NIPASHE

19Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Zaidi ya michezo 50, ukiwamo soka hushindaniwa kwenye mashindano haya ya pekee na aina yake. Tanzania ni moja ya nchi zinazotarajia kupeleka wawakilishi watakaoshindana katika michezo hiyo....

Jackson Mayanja.

19Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Msimbazi itaingia kwenye Uwanja wa Mkwakwani leo jioni ikisaka ushindi ili ijitanua kileleni mwa msimamo wa VPL kwa pointi saba.
Licha ya kuwa mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Coastal Union ambayo Mayanja aliinoa kabla ya kujiunga na Simba Desemba mwaka jana, imeweka rekodi ya kuwa timu pekee iliyoshinda dhidi ya...

waziri Charles Kitwanga.

19Mar 2016
Grace Kambaulaya
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Idara ya Uhamiaji, Idara hiyo imefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya maofisa wandamizi katika Ofisi ya Makao Makuu, Mikoa, Wilaya na vituo vya...

Dk. Othaman Kiloloma.

19Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Madaktari hao wametenga siku hiyo ya mapunziko baada ya kubaini ongezeko la idadi ya wagonjwa wenye matatizo ya ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu ambao wanahitaji kufanyiwa upasuaji....

yanga.

19Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mabingwa hao wa Tanzania watakuwa na kibarua kinene cha kulinda utangulizi wa mabao 2-1 waliupata kwenye mechi ya wiki mbili zilizopita kwenye Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda. APR, timu mali ya...

Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akimkabidhi funguo za gari jipya la wagonjwa Mbunge wa Chalinze Ridhiwani.

19Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Gari hilo la kubebea wagonjwa limekabidhiwa kwa niaba ya Rais John Magufuli, na Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo kwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete jijini Dar es Salaam. Akizungumza...

Charles Kitwanga (kushoto) akizungumza na wauza nguo wa Soko Kuu la mjini Chake Chake, Pemba.

19Mar 2016
Felix Mwagara
Nipashe
Waziri Kitwanga alitoa rai hiyo juzi baada ya kutembea katika mitaa mbali mbali ya mji wa Chake Chake ambapo pia aliwataka wananchi kupuuza uvumi wa kutokea vurugu mara baada ya Uchaguzi Mkuu wa...

Ziwa Kwa Chegho.

19Mar 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mojawapo ni ‘Ziwa’ la Kwa Chegho lililo juuya safu za milima ya Pare ya Kaskazini, kwa wakazi wengi wa maeneo hayo wanaona jambo la kushangaza kukuta ziwa likielea juu ya mlima kwa vile mara nyingi...
19Mar 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hii itasaidia na wengine wasiingizwe mkenge katika msako huu wa umaarufu wa shilingi mbili. Bila hata chembe ya aibu, Bill alikaririwa na wambea akijisifu kuwa alikataa mshiko wa bilioni tano....
19Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, msimu huu umekuwa mgumu kuliko mingine iliyopita. Kwa hiyo ni vigumu kubashiri timu yenye nafasi ya uhakika kuwa ndio itakayotwaa ubingwa. Kwa kuwa kandanda ni mchezo...

mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Methew Sedoyeka.

19Mar 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili juzi, Sedoyeka alisema wakazi wa wilaya hiyo wanamiliki mamia ya hekari za ardhi lakini wanalima sehemu ndogo tu ya mashamba hayo na kuacha majani yakiota, kitendo ambacho...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile.

19Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Marekani ilisitisha kutoa msaada wa dola milioni 472 (Sh. trilioni 1) za awamu ya pili ya fedha za maendeleo kutoka MCC Disemba 16 mwaka jana, baada ya Tanzania kushindwa kutimiza maagizo waliyopewa...

Mwandishi wa Nipashe, Lasteck Alfred (kushoto) akinukuu mahojiano hayo wakati balozi Siwa alipokuwa akizungumza.

19Mar 2016
Lasteck Alfred
Nipashe
Rais John Magufuli ameendelea kujijengea heshima kubwa nchini humo na mambo matatu yamedaiwa kuwa ndiyo yanayompandisha chati na kumfanya awe gumzo kila kona kiasi cha Rais Paul Kagame kuahidi '...

tembo.

19Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Diwani wa Kata ya Kunzugu, Pasaka Samson, alisema tembo hao walivamia mashamba na kushambulia mazao ya wakulima yakiwamo ya mpunga uliokuwa tayari kwa kuvunwa. Alisema tembo hao hutembea makundi...

twiga stars.

19Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Wenyeji Zimbabwe (Mighty Warriors) waliopata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza watawakaribisha Twiga Stars kesho kwenye Uwanja wa Rufalo mjini Harare. Akizungumza na gazeti hili jana,...

Yamoto bendi wakitumbuiza baada ya kupokea msaada.

19Mar 2016
Frank Monyo
Nipashe
Msaada huo uliotolewa na Kampuni ya simu ya Zantel na unatarajiwa kunufanisha wasanii 102 wanaojifunza muziki katika kituo hicho. Akizungumza jana jijini, Ofisa Mtendaji wa Mkuu wa Zantel, Benoit...

Mwenyekiti wa JUVICUF, Hamidu Bobali.

19Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Msimamo huo ulitolewa na Mwenyekiti wa JUVICUF, Hamidu Bobali, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akieleza mustakabali wa uchaguzi wa Zanzibar na namna...

Mansour Yusuph Himid.

19Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Himid alipokea wito wa kutakiwa kufika Polisi na baada ya kufika katika kituo cha Mwembemadema aliwekwa chini ya ulinzi lakini mpaka jana mchana ilikuwa haijafahamika anashikiliwa kwa tuhuma gani...

naibu waziri wa fedha na uchumi, Dk.Ashiatu Kijaji.

19Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Upotevu huo umetokana na wavuvi wa wilaya hiyo kushindwa kulipa leseni za uvuvi, leseni za vyombo vya uvuvi na ushuru wa mazao ya uvuvi tangu kipindi hicho, mwaka huu. Wilaya hiyo yenye wavuvi...

Mwita Waitara.

19Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe
Hali iliyoilazimu Chadema kuomba kujiunga katika kesi hiyo ili kuanika ushahidi dhidi ya hujuma zinazoendelea. Uchaguzi huo umepangwa kufanyika Jumanne baada ya kuahirishwa mara nne kutokana na...

Pages