NIPASHE

28Mar 2017
Idda Mushi
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Atashasta Nditiye, alisema mikataba imeonekana kutokuwa wazi kuhusiana na mambo mbalimbali yaliyoelezwa na uongozi wa kampuni hiyo. Akizungumza baada ya kamati...
28Mar 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Baadhi yao wanatoa taarifa za uwongo, na hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi. Makala yangu ya awali niliuliza Wasomaji ni wapi tulikosewa na Serikali na baadaye Bunge katika kupitisha sheria ya...
28Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Kuna makala niliyoandika kuwasahihisha waandishi wanaomwandika Edward Lowassa kuwa Waziri Mkuu ‘mstaafu.’ Niliandika kuwa yeye hakustaafu bali alijiuzulu; kwamba iandikwe Waziri Mkuu aliyejiuzulu...

Sam Kodo.

28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
"Hebu fikiria kuhusu hilo. Kama ukishindwa , angalau unakua umejaribu. Kuna watu wana mawazo fulani, lakini kamwe hawathubutu kuyatekeleza. Hata kama utashindwa, tayari unakuwa umepiga hatua...

Baadhi ya wataalam kutoka BoT wakiwaonyesha viziwi namna ya kutumia taa ya mwanga wa rangi kutambua noti bandia.

28Mar 2017
Lilian Lugakingira
Nipashe
Miongoni mwa elimu wanayodai kuikosa ambayo imekuwa ikisababisha wenzao kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria, ni ile ya utambuzi wa noti halisi na bandia. Kufuatia changamoto hiyo, kikundi...
28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Utafiti uliofanywa na Wanasaikolojia wamegundua kwamba ni dakika chache sana - hasa kwa mtu mwenye umri wa kati ya miaka 18 na 26. Utulivu ni sifuli. Kutokana na utafiti huo, ilibainika kuwa...
28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tatizo hilo linalofahamika kama nocturia, mara nyingi huwaathiri watu walio na umri wa zaidi ya miaka 60,ambao hukabiliwa na tatizo la kupata usingizi hata kuweza kuathiri maisha ya mtu. Uchunguzi...
28Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kamati haikufafanua aina ya hatua ambazo zinapaswa kuchukuliwa kwa maofisa hao, lakini umakini uliopo katika serikali ya awamu ya tano unaashiria upo uwezekano mkubwa kwa maofisa hao kutumbuliwa....

Nay wa Mitego.

28Mar 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Nay wa Mitego alikamatwa juzi na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za uchochezi, kutokana mashairi ya kibao chake 'Wapo' kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii, lakini Waziri Mwakyembe ameamuru...
28Mar 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Kwa mujibu wa ratiba ya Bunge, leo kutakuwa na mkutano wa wabunge wote bungeni kupokea mapendekezo hayo ya bajeti ijayo ya serikali ambayo Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ameshaweka...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angela Kairuki.

28Mar 2017
Furaha Eliab
Nipashe
Ahadi hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angela Kairuki jana akiwa katika ziara ya siku mbili mkoani Njombe, akifuatana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

Balozi Adadi Rajabu.

28Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Balozi Rajabu ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, alitoa ushauri huo jana katika kikao cha kazi cha mwaka cha maofisa waandamizi wa polisi, makamanda wa mikoa...

Victor Wanyama.

27Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lakini ni kwa nini Wanyama amekuwa mchezaji muhimu kwa Tottenham? Mchambuzi Adam Bate, anakueleza... Kumpoteza Harry Kane kutokana na kuwa majeruhi hakika ni changamoto kwa kocha wa Tottenham,...

AISHI Manula.

27Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Stars ilishinda kwa mabao 2-0 kwenye mechi hiyo iliyo kwenye kalenda ya Shirikisho la Soka duniani (Fifa). Kocha Mkuu wa Stars, Salum Mayanga, wakati akiita kikosi hicho, aliwaita makipa watatu...
27Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Goli alilofunga hivi majuzi kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha, likiipa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Madini ya mjini humo kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho nchini maarufu kama FA,...
27Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwa mujibu wa ratiba ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Yanga itaanzia nyumbani Aprili 7, 8 au 9, kabla ya kurudiana ugenini Algeria Aprili 14 hadi 16. Ilipata nafasi hiyo baada ya kutolewa...
27Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyo kwenye kalenda na Shirikisho la Soka duniani (Fifa). Yalikuwa ni mabao ya straika wa kimataifa, Mbwana Samatta anayekipiga kwenye klabu ya KRC Genk...

KAMPUNI ya migodi ya Acacia.

27Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, Acacia imesema makontena yote ya 'concentrate' yaliyo katika bandari mbili hizo yatakuwa na vielelezo vya malipo ya kodi, na kwamba baadhi yalikuwa yameshauzwa. Taarifa ya Makamu wa Rais...

KATIBU Mkuu wa Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa.

27Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Muda mfupi baadaye, taarifa ya 'kutumbuliwa' kwa Prof. Ntalikwa aliyeteuliwa Desemba mwaka 2015, ilitolewa kupitia taarifa ya Ikulu. Taarifa hiyo ilisema nafasi hiyo itajazwa baadaye. Wawili...

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole.

27Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, alitangaza 'panga' hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana akieleza kuwa mageuzi makubwa yanayoendelea ndani ya...

Pages