NIPASHE

23Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Madereva hao walipata mkasa huo Septemba 14, mwaka huu wakiwa miongoni mwa madereva 15, wakiwamo watano wa Kenya. Waasi baada ya kuwateka madereva hao ambao walikuwa wamekwenda DRC kupeleka mizigo...
22Sep 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kibena, Dk. Francis Benedict, alisema kati ya miili hiyo, tisa imesafirishwa kuelekea mkoani Ruvuma, miwili kuelekea jijini Dar es Salaam na mmoja mkoa wa Kusini...
22Sep 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Tetemeko hilo limeelezwa kuwa na ukubwa wa 5.9 katika vipimo ya majanga hayo kimataifa, na kwa mujibu wa mtandao wa kompyuta wa earthquaketrack.com ndilo kubwa zaidi katika historia kutokea nchini...
22Sep 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, Sylivester Kainda baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka kuthibitisha kosa hilo...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
ikiwa ni siku moja tu baada ya Mkuu wa Nchi huyo kufanya hivyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi kutokana na ajali ya basi iliyoua watu 12 mkoani humo Jumatatu usiku. Taarifa...
22Sep 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
FinCEN katika notisi yake hiyo ilitoa kusudio la kuifungia FBME kutotumia mfumo wa kibenki wa Marekani. Baada ya notisi hiyo, FinCEN na FBME wamekuwa katika mashauriano baada ya uamuzi wa Mahakama...

Madereva wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu zao, baada ya kuwasili uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana baada ya kuokolewa kutoka kwa kikosi cha waasi cha Mai mai nchini Kongo. PICHA: HALIMA KAMBI

22Sep 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Fumbuka na Mshana ni miongoni mwa madereva 15 (10 wa Tanzania na watano wa Kenya) waliotekwa Septemba 14 na kundi hilo lililochoma magari yao na kutaka lipewe dola za Marekani 5,000 kwa kila mmoja...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Seluk alitoa kauli ya kumponda Guardiola kufuatia uamuzi wa kocha huyo kutojumuisha jina la Toure kwenye kikosi cha timu hiyo michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. 
Mapema juzi, Guardiola alisema...
22Sep 2016
Jenifer Julius
Nipashe
Msimamo huo, ulimaanisha kuwa wanafunzi sita wamepungiziwa fursa za kuendelea na masomo ya sekondari na elimu ya juu baada ya hapo kupitia mfumo rasmi. Kwa namna yoyote ile, inasikitisha kusikia...
22Sep 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Kuvunjwakwabarazahilokumezifanyamanispaahizokuanzamchakatowa wiki mbili,kwaajiliyauchaguziwamameyawapyawatakaoongozamanispaahizombili. Wakatimchakatowakupatawakuandaauchaguzihuoukiendelea,...
22Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Ingawa siyo rahisi kabisa kukomesha tabia ya ujambazi, lakini hata wao sasa wamekuwa wakienda kwa tahadhari. Hata hivyo, kuna jambo ambalo nataka kulisemea leo ambalo kwa kiasi kikubwa naona kama...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kuna mabenki yanatoza riba kiasi kwamba unapopata fedha ile badala ya kuona unafuu unajiona kama una mzigo mkubwa tena wa kuubeba. Ingawaje kuna benki chache zinazoweza kukopesha kwa riba...
22Sep 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Ni mfumo ambao tafsiri yake inasimama kwenye dhana kwamba wanaume wanakuwa mstari wa mbele kuhodhi madaraka na maamuzi mbalimbali ya kijamii. Inadaiwa kuwa wanaume wanajitoa katika mengi...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanaweza kujipenyeza ndani wakiwa na visu. Kabla ya kukuua,wanakubaka kwanza. Nilipoona mashambulizi hayo, na watu kufa, nilikimbia pamoja na mwanangu mmoja mwenye umri wa mwaka mmoja. Sikuwa...
22Sep 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Anasema katika kipindi cha ujauzito, hakuwahi kukutwa na tatizo lolote, ikiwamo alipohudhuria kliniki na hata ilipofika wakati wa kujifungua, kwani alijisikia uchungu na aliwahishwa hospitalini kwa...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hati ya mashtaka inadai kwamba Lula alikubali kupokea dola milioni 1.11 (zaidi ya Sh. bilioni 2.2) katika mradi wa mabilioni ya dola. Wakati mashtaka hayo yakiwa tayari, kiongozi huyo pia...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
kwa mujibu wa vyombo vya habari England.
Mourinho, aliyerithi mikoba ya Van Gaal, yuko kwenye wakati mgumu hivi sasa akishuhudia kikosi chake kikipoteza mechi tatu mfululizo katika mashindano yote...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika mechi hiyo ya kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifaifa ya Afrika (U17) kwa vijana kwenye Uwanja wa Uhuru, Serengeti Boys ilishinda mabao 3-2. Taarifa kutoka TFF zinaeleza...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lakini baadhi ya watafiti wanasema ushahidi uliotolewa bado upo chini kiasi ambacho kinahitajika kutoa tamko hilo kubwa na la kihistoria. Katika utafiti huo wa miaka 20, watafiti wa Kifaransa...
22Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mexime, alisema kuwa timu yake si mbaya ila wapinzani wao Mtibwa Sugar walitumia vizuri nafasi mbili walizopata katika mechi yao na kuondoka na ushindi huo muhimu...

Pages