NIPASHE

03Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Katika kutekeleza agizo hilo, wafanyabiashara hao wamesema wananchi wanaopata huduma katika baadhi ya vyoo vya kulipia, wamekuwa wakitaka wapewe risiti za kielektroniki (EFD) badala ya zile za...

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo.

03Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe juzi jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo, alisema tayari vifaa vya kuongeza nguvu ili uhakiki huo ufanyike bila kikwazo...
03Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Prof. Muhongo ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini aliliambia gazeti hili jana kwa njia ya simu kuwa atatoa zawadi hizo Desemba 31 katika sherehe maalumu ya kufunga mwaka wilayani humo. Prof...
03Nov 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Hassan Mpako alipokuwa akizungumza na gazeti hili jana na kufafanua kuwa tani hizo ni mara mbili ya zile za msimu wa mwaka jana. "Mwaka jana tulikusanya tani 21,...
03Nov 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, Dk. Kondo amesema bodi yake itaitisha mikataba yote ya Posta na kuipitia upya ili kuifanyia marekebisho iliyo mibovu, ukiwamo wa jengo la ghorofa tatu lililopo pembeni mwa jengo la Mawasiliano...
03Nov 2016
Chauya Adamu
Nipashe
Hali hiyo inatokana na taarifa za HESLB kuonyesha kuwa hadi jana, tayari ya uhakiki huo ulikuwa umebaini kuwapo kwa wanafunzi 3,000 waliopata mikopo kimakosa kutokana na kupungukiwa vigezo, hivyo...

MWADUI FC.

03Nov 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Kaimu Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Khalid Adam, alisema wamejipanga kutorudia makosa yaliyojitokeza kwenye mechi yao iliyopita dhidi ya Simba na kwamba leo wanahitaji...
03Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uganda itamenyana na Zambia Novemba 8 kabla ya kumenyana na Kongo Brazzaville Novemba 12, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa wa Mandela, Namboole kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018,...

Judith Wambura ‘Lady Jaydee’,

03Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hukumu ya kesi hiyo ya madai namba 29/2013, ilisomwa jana na Hakimu Boniphace Lihamwike, baada ya kupitia hoja za mashahidi wa pande zote mbili. Katika kesi ya msingi, mwanamuziki huyo alikuwa...

Shizza Kichuya.

03Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
***Mipira iliyokufa yawaua vijana wa Jangwani Sokoine, Msimbazi wavunja Stand Sinyanga na...
Hata hivyo kwa watani wao wa jadi, Yanga ndiyo kama mlivyosikia katika dimba la Sokoine, Mbeya. Ushindi huo, unaifanya Simba ifikishe pointi 35 baada ya kucheza mechi 13, wakati Stand inabaki na...
03Nov 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Hakimu Frola Haule anayesikiliza kesi hiyo, alitumia dakika mbili kusoma na kupangia tarehe nyingine ya kutajwa kuwa Novemba 16. Wakati mtuhumiwa akiwa kizimbani, kulikuwa na umati wa watu...
03Nov 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Safari ya kutoka mjini Unguja hadi kijiji cha Matemwe kumfuata mzee Juma Khamisi (sio jina halisi )ambaye mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 14 kufariki dunia baada ya kubakwa. Nilimkuta...
03Nov 2016
Nipashe
Kundi lake linaloundwa na wanawake, limemsaidia kujipatia kipato kinachomuwezesha kuwatunza wajukuu wake yatima, ambao wazazi wao walikufa kwa ugonjwa wa Ukimwi. Dorcus , amemaliza kazi zake za...
03Nov 2016
Happy Severine
Nipashe
Miongoni mwa wanyama ambao wamekuwa wakilalamikiwa mara kwa mara ni Tembo ambao wamekuwa wakivamia makazi ya watu na kufanya uharibifu mkubwa wa mazao, kuua watu, kujeruhi na hata kuwasababishia...
03Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kula yai moja kwa siku hupunguza hatari ya kuugua kiharusi kwa asilimia 12, kulingana na utafiti mpya. Utafiti huo pia unaonyesha kwamba, kula hadi yai moja kwa siku hakuna uhusiano na kuugua...
03Nov 2016
Woinde Shizza
Nipashe
Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Arumeru  Magharibi, Gibson ole Meseyeki, jana wakati alipokutana na waandishi wa habari, kuhusu kuboresha upokeaji wageni wa nje. Alisema serikali...
03Nov 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
WANANCHI wametakiwa kuelewa kwamba miradi ya mafuta na gesi ni fursa nzuri katika maendeleo ya kiuchumi kwa kuimarika huduma za kijamii sambamba na uwezekano wa kuifanya nchi kujijengea...

Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Hamad Rashid Mohamed.

03Nov 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Hamad Rashid Mohamed, alisema hayo alipokuwa akizungumza na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA), Yasuchi Kanzaki. Hamad...
03Nov 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za serikali kwa kipindi cha robo mwaka ya kwanza ya mwaka wa fedha 2016-2017, Kaimu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko, Balozi Ali Abeid Amani Karume,...
03Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kwamba suala la lishe kwa watoto chini ya miaka mitano limepewa kipaumbele kikubwa na serikali mbalimbali duniani, ikiwamo serikali yetu, kutokana na umuhimu wake kwa uhai na maisha ya baadaye ya...

Pages