NIPASHE

22Oct 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Haya yanatokea siku chache baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumaliza ziara ya kikazi wilayani Ruangwa. Wengi hawaafiki. Wakulima kadhaa kutoka kata za Chenjele, Luchelegwa, Mandawa, Namichiga...

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo.

22Oct 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Mkuu huyo wa mkoa alitoa agizo hilo juzi kwa wananchi na wakazi wa Mailimoja wakiwamo wafanyabiasha ambao maeneo yao yanatarajia kubomolewa kwenye upanuzi wa barabara. Ndikilo alifafanua kuwa...
22Oct 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Ninachohoji , je mdingi wa ilmu aliyetoa uamuzi wa adhabu alifanya vikao vyovyote ili kubaini tatizo ni nini, kupima na kujiridhisha kuwa hajavuka mstari au aliamua kwa jazba kwa kuangalia upande...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

22Oct 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akitoa taarifa ya hali ya usalama wa mkoa huo, mbele ya Rais John Maguli jana jijini Dar es Salaam, alisema kwa muda mfupi kumekuwapo na vikundi hivyo...
21Oct 2016
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Mwanza mjini hapa juzi, Katibu Mwenezi wa chama hicho mkoani hapa Saimon Mangelepa, alisema...
21Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hiyo inatokana na agizo la Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi, la kuwataka wenye nyumba kutowapangisha wapangaji wapya bila kuona barua ya serikali ya mtaa walikokuwa wakiishi awali. Happi...
21Oct 2016
Renatus Masuguliko
Nipashe
Aidha, wanafunzi 13 kati ya wanafunzi 64 (asilimia 20) ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tatu walioingia kidato cha nne mwaka huu wamekatisha masomo kutokana na sababu tofauti zikiwamo kuolewa...
21Oct 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Tukio hilo lililoshuhudiwa na waandishi wa habari lilijitokeza mjini Dodoma jana, baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, kukataa kujadili taarifa ya Waziri wa Nchi,...
21Oct 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kesi hiyo itatolewa hukumu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha; mbele ya Hakimu Mkazi Patricia Kisinda, baada ya kufungwa kwa ushahidi wa upande wa utetezi. Washtakiwa wengine katika...
21Oct 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Hayo yalibainika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako kesi hiyo itasikilizwa baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa utawasilisha mashahidi hao na ule wa utetezi kueleza una sita....
21Oct 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Aidha, wakati Bakwata ikieleza msimamo huo unaolingana na ule wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) limetoa mapendekezo ya kupinga adhabu hiyo na kutaka...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango.

21Oct 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Wizara hiyo ilitoa fedha hizo ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuwainua wafanyabiashara walioathiriwa na hali hiyo, lakini hadi sasa bado haijulikani ni kampuni zipi zilipewa na shughuli...

Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya MissTanzania, Albert Makoye.

21Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Shindano hilo dogo linafanyika ili kumpata mrembo mmoja atakayeungana na mshindi wa shindano la 'Photogenic' na 'Top Model' kuingia moja kwa moja kwenye 15 bora ya Miss Tanzania 2016. Shindano la...

Chirwa sasa ameamka- Kocha.

21Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Chirwa juzi alifunga bao la pili wakati Yanga ikiichapa Toto Africans mabao 2-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, hiyo ikiwa ni mara ya pili kuziona nyavu baada ya kufanya hivyo walipocheza na Mtibwa...

Mshambuliaji wa Simba, Fredrick Balgnon akijaribu kufunga kwa kutambuka mbele ya beki wa Mbao FC, Steven Mganya, katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jana.

21Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
*** Muzamil shujaa akiipasha kileleni kwa pointi...
Mashabiki waliamini wenyeji wa mchezo huo wangekwama kuziona nyavu, lakini mnyama huyo hatari pengine kuliko wote mwituni, akadhihirisha kuwa akiwa mawindoni hata mbao 'anachanaga'. Alikuwa ni '...

KOCHA wa Yanga, Mholanzi Hans van der Pluijm.

21Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jana kwa simu kutoka Mwanza, Pluijm alisema baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Toto Africans, sasa anaelekeza nguvu zake katika mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar Jumamosi mjini Bukoba....
21Oct 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe
Haya yalielezwa na Kamishna wa Madini nchini, Alli Samaje, wakati akitoa taarifa kuhusu shughuli za utafutaji madini na maendeleo ya sekta hiyo katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini...
21Oct 2016
Gerald Kitabu
Nipashe
Swai, Mkulima wamahindi aina ya WEMA amejizolea umaarufu mkubwa kwa kipindi kifupi katika Wilaya ya Handeni na mkoani Tanga kwa kuibuka kuwa mkulima bora wa mkoa. Ametokea mbali kimaisha,kwa...
21Oct 2016
Denis Maringo
Nipashe
Na kwa makundi, nyanda, mikoa ama wilaya fulani katika Taifa hili, mifugo imekuwa kilele zo muhimu cha utambulisho wa jamii ama maeneo husika. Mifano tu ni makabila ya Wamasai na Wasukuma.Na...
21Oct 2016
james kuyangana
Nipashe
Ukosefu wa uelewa kuhusu soko ni moja ya sababu zinazofanya biashara zianguke na kufungwa baada ya kuanzishwa. Pamoja na uchache wa soko bado wajasiriamali wanashindwa kuelewa ni kwa namna gani...

Pages