milanzi kwa kumkamata "Mpemba...
07Nov 2016
Rose Jacob
Nipashe
Kaya 118 zenye watu zaidi ya 700 katika Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, zimekosa makazi, baada ya nyumba zao kubomolewa na nyingine kuezuliwa na mvua iliyonyesha kwa dakika 30 ikiwa imeambatana na...

Pages