NIPASHE

23Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyoketi kisiwani Unguja, Zanzibar Juni 20 mwakamwaka jana ilipitiusha kanuni mpya Na. 37(24) kinachopendekeza adhabu ya kifungo kisichozidi...
23Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Tambwe, mchezajin wa zamani wa Simba na Vital'O, alisema jana Ngoma aliyejiunga na Yanga msimu huu akitokea Zimbabwe, ndiye mchezaji anayemkubali kwa sasa kwenye ligi hiyo. Mrundi huyo alipiga ‘...

kocha wa Simba Jackson Mayanja.

23Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mabingwa hao mara 18 wa Tanzania Bara, leo wanaanza rasmi kusaka tiketi ya kuiwakilisha nchi kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika mwakani.
Michuano hiyo ni ya mtoano na mshindi baada ya mechi ya marudiano jijini Dar es Salaam, atasonga mbele kusaka timu bingwa ambayo itaiwakilisha Tanzania Bara kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika...

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa, George Simbachawene.

23Jan 2016
Nipashe
Simbachawene ametaka Mkurugenzi Mtendaji huyo ahojiwe juu ya barua iliyoandikwa na Ofisa Elimu Msingi kwenda katika shule mbalimbali, ikiwataka wazazi kuchangia michango ya elimu kinyume na waraka...

Rais John Magufuli.

23Jan 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Hii ni mara ya kwanza kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini kuvalia magwanda ya kijeshi ziarani, hali ambayo iliwafanya wananchi kuzidi kuvutiwa na kiongozi huyo. Katika...

Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Huduma kwa Walipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo

23Jan 2016
Romana Mallya
Nipashe
Rais Magufuli alipokutana na wafanyabiashara wa Taasisi ya sekta Binafsi nchini (TPSF) mwishoni mwa mwaka jana, alipendekeza TRA itoe bure mashine hizo ili mamlaka iangalie mapato kutoka kwao....
22Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*** Wachezaji watatu walioneshwa kadi nyekundu katika mechi tano za jana wakati Azam ikiing'oa tena Yanga kileleni ...
Kwa matokeo hayo, Simba imefikisha pointi 33 katika nafasi ya tatu ya msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mechi 15, lakini inaendelea kuwa nyuma kwa pointi sita dhidi ya vinara Azam FC na tatu...
22Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Beki kutoka Ivory Coast, Assouman N'guesemo wa Stand United ameweka rekodi hiyo mpya katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya juzi kushindwa kucheza dakika zote 90 za mechi yao ya...
22Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Tambwe alipiga 'hat-trick' yake ya pili msimu huu, timu hiyo ya Jangwani ilipopata ushindi mnono na kuing'oa Azam kileleni baada ya saa 24.
Ushindi huo mnono uliifanya timu ya mabingwa hao mara 25 wa Bara ifikishe pointi 39 baada ya mechi 15, ikiing'oa Azam kileleni kutokana na tofauti ya magoli baada ya timu hiyo Chamazi kurejea...
22Jan 2016
Nipashe
Mwishoni mwa mwaka jana, kulifanyika juhudi za wilaya zilizohamasishwa na mbunge Joseph Mhagama, iliwezesha kupatikana mbegu za tangawizi tani sita zenye thamani ya Sh. milioni 21, huku ikielezwa...
22Jan 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Lakini, mchonga viatu vya matairi, Joseph Chimli (25) naye ni muathirika anayeonja kwa namna yake, kwani bonde la Kinondoni Mkwajuni, ndilo linalomuweka mjini kimaisha, hata akafikia hatua ya...
22Jan 2016
Nipashe
Magendo yamekuwa yakidhoofisha uchumi wa mkoa na taifa, huku hujuma ikiendelea kunufaisha wachahe nchini na nje ya nchi. Hata hivyo katika miaka yote biashara ya mazao ambayo yamekuwa yakipigiwa...
22Jan 2016
Nipashe
Hawa ni wale ambao wakati mwingine huitwa ‘mafundi ya mitaani.’ Mafundi tulionao kila siku, wakiwa wametapakaa karibu katika kila kona za majiji, miji hata kwenye maeneo yetu ya vijijini. Mafundi...
22Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Takwimu zinabainisha kuwa Mwaka 2008 kulikuwa na watumiaji wa simu milioni tatu, idadi ambayo sasa imeongezeka maradufu. Sasa Watanzania wengi vijijini na mijini wanamiliki simu za mkononi. Hali...
22Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Mbali na hatua hiyo, Ndalichako ameagiza kuondolewa kwa mtihani wa pili (paper two) kwa watahiniwa binafsi ambao ulianza mwaka 2014. Profesa Ndalichako alisisitiza kuwa amechukua hatua hiyo...

Mwenyeki wa Simon Group, Robert Kisena.

22Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo ambayo pia itaendesha mradi wa mabasi yaendeyo haraka (Uda-RT), Robert Kisena, alitoa ufafanuzi huo jana kwa waandishi wa habari na kudai kuwa uzushi huo unafanywa...

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde, akitoa taarifa ya matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne kwa mwaka 2015. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Necta, Daniel Mafie.

22Jan 2016
Romana Mallya
Nipashe
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa jana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania, Dk. Charles Msonde, somo lililofanya vibaya kwa kupata kiwango cha chini cha ufaulu ni Kiingereza....

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai.

22Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Dalili za mgawanyiko kwenye kamati hizo zilianza kuonekana juzi, baada ya wabunge hao wa Kambi ya Upinzani kufanya kikao na kuweka msimamo wa kutaka kushirikishwa kwenye uteuzi wa wajumbe. Kambi...

Rais Dkt John Magufuli

22Jan 2016
Nipashe
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Arusha waliojitokeza barabarani kumpokea huku wakimuomba aendelee kutumbua majipu. Alisema Tanzania inarasilimali nyingi ikiwamo...

Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria.

22Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, imeeleza umuhimu wa kamati hiyo ambayo moja ya kazi zake ilikuwa ni kutathmini ufanisi...

Pages