NIPASHE

06Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kutumikia adhabu ya kifungo cha nje na kufanya usafi katika maeneo ya kijamii, ikiwemo Hospitali ya Sinza Palestina ya jijini. Hatua hiyo imefikiwa baada ya jana jopo la mawakili wa utetezi...
06Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Hali hiyo upelekea kuchelewesha majalada ya mashtaka ya kesi mbalimbali, zikiwamo kubwa za ufisadi unaoligharimu taifa mabilioni ya fedha. Akizungumza na Nipashe mwishoni kwa wiki jijini Dar es...
06Feb 2016
Nipashe
Maguli, mchezaji wa zamani wa Ruvu Shooting na Simba, alitua Misri mwezi uliopita kwa idhini ya uongozi wa Stand, lakini Liewing hakuwa na taarifa za kuondoka kwa nyota huyo aliyetisha kwa mabao duru...
06Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Mwaijage alisema hayo jana bunge wakati akijibu swali la mbunge wa jimbo la Mtambile (CUF), Masoud Salim ambaye alitaka kujua ajira iliyokuwa inatarajiwa kuongezeka kutokana na ukuaji wa sekta ya...
05Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na TMA imeeleza kuwa kuna uwezekano wa kuwapo kwa upepo mkali unaozidi kasi ya kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 wakati wowote kuanzia jana. Maeneo...
05Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
**Timu hiyo ya Jangwani imeambulia pointi moja tu katika mechi zote mbili zilizopita za duru la pili la ligi ya Bara.
Timu hiyo ambayo iliuanza vibaya mzunguko wa pili wa ligi hiyo msimu huu kwa kufungwa 2-0 na kuandikisha kipigo cha kwanza dhidi ya Coastal Union tangu 2007, imeendelea kusuasua katika mbio za...
05Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kadhalika ameagiza kesi 26 za kukutwa na nyara za serikali yakiwamo meno na pembe za ndovu ambazo watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na vilelezo moja kwa moja, Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa Mashitaka...
05Feb 2016
Beatrice Philemon
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa ofa hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Ian Ferrao, alisema kuanzia jana wateja wote wa Vodacom wataweza kuongea bure...
05Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Hatua hiyo imekuja kutokana na Mbunge huyo kushindwa kuthibitisha tuhuma za ufisadi wa sh. bilioni 238 alizotoa dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ambaye sasa ni Waziri wa...
05Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Lowassa alieleza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa amewapa ruhusa Chadema kuzunguka nchi nzima na kufanya mikutano kwa lengo la kuwashukuru wananchi kwa kuwapigia kura katika uchaguzi mkuu uliopita....
05Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Katika maeneo tofauti nchini hususan katika majiji yakiwamo ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Tanga baadhi ya nyumba au majumba ujenzi wake katika miaka ya karibuni hauzingatii umuhimu wa kuchimba...
05Feb 2016
Nipashe
Wakati serikali ikitoa tamko hilo, mwili wa rubani huyo umesafirishwa kwenda Uingereza kwa ajili ya maziko. Gower anadaiwa kuuawa Januari 30, mwaka huu, kwa kwa kupigwa risasi akiwa katika helikopta...
05Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
**Ataja mambo makuu matatu yanayombakiza Rais nyumbani na kutuma wawakilishi mikutano ya kimataifa…Apotozea pia safari ya Angola…
Akizungumza katika mahojiano maalum na Nipashe mjini Dodoma jana Balozi Mahiga alisema bado kuna uwezekano Rais Magufuli akaendelea kutosafiri kwenda nje ya nchi, akiyataja mambo hayo matatu kuwa...
05Feb 2016
Nipashe
Shime alisema mipango ya wachezaji wake kwenda kuzifumania nyavu ilikuwa ikivurugwa mara kwa mara na Majabvi aliyekuwa akiwalinda vizuri mabeki na kutibua mashambulizi yao. "Na Ajibu aliivuruga...
05Feb 2016
Nipashe
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli alisema mshindi wa kwanza katika mbio za Kilomita 42 kwa wanaume na wanawake atapata Sh. milioni 4 kila mmoja. “Hii ndiyo zawadi kubwa...

Kocha wa Simba, Jackson Mayanja.

05Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Katikati ya wiki hii Simba iliandika ushindi wa nne mfululizo baada kuisigina Mgambo JKT mabao 5-1, huku Yanga ikichomoa dakika za mwisho na kufanya matokeo kuwa 2-2 walipocheza na Prisons ya Mbeya...
04Feb 2016
Nipashe
Zipo sababu zinazotolewa katika hilo, hata wakahisi tiba za asilia ni muhimu kwao kuliko rasmi ya hospitalini. Hapo inajumuisha mambo kadhaa, ikiwemo elimu duni kuhusiana na hitaji la vipimo vya...
04Feb 2016
Nipashe
Yalianzia Afrika Mashariki miaka 58 iliyopita, inalipuka sasa ughaibuni
Katika nchi mbalimbali, ikiwemo Marekani ambako kuna hofu kubwa ya kusambaa homa hiyo kuna jitihada kubwa za kujihami kitaalam zinafanyika. Wataalam watafiti wanaeleza kuwa, ni janga lenye historia...
04Feb 2016
Nipashe
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya wazabuni wanaopewa kazi ya kukusanya ushuru hasa wa mazao, kutoroka na fedha za halmashauri hasa nyakati ambazo siyo za mavuno. Akizungumza kwenye kikao cha Baraza...
04Feb 2016
Nipashe
Pia wafanyabiashara hao wametakiwa kutowachagua viongozi ambao watawalaghai kwa kuwapa fedha kwani watakuwa na nia kujinufaisha wenyewe. Wito huo umetolewa na mwanasheria kutoka shirika lisilo la...

Pages