NIPASHE

Miss Tabata, 2012 kwenye mazoezi (picha ya maktaba).

15Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga alisema jana kuwa warembo wote waliojiandikisha wanatakiwa kufika mazoezini na bado fomu za ushiriki zinaendele kutolewa. Kapinga alisema Kampuni ya Keen...
15Apr 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akizungumzia hali ya miundombinu katika mkoa huo alisema hadi kufikia Desemba 2015 mkoa ulikuwa na mtandao wa barabara wenye urefu wa kilometa 1,216.01 kati ya...
15Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Hata hivyo, wafanyabiashara wamedai kuwa kuanda huko kwa bei ya vyakula kumetokana na kuharibika kwa miundombinu ya barabara hasa kipindi hiki cha mvua. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika...

Hans van der Pluijm.

15Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Adai utendaji wa kazi wa shirikisho hilo ni sawa na 'jipu' lililoiva na kuhitaji kutumbuliwa...
Pluimj alisema hayo kama 'kielelezo' cha kufikisha malalamiko ya timu yake kwa kile alichodai kuwa upangaji mbovu wa ratiba za mechi kwa timu yake kulikofanywa na bodi ya ligi. Kocha huyo Mdachi...

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB, Ineke Bussemaker.

15Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Makubaliano hayo yalisainiwa jana jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB, Ineke Bussemaker, alisema ushirikiano huo kati ya benki yake na MCF, utawezesha hospitali, zahanati na...

kaimu mkurugenzi mtendaji wa mnh, prof. lawrence museru.

15Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Katika mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, mwaka huu, kwa mfano, Muhimbili iliomba Sh. bilioni 118.943 kwa ajili ya shughuli mbalimbali zikiwamo za uendeshaji na miradi ya maendeleo, lakini kiasi...

mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Steven Kebwe.

15Apr 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Ameagiza wafanyabiashara watakaokiuka agizo hilo wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Akizungumza kwenye kikao cha watendaji wa kata na wenyeviti wa mitaa, Mkurugenzi wa Manispaa...
15Apr 2016
Denis Maringo
Nipashe
Ni kupitia tangazo hili ambamo taratibu mbalimbali zinazohusika na usajili, matumizi, migogoro na kadhalika, kuhusiana na alama za biashara na huduma, vimeainishwa kwa kina. Tangazo hili...

bondia Francis Cheka akiwa na meneja Juma Ndambile.

15Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Ndambile aliliambia gazeti hili jana kuwa pambano ambalo Cheka alitarajiwa kupigana Australia liliyeyuka kufuatia mpinzani wake kuwa na uzito mkubwa. Alisema sasa yuko katika maandalizi ya...

Anne Kilango Malecela.

15Apr 2016
Anceth Nyahore
Nipashe
Aibukia kanisani na kufananisha mjamzito aliyejifungua mwanawe akafariki dunia..
Kilango, ambaye Jumatatu wiki hii uteuzi wake ulitenguliwa baada ya Machi 20, mwaka huu, kudai kuwa mkoa wa Shinyanga hauna mtumishi hewa wa serikali hata mmoja. Hata hivyo, Ikulu ilifanya...
15Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Hati fungani ama dhamana za serikali kwa jina jingine, ziko za aina mbili. Yaani za muda mfupi na za muda mrefu, kama tulivyoona na kuendelea kukumbushana mfululizo katika safu hii. Wiki...
15Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Kwamba kutokana na hali hiyo, mara kadhaa wagonjwa wamekuwa wakilalamikia kupata huduma hafifu. Uchunguzi wetu wa siku kadhaa, umebaini changamoto nyingi zinazozikabili taasisi hizo mbili, ni...

MACHIMBO ya mafuta mkoani Bunyoro nchini Uganda, katika eneo la Ziwa Albert. (PICHA NA MTANDAO).

15Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Hatua hiyo ya wafanyabiashara, inaendana sana na utekelezaji wa wito ambao mtaalamu wa kimataifa katika fani ya uchumi, aliyewahi kufika nchini kwa mwaliko wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na...

Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Agnes Kijazi.

15Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mvua hizo zitanyesha kwa mfululizo zitakazozidi milimita 50 ndani ya saa 24 zikiwa ni za wastani wa asilimia 70. Taarifa hiyo ilieleza kuwa hali hiyo inatokana na...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto) akimsalimia Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Victoria Lembeli.

15Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Chombo hicho cha dola kimesema kitawasilisha mkataba huo ndani ya muda lililopewa leo. Akizungumza na Nipashe jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira...

waziri wa elimu, profesa joyce ndalichako.

14Apr 2016
Woinde Shizza
Nipashe
Walisema wapo walimu waliofundisha kwa muda mrefu, lakini hawajapandishwa madaraja. Walisema utaratibu uliotumika wa kuwachanganya walimu waliofanya kazi kwa kipindi cha muda mrefu zaidi ya miaka...

mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais John Magufuli.

14Apr 2016
John Ngunge
Nipashe
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya EAC, Owora Richard Othieno, alisema katika taarifa yake juzi kwamba utiaji wa saini hiyo unatarajiwa kufanyika kesho (Ijumaa), jijini Dar es Salaam. Katika mkutano...

mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.

14Apr 2016
John Ngunge
Nipashe
Alisema vijana ndio kundi kubwa, kwa mujibu wa takwimu asilimia kubwa ya Watanzania ni vijana ingawa ni kundi kubwa lenye changamoto nyingi. Akizungumza wakati wa akifungua Kongamano la Jukwaa...

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi.

14Apr 2016
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza juzi wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Kamanda wa mkoa huo, Yustus Kamugisha, aliyehamishiwa Mbeya, Msangi alisema wakati wa kutamba majambazi umekwisha. Msangi alisema...
14Apr 2016
Safari Chuwa
Nipashe
Aidha, zaidi ya Sh. milioni 625.4 zimelipwa kwa Halmashauri zote mkoani hapa kwa kipindi cha miaka minne na kulipwa moja kwa moja kwenye vituo vinavyowahudumia wajawazito na kaya zao. Hayo...

Pages