NIPASHE

05Mar 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Inaelezwa kuwa serikali imekuwa ikiwataka wafanyabishara wote wenye vituo vya mafuta kulipia dola 10 za Marekani, kwa kila mita moja ya mraba kwa vituo ambavyo milango ya kuingia na kutoka, kujengwa...

WACHEZAJI WA YANGA NA AZAM WAKIPAMBANA KATIKA MOJA YA MECHI ZA LIGI KUU YA VODACOM

05Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mechi 15 zilizopita kati ya timu hizo Ligi Kuu zimeshindwa kumtoa mbabe, kila timu ikishinda mara tano na kutoka sare mara tano pia.
Mshindi wa mechi hiyo anapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa licha ya timu zote mbili zitakuwa na mechi zingine 10 kabla kumalizika kwa msimu huu. Licha ya Yanga kushinda mechi zote tatu...

Hassan Isihaka (KULIA) akipamba na mchezaji wa Yanga

05Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mapema wiki hii uongozi wa klabu hiyo ulitangaza kumsimamisha beki huyo wa kati Isihaka kwa muda usiojulikana kutokana na kile ulichodai kuwa utovu wa nidhamu ukimtuhumu kutoa ligha chafu dhidi ya...

LIONEL Messi

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mshambuliaji huyo wa kimataifa kutoka Argentina, sasa amefunga mabao 20 katika mechi zote 16 alizocheza mwaka huu.
Ivan Rakitic aliwapa uongozi wa mechi Barcelona katika dakika ya 22 kabla ya Messi kuyafanya matokeo kuwa 2-0 baada ya kugongeana vyema na Neymar dakika saba kabla ya nusu saa ya mchezo. Diego...

KOCHA wa Geita Goldmine FC, Selemani Matola

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Timu hiyo ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL), imeweka rekodi ya kuwa timu pekee ambayo haishiriki Ligi Kuu iliyotinga robo-fainali ya Kombe la FA ikiungana na Azam FC, Coastal Union, Mwadui FC, Ndanda FC...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati akiwa katika kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, mgombea wa CCM wakati huo, Rais John Magufuli alisema akichaguliwa kuishi katika Ikulu ya Magogoni, hakutakuwa na...

Rais wa Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein

05Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Mlipuko huo ulileta mtafaruku mkubwa kwa wakazi wa eneo zima la nyumba za Maendeleo Michenzani na mitaa ya karibu yake mjini hapa. Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,...

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee

05Mar 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Wakiwa kwenye ofisi hizo jana, wawakilishi hao wa wananchi walisema waliamua kwenda kwa njia ya kistaarabu, lakini wasipoambiwa tarehe ya uchaguzi huo watakwenda kwa njia ambayo wanaijua wao....

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe

05Mar 2016
Asraji Mvungi
Nipashe
Maghembe amechukua hatua hiyo baada ya kutembelea na kukutana na wafanyakazi wa mamlaka hiyo. Waziri huyo alisema hatua nyingine zitafuata kwa watumishi hao ambao wote watano ni wa idara ya...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo

05Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Walimu hao walikamatwa baada ya amri ya Mkuu wa Mkoa huo, Magesa Mulongo, aliyetembelea shule hiyo na kupata malalamiko kutoka kwa wazazi, wanafunzi na baadhi ya walimu kuhusu walimu kufanya mapenzi...

Waziri wa Ujenzi, Prof.Makame Mbarawa

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Matishari hayo yaliyonunuliwa kwa Dola za Marekani 10,113,000 sawa na zaidi ya Sh. bilioni 21, hayajafanya kazi kwa miaka mitano licha ya kwamba muuzaji ameshalipwa asilimia 87 ya malipo yake....

Naibu Waziri wa Afya, Dk.Hamis Kigwangalla

05Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam, Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Profesa Samwel Manyele, alisema nia ya serikali ni kuwabana watabibu hao. Alisema kabla tiba hiyo haijatumika,...

Waziri wa Elimu, Prof.Joyce Ndalichako

05Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Aidha, wanafunzi nao wametakiwa kutoridhika na kiwango wanachopata mashuleni, badala yake wajitume kutafuta elimu zaidi itakayokuwa mwanga wa mafanikio yao ya sasa na baadaye. Wito huo umetolewa...

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu

05Mar 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Mkuu huyo alikuwa akituhumiwa na wanafunzi wa shule hiyo kwa lugha chafu na vitendo vya udhalilishaji kwa kuwachapa viboko visivyokuwa na idadi kinyume na sheria za nchi. Akizungumza na Nipashe...

Jaji Mkuu, Othman Chande (KUSHOTO).

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe juzi jijini, Mariam Meghjee aliyedai kuwa na kesi ya ardhi namba 67 ya mwaka 2010, alisema amekuwa akisuburi kupata nakala ya hukumu yake kutoka Mahakama Kuu kwa mwezi mmoja...

Jaji Patricia Fikirini.

04Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CUF, Amina Mwindau, anayepinga ushindi wa Jumaa Awesso, inasikilizwa na Jaji Patricia Fikirini, ambaye alisema jana kwamba atasikiliza mfululizo....

Mbunge wa Ubungo Chadema, Saed Kubenea.

04Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi watatu wa upande wa Jamhuri. Hakimu Simba alisema ushahidi uliotolewa unaonyesha maswali dhidi...

kocha wa Simba, Jackson Mayanja.

04Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Straika huyo wa kimataifa kutoka Uganda ameponzwa na ujumbe wake wa kumtetea Hassa Isihaka kwenye mtandao wa kijamii.
Jumatatu uongozi wa Simba ulitangaza kumfungia kwa muda usiojulikana Isihaha kwa madai kuwa beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 21 alitoa lugha chafu dhidi ya Mayanja. Na katika kile...

Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.

04Mar 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Ilamico inadaiwa imekuwa ikikusanya ushuru wa soko hilo, lakini inashindwa kuliboresha. Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, baadhi ya wafanyabiashara hao walisema licha ya kutoa ushuru wa...
04Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Ni uamuzi ambao kwa namna moja au nyingine, jamii na uchumi kwa jumla ina maana kubwa katika maisha ya. Benki ya Barclays imekuwa barani humo kwa karne moja sasa. Mchambuzi wa uchumi na raia wa...

Pages