NIPASHE

15Mar 2016
Idda Mushi
Nipashe
Mifugo hiyo iliyokuwa ikishikiliwa kwa takribani siku tano na Uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mvomero,ililipiwa fidia hiyo kwa mujibu wa sheria,ikiwa ni utekelezaji wa sheria ndogo za halmashauti...
15Mar 2016
Steven William
Nipashe
Mafunzo hayo yanatolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi yani (Veta) Kanda ya Kaskazini katika kijiji cha Elerai kata ya Kibirashi wilayani Kilindi. Akizungumza kuhusu mafunzo hayo,...

MAJENGO YA HOSPITALI YA BOMBO

15Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Abiria hao, ambao walifikishwa kwenye chumba hicho saa 5.30 asubuhi, wakidhaniwa ni marehemu, walipokelewa kama maiti na ghafla wakati wakitaka kuingizwa kwenye majokofu, waliposhuka kwenye machela...
15Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Makunganya alikumba na mkasa huo alipokuwa anaoga kandokando ya Mto Ruvuma. Mamba huyo alimvamia na kumtupa mtoni kasha kula zaidi ya robo tatu ya kiwiliwili chake. Taarifa za tukio hilo zinaeleza...

SHULE ya Msingi Makalala

15Mar 2016
George Tarimo
Nipashe
Kutokana na upungufu huo, watoto hao wenye ulemavu wanalazimika kulala wawili hadi watatu kwenye kitanda kimoja, hivyo kuwa vigumu kuwahudumia. Shule hiyo iliyoanza mwaka 1954, ilianza kuchukua...

ESTER BULAYA

15Mar 2016
Rose Jacob
Nipashe
imetupiliwa mbali kwa gharama kufuatia makosa yaliyojitokeza kwenye kiapo kilichoapwa na mtu mwingine na kuthibitishwa na mwingine. Jaji Rosemary Ebrahimu, wa Mahakama ya Rufaa Tanzania, alisema...

Hamad Masoud Hamad

15Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Chama hicho kimedai kuwa wananchi hao wanakimbia operesheni za kamatakamata zinazoendelea ikiwa ni siku chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa marudio Machi 20, mwaka huu. Akizungumza na...

Profesa Makame Mbarawa

15Mar 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Wafanyakazi hao walifikia hatua hiyo wamkitaka Waziri Mbarawa kuwasikiliza kero zao kutokana na kunyimwa haki zao msingi ikiwamo malimbikizo ya malipo wanayoidai kampuni hiyo. Mmoja wa wafanyakazi...

VIONGOZI WA TUGHE

15Mar 2016
John Ngunge
Nipashe
Katibu wa chama hicho wilayani hapa, Samwel Magero, alitoa wito huo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na wafanyakazi wa Kituo cha Afya cha Askofu Hhando wilayani hapa baada ya uzinduzi wa tawi la...

WACHEZAJI WA SIMBA WAKIPAMBANA NA WACHEZAJI WA PRISON

15Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Baada ya kulipa kisasi kwa Prisons, timu hiyo ya Msimbazi sasa inajipanga kuwakabili wababe wa Yanga na Azam FC.
Simba chini ya kocha mkuu huyo wa muda, inapambana kuhakikisha inamaliza ukame wa miaka minne bila taji la Ligi Kuu na sasa iko kileleni mwa msimamo wa ligi ya Bara ikiwa pointi nne mbele ya Yanga...

WACHEZAJI WA YANGA

15Mar 2016
Lasteck Alfred
Nipashe
Yanga ilipata ushindi huo katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwenye Uwanja wa Amahoro jijini Kigali Jumamosi. "Kama APR wangechezesha mastraika wawili,...

KIKOSI CHA AZAM

15Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Baada ya kuinyuka Bidvest mabao 3-0 nchini Afrika Kusini, timu hiyo ya Chamazi ilirejea nchini juzi na sasa inajipanga kwa ligi ya Bara.
Wanalambalamba waliibuka na ushindi huo mnono ugenini jijini Johannesburg katika mechi yao ya kwanza ya raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika mwishoni mwa wiki iliyopita...
15Mar 2016
Nipashe
Michuano hiyo ya kusaka viwango imepangwa kufanyika Machi 29 hadi Aprili 7 kwenye viwanja vya michezo vya Hamdan (Hamdan Sport Complex) nchini Dubai. Katibu wa TSA, Ramadhan Namkoveka, jana...

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE

15Mar 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Kitwanga, ambaye katika serikali ya Kikwete alikuwa Naibu Waziri wa mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (2010-2012); Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira- 2012-2014) na Nishati na Madini (2014-2015),...

Dk. Mashinji

15Mar 2016
Nipashe
Mwishoni mwa wiki, Chadema ilimteua Dk. Mashinji kuwa Katibu Mkuu mpya kushika nafasi ya Dk. Wilbroad Slaa aliyejiuzulu nafasi hiyo Julai 30, mwaka jana kwa kile akichodai kuwa ni utaratibu...
15Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Ajali hiyo ilitokea juzi saa 2:00 usiku wakati basi hilo likitokea Kahama mkoani Shinyanga. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura, alisema ajali hiyo ilitokea baada...

Rais John Magufuli.

14Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana, inaonyesha kuwa waliokuwa wakuu wa wilaya watatu chini ya Serikali ya Jakaya Kikwete, wamepandishwa na kuwa wakuu wa mikoa, sita wamehamishwa vituo vya kazi na saba...

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Florens Turuka.

14Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Aidha, imesema asilimia 75 ya mafanikio katika kilimo kupitia mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), umetekelezwa na sekta binafsi. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Florens Turuka...
14Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mayanja ni kocha wa Kiafrika ambaye anajua aina ya soka letu -- lazima uwe na wachezaji wenye utimamu wa mwili na ili kuwa nao, panahitaji mazoezi magumu na uwalinde kwa kuhakikisha wanakuwa kambini muda mwingi.
Wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa hata usajili walioufanya msimu huu ni mbovu. Siku hazigandi, sasa simsikii mwanachama au shabiki wa Simba akiongea maneno hayo. Habari kubwa kwa wapenzi wa...

Aggrey Morris akifanya mazoezi.

14Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Beki huyo wa zamani wa Mafunzo FC, hakuwa sehemu ya kikosi cha Azam FC katika mechi 19 kilizocheza tangu Novemba Mosi ...
Beki huyo wa zamani wa Mafunzo FC ya Ligi Kuu ya Zanzibar, aliumia goti wakati akiwa na kikosi cha Zanzibar Heroes kilichokuwa kinajiandaa kwenda Ethiopia kushiriki michuano ya Kombe la Chalenji na...

Pages