NIPASHE

KIKOSI CHA SIMBA

07Mar 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Simba wamepokea kipigo hicho katika kipindi, ambacho mashabiki na wadau wa klabu hiyo waliamini timu yao itaibuka na ushindi kutokana na kiwango kizuri na matokeo ya ushindi walioupata katika michezo...

Wachezaji wa Twiga Star wakichuana na timu ya wanawake Zimbabwe

07Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Tumeshuhudia miaka kadhaa kilichokuwa Chama cha Soka Tanzania (FAT sasa TFF) kikisimamia na kuendesha Ligi Daraja la Kwanza (FDL), Pili na Tatu bila ya kuwa na mdhamini na zote zilikuwa na ushindani...

Snura Mushi

07Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa kutambua hilo msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi amesema huwa anakuwa makini kwa kuchukua khanga katika mkoba wake kila anapotoka kwenda kwenye safari mbali na kwake. Iwapo umewahi...

Ali Kiba

07Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kiba ambaye hajawahi kufanya kazi na watayarishaji hao alisema kuwa kwa sasa ni wakati wa kuwatafuta watu hao na kufanya nao kazi kwani anatamani jinsi wanavyomudu kazi hiyo. "Kwanza kabisa niseme...
07Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Stephe Jacob 'JB' ni msanii mkongwe wa filamu nchini ambaye anaamini kwamba wasanii wa fani hiyo kwa sasa wanatakiwa kuboresha kazi zao kwa kutumia kampuni za hapa nchini badala ya kukimbilia...

Mkuu wa Mkoa Manyara, Joel Bendera

07Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msaada huo una lengo la kampuni hiyo kutimiza dhamira yake ya kuwawezesha vijana kujipatia kipato na ajira. Meneja Mauzo wa Airtel, Brighton Majwala, alisema: “Airtel Fursa baada ya kuendesha...
07Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Aliwataka viongozi hao kuwekeza muda mwingi kufanya kazi zenye tija kwa maendeleo ya michezo na kuepuka kuwa sehemu ya migogoro ya uongozi, ambayo moja kiini cha michezo kudidimia. Lakini pia...

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa (aliyesimama)

07Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hiyo waliitoa kwa nyakati tofauti wakati wakijadili makisio ya bajeti ya mkoa kwa mwaka fedha ujao wa 2016/2017, katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa (RCC). Walisema mwaka uliopita...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

07Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
SERIKALI imeanzisha mfumo wa kielektroniki wa malipo ya mishahara kwa watumishi wa umma, ambao unalenga kuondoa tatizo la malimbikizo ya stahili zao. Hayo yalisema juzi na Waziri Mkuu Kassim...

IGP Ernest Mangu

07Mar 2016
Yasmine Protace
Nipashe
amejeruhiwa vidole vya mkononi katika opresheni ya kuwakamata wavamizi waliovamia maeneo ya kata ya Tambani, wilayani Mkuranga, Pwani na kujenga makazi ikiwamo na kulima. Mushongi aliyasema hayo...

WAZIRI WA ELIMU, pROF.JOYCE NDALICHAKO

07Mar 2016
Jumbe Ismaily
Nipashe
Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Gabriel Mkanga, alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita, baada ya wazazi na walezi wa wanafunzi kumpigia simu diwani wa kata ya Lugubu, Margreth Kafumu...

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan

07Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tamasha hilo lililoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la True-Mark, lililobeba ujumbe wa “Pamoja Tunafanikisha”, ikiwa sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo yatafikia kilele...

MKE wa Rais, Mama Janeth Magufuli

07Mar 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Msaada huo uliotolewa jana kituoni hapo, ikiwa mara ya kwanza kwa Mama Janeth tangu alipoombwa kuwa mlezi wa kituo hicho. Walemavu na wasiojiweza hao 108 wa kituo hicho, walikabidhiwa mchele, unga...

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila

07Mar 2016
Jumbe Ismaily
Nipashe
Uamuzi wa kuwavua walimu madaraka na kuwaonya waratibu elimu hao unatokana na makosa mbalimbali yaliyotokea kwenye maeneo yao ya kazi, yakiwamo ya ulevi na utoro. Kaimu Ofisa Elimu ya Msingi wa...

Hassan Mwasapili wa Mbeya City akichuana na Ibrahim Ajibu wa Simba

07Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Timu hiyo ya Msimbazi imefanikiwa kuifunga kwa mara ya kwanza Mbeya City FC kwenye Uwanja wa Taifa na kulipa kisasi cha kupigwa 'nje-ndani' msimu uliopita.
Matokeo hayo yaliifanya timu hiyo ya Msimbazi ifikishe pointi 48 baada ya mechi 21, hivyo kuwang'oa Wanajangwani kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya wiki mbili tangu walipoichapa timu hiyo...

kikosi cha Azam

07Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hizo zilitoka sare ya pili Ligi Kuu na ya tano katika mashindano yote msimu huu, Azam wakitangulia kuziona nyavu za Yanga kupitia kwa Juma Abdul aliyejifunga kabla ya beki huyo wa pembeni kulia...
07Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mabao ya Liverpool yalifungwa na Alex McCarthy na Christian Benteke aliyefunga kwa mkwaju wa penalti katika muda wa nyongeza baada ya kumaliza dakika 90.Awali, kipa wa Liverpool, Simon Mignolet...

John Bocco 'Adenayor

07Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Straika huyo ambaye hajawahi kuihama Azam FC tangu aipandishe Ligi Kuu msimu wa 2008/09, amezoea kuwatungua Wanajangwani.
Mchezaji huyo alifunga bao la pili kwenye mechi ya juzi wakati Azam FC ikitoka sare ya 2-2 dhidi ya mabingwa hao watetezi wa ligi hiyo kubwa zaidi nchini. Bocco ndiye mchezaji aliyefunga magoli...

Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dk. Augustine Mahiga

07Mar 2016
Nipashe
Januari 25, mwaka huu, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alitangaza agizo la rais kwa Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dk....

Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui

07Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mjini hapa, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui, alisema matawi hayo yalichomwa moto kwa nyakati tofauti usiku wa kuamkia jana na juzi. Alisema tangu...

Pages