NIPASHE

09Feb 2016
Nipashe
Katibu wea soko hilo, Furahisha Kambi, alisema juzi kuwa kitendo cha wafanyabiashara hao kufanya biashara nje ya soko, kinasababisha wateja kuishia nje hivyo kuwafanya wanaofanya kazi zao kihalali na...
09Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Mwishoni mwa wiki, wafanyakazi hao walimsaidia kijana Hashim Mikidadi, anayejihusisha na kuuza bucha la nyama kwa kukarabati duka lake lililopo stendi ya mabasi Ngerengere, mjini Morogoro....
09Feb 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, alisema Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), iko chini ya Rais na...
09Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Huku CUF ikisema hiyo ni danganya toto kwa kuwa CCM na serikali yake haitaki mazungumzo. Zanzibar iko katika mkwamo wa kisiasa baada ya Tume ya Uchaguzi visiwani humo (ZEC) kufuta matokeo...
08Feb 2016
Nipashe
Akitoa salamu kwa niaba ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshiwa Dkt John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Singida dakari Parseko Kone amesema rais amepokea msiba huo kwa masikitiko makubwa...
08Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
KRC Genk ilifunga bao hilo pekee dhidi ya Mouscron- Peruwetz katika dakika ya 62 kupitia kwa Buffel na kuipandisha timu hiyo hadi nafasi ya tano kwenye msimamo ikiwa na pointi 38. Katika mechi...

mwanariadha Alphonce Felix

08Feb 2016
Nipashe
Hayo ni maneno ya mwanariadha Alphonce Felix aliyefuzu kushiriki michezo hiyo iliopangwa kufanyika Agosti mwaka huu jijini Rio de Janairo nchini Brazil. Felix anasema Tanzania imekuwa na hulka...

Meneja wa kiwanda cha kutengeneza bia TBL Dar es Salaam, Calvin Martin

08Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Alisema uendeshaji wa viwanda hivyo unafuata miongozo, mikakati na sera za kampuni mama ya SABMiller, ambayo inaleta tija kwa kutekelezwa ipasavyo kwa kuwa ina mwelekeo wa uzalishaji unaolenga katika...

Waziri wa Fedha Dk. Philip Mipango

08Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Ofisa Kiungo (Focal Person), katika benki hiyo, Joseph Kingazi alisema fedha hizo zimesaidia kuimarisha utendaji wa benki ya KCB na kuiwezesha kutoa huduma bora kwa wateja wake na kwamba Mivarf...
08Feb 2016
Nipashe
Mbali ya ranchi, wafugaji hao wameiomba serikali iwatafutie masoko ya uhakika, kuwajengea majosho na kudhibiti dawa feki na chanjo za magonjwa ya mifugo. Wafugaji hao walisema hayo wakati...
08Feb 2016
Nipashe
Wito huo, ulitolewa na Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake, Magreth Chacha, wakati akizungumza na wanachama wa Royal Women Group katika sherehe yao ya kuukaribisha mwaka 2016, iliyofanyika juzi Msasani...
08Feb 2016
Idda Mushi
Nipashe
Aidha, Wachina hao wameahidi kuendelea kuongeza nusu zaidi ya kiasi hicho kila mwaka iwapo wataridhishwa na upatikanaji wa uhakika wa mhogo ulio bora. Mratibu wa zao la Mhogo kitaifa, Dk....
08Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kutembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Prof. Faustin Kamuzora, alisema kituo hicho kitatumika kwa...
08Feb 2016
Nipashe
Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo alipokuwa alipokuwa akizungumza na majaji, wanasheria na mahakimu katika viwanja vya Maisara wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria. Alisema wakati umefika kwa...
08Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Askari waliopoteza maisha katika ajali hiyo ni Inspekta Miraji Mwegelo, Sajenti Elias Mrope na Sajenti Gerald Mtondo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari jana na Kaimu Mkurugenzi...
08Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
***Kwa miaka minane, timu hiyo ya Tanga haikuwa kuifunga Yanga katika mechi za mshindano yote…
Mara ya mwisho iliifunga Yanga Septemba 26, 2007 kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga msimu wa 2007/ 2008. Tangu hapo, timu hiyo ilikuwa ikiambulia vipigo au kujifariji kwa sare tu. Hatimaye baada ya...
08Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Pamoja na ukaribu wa taasisi hizi katika kusimamia soka, lakini historia haijawahi kuziweka mbali na malumbano ya mara kwa mara. Taasisi hizi zimekuwa kwenye mitafaruku kwa muda mrefu pamoja na kuwa...
08Feb 2016
Augusta Njoji
Nipashe
“Ofisa maendeleo ya jamii yeyote ambaye vitendo hivi vitatokea katika eneo lake tutamchukulia hatua, lazima waongeze jitihada hata kama kuna changamoto ya rasilimali fedha na vitendea kazi.”
Aidha, maofisa hao wametakiwa hadi kufikia Machi 31, mwaka huu wawe wametoa taarifa wizarani kuhusu wazazi ambao hawajawapeleka watoto wao shule ili wachukuliwe hatua za kisheria. Agizo hilo...
08Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Wajumbe hao, Ayoub Bakari Hamad na Khamis Mohammed, walikutana na waandishi wa habari jijini Dar e Salaam na na kueleza kuwa, haungi mkono tangazo la Jecha kuitisha uchaguzi wa marudio kwani ni...
08Feb 2016
Nipashe
Maofisa hao, Daniel Ngoma na George Magoti wa Takukuru na Godwin Mnubi wa uhamiaji, wanadaiwa kumuua Evarist Ngiba (56) mkazi wa Mwanga Vamia, Manispaa ya Kigoma/Ujiji. Wanadaiwa kutenda mauaji...

Pages