NIPASHE

Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Faustin Kamuzora.

03Nov 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mradi huo uitwao Mawasiliano Jamii na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, umetekelezwa nchini kwa miaka minne kwa lengo la kuimarisha mawasiliano ya jamii na kuchangia kufikia malengo ya maendeleo...
03Nov 2016
Mhariri
Nipashe
Ni uchaguzi ambao ni wa kupigiwa mfano, kutokana na kutokuwa na mizozo na vurugu ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika halmashauri kadhaa za miji, wilaya, manispaa na majiji ambazo zina...
02Nov 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Amri hiyo ilikuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuagiza Takukuru kumfanyia mahojiano ya nyongeza kwa saa sita mshtakiwa huyo. Madai hayo yalitolewa jana na Mwendesha Mashtakiwa wa Takukuru...
02Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe
Katika uchaguzi huo, mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, moja ya vyama vinavyounda Ukawa, Boniface Jacob, aliibuka mshindi kwa kupata kura 16 kati ya 18. Mpinzani wake, Yusuph...
02Nov 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Aidha, wakati mke wake akifikishwa mahakamani, Lema ameitwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa na kuhojiwa kwa saa kadhaa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa mtunga sheria huyo alitoa matamko ya...

Waziri wa Nishati na Madini Profesa SOSPETER MUHONGO.

02Nov 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Taarifa zilizoripotiwa kuanzia juzi na kusambaa zaidi jana kupitia tovuti za taasisi mbalimbali za masuala ya madini, zilieleza kuwa Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Michigan nchini...

Rais Dk. John Magufuli na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wakizindua barabara ya Southern By-pass.

02Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sherehe ya uzinduzi wa barabara hiyo, yenye urefu wa kilometa 28 inayounganisha maeneo mbalimbali ya jiji hilo, ilifanyika jana katika eneo la Karen, nje kidogo ya Nairobi. Akizungumza katika...
02Nov 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Ujio huo ulisababisha Bunge kutawaliwa na vifijo vya wabunge wa upinzani mara baada ya Mbunge huyo wa zamani wa Monduli (CCM) kutambulishwa kuwa mmoja wa wageni wa Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi...

Profesa Ibrahim Lipumba.

02Nov 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mbali na Msajili, walalamikiwa wengine katika kesi hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Ibrahim Lipumba na wanachama wengine 11 wa chama hicho. Kesi hiyo imepangwa kutajwa Novemba 10,...
02Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
***Omog asema ni fainali leo Kambarage, Pluijm yeye adai bado hajaona sababu ya kupoteza Sokoine na kwamba...
Joseph Omog, kocha mkuu wa Simba, ameliambia Nipashe kuwa mchezo wa leo dhidi ya Stand United utakaofanyika kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga ni zaidi ya fainali, "lakini wachezaji wangu wapo...
02Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Lembeli alisema vita dhidi ya ujangili iliyopata msukumo mpya kutokana na agizo la Rais Magufuli alilolitoa wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye Wizara ya...
02Nov 2016
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Ushirikishaji wa wadau na jamii nzima katika uamuzi husaidia kupatikana kwa sera au sheria nzuri, kwa sababu baada ya kutungwa siyo rahisi kutokea mtu au kundi kupinga kutokushirikishwa. Katika...
02Nov 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Upekee huo unatokana na ukweli kwamba yeye ni Mbunge aliyeshinda nafasi ya ubunge lakini hakufanikiwa kupata diwani hata mmoja wa chama chake. Hali hiyo imefanya wadadisi wa masual ya kisiasa...

Dk. Didas Masaburi.

02Nov 2016
Ani Jozen
Nipashe
Ni mwanasiasa ambaye alifikia kilele chake katika kuchaguliwa kuwa diwani wa kata ya Kivukoni jijini mwaka 2010 na halafu kushinda kura za umeya wa Jiji mwishoni mwa 2010. Ina maana kuwa ni mtu...

jaji mstaafu joseph warioba.

02Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Ili mchakato wa Katiba uweze kuendelea ulikoishia ni lazima kufanya marekebisho ya Sheria ya Kura ya Maoni na 11 ya mwaka 2013, kwa serikali kupeleka mswada wa marekesho bungeni, ambao hadi sasa...
02Nov 2016
Mhariri
Nipashe
Hatua hiyo ilidhihirika baada ya mazungumzo kati yake na mwenyeji wake, Rais Uhuru Kenyatta juzi katika Ikulu ya Nairobi, yaliyolenga mambo mbalimbali ya maendeleo yanayohusu nchi zao. Baada ya...
02Nov 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Kwa mujibu wa Spika Job Ndugai, jambo lingine litakuwa katika mjadala huo ni serikali kupokea ushauri kuhusiana na vyanzo vya mapato, vipaumbele vya uandaaji bajeti ijayo ambapo haya yote yatafanyika...

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo.

02Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo, alisema tayari vifaa vya kuongeza nguvu ili uhakiki huo ufanyike bila kikwazo...
02Nov 2016
Ahmed Makongo
Nipashe
Wameilalamikia Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchikavu (Sumatra) kuwalipisha fedha za leseni ya mitumbwi kwa kutumia risiti za mkono, badala ya mashine za kielektroniki (EFDs)....
02Nov 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Aidha, alifafanua kuwa kauli hiyo maana yake ni wadau na mashabiki wa timu hiyo wanatakiwa kuwa na uvumilivu kutokana na kikosi chao kukosa maandalizi yanayostahili kabla ya ligi kuanza. Ongalla...

Pages