NIPASHE

Rais Paul Kagame.

27Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Jenerali Nyamwasa na wenzake sita, Kennedy Alfred Nurudin Gihana, Bamporiki Abdallah Seif, Frank Ntwali, Safari Stanley, Dk Etienne Mutabazi na Epimaqur Ntamushobora, waliwasilisha maombi ya kutaka...
27Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, zimepiga marufuku mashine zinazojulikana kama chensoo kutumika kwa ajili ya kukata miti katika maeneo ya makazi ya watu. Badala yake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha, Dk. Wilson...

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Wilbrod Mutafungwa.

27Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Wilbrod Mutafungwa, alithibitisha jana kushikiliwa kwa watu hao kufuatia operesheni maalumu iliyofanywa kwa wiki nzima na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya...
27Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalielezwa juzi na Mhandisi Dorice Mhimbira, kutoka Kitengo cha Malalamiko cha Mamlaka hiyo, wakati akitoa semina elekezi kwa wafanyabiashara ya simu za mkononi, wananchi na watumishi wa...
27Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Kada huyo ambaye pia alikuwa mfanyabiashara wa Jiji la Dar es Salaam, aligombea ubunge wa Viti Maalum Wilaya ya Hai, katika uchaguzi mkuu uliopita. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani hapa,...
27Mar 2017
Said Hamdani
Nipashe
Akizungumza na timu ya waandishi waliotembelea kijijini hapo juzi, mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 16, alidai kuwa alikuwa akipewa vitisho na mwalimu huyo kama angeshindwa kutekeleza matakwa...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

27Mar 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Wamesema kitendo hicho kinawafanya watembee umbali wa kilomita 30 kufuata huduma za matibabu kwenye kata za mbali. Kijiji cha Myovizi kina vitongoji vinne kikiwa na wakazi zaidi ya 4,000....

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza.

27Mar 2017
Friday Simbaya
Nipashe
Amesema ili kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea hifadhi za taifa za kusini, watoa huduma kwa kushirikiana na sekta binafsi hawana budi kuinua viwango vya utoaji wa huduma. Masenza aliyasema...

Zitto Kabwe.

27Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari, Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe, alisema lengo la mkutano wao mkoani hapa ni kuangalia namna wanavyoweza kulifanya Azimio liendane na wakati wa sasa bila ya...
27Mar 2017
Woinde Shizza
Nipashe
Katika mchezo huo uliofanyika juzi kwenye Uwanja wa Barafu , Mirerani dalili za ushindi zilionekana mapema kwa timu ya Songa katika dakika ya nne baada ya Emmanuel Gaza kuandika bao la kwanza kwa...
27Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Fungu la kwanza la wachezaji wa timu ya Simba liliondoka jijini Dar es Salaam jana asubuhi. Meneja wa timu hiyo, Mussa Hassan 'Mgosi' aliliambia gazeti hili jana kuwa wameamua kuweka kambi Kahama...
27Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Samatta ambaye juzi alifunga mabao mawili katika ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Bostwana yuko nchini akiitumikia Taifa Stars, kwa sasa anacheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji...
27Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Lwandamina sasa majaribuni tena, akichanga karata yake ya mwisho katika...
Baada ya mchezo huo, wawakilishi hao pekee wa Tanzania waliobakia kwenye mashindano ya kimataifa watawakaribisha MC Alger kutoka Algeria katika mechi ya kwanza ya mtoano kuwania tiketi ya kucheza...
27Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, mabao yote ya Stars yalifungwa na nahodha wa timu hiyo, Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa Ubelgiji. Samatta alionyesha...
27Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Yosso hao maarufu kwa jina la Serengeti Boys wamefuzu kushiriki Fainali za Vijana za Afrika zitakazofanyika Mei mwaka huu huko Gabon. Katika fainali hizo, Serengeti Boys iliyoko chini ya Kocha...

nay wa mitego.

27Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
"Sisi tuliambiwa tukamatieni mtuletee," Kamanda Matei aliiambia Nipashe. "Tumemkamata na kumpeleka tayari yupo Dar."
Taarifa za kukamatwa kwa msanii huyo zilisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii jana asubuhi baada ya Nay kutangaza kuwa kutiwa kwake mbaroni baada ya 'show' mjini Morogoro. "Nimekamatwa kweli...

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo.

27Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aidha, jeshi hilo limesema linatarajia leo kulipa Sh. bilioni moja kati ya jumla ya Sh. bilioni tatu inazodaiwa na shirika hilo. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliyasema hayo...

Balozi Lusinde.

26Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
*Ni kwa mujibu wa Balozi Lusinde, Waziri wa Nyerere wa kwanza kuongoza Tamisemi…
Mmoja wa mawaziri wa kwanza katika Serikali ya Tanganyika (baadaye Tanzania), Balozi Job Lusinde, ndiye aliyefichua hayo wakati akizungumza katika mahojiano maalumu na Nipashe nyumbani kwake mjini...
25Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Awashukia wazushi kuhusu Kinana, Dk. Mwakyembe
Magufuli aliwaapisha mawaziri hao Ikulu jijini Dar es Salaam jana, Dk. Mwakyembe akiwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kushika nafasi ya Nape Nnauye aliyeenguliwa juzi na Prof. Kabudi...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

25Mar 2017
Frank Monyo
Nipashe
Mkurugnezi Msaidizi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Venerose Mtenga, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam juzi wakati wa uzinduzi wa mradi wa ‘Amua Accelerator’...

Pages