NIPASHE

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi.

14Apr 2016
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza juzi wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Kamanda wa mkoa huo, Yustus Kamugisha, aliyehamishiwa Mbeya, Msangi alisema wakati wa kutamba majambazi umekwisha. Msangi alisema...
14Apr 2016
Safari Chuwa
Nipashe
Aidha, zaidi ya Sh. milioni 625.4 zimelipwa kwa Halmashauri zote mkoani hapa kwa kipindi cha miaka minne na kulipwa moja kwa moja kwenye vituo vinavyowahudumia wajawazito na kaya zao. Hayo...
14Apr 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Steven Kebwe, wakati akizungumza na viongozi wa Serikali ya Wilaya ya Mvomero, katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa agizo la kumaliza...

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoka mahakamani.

14Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kadhalika, imesema mbunge huyo akikiuka amri hiyo kupitia hati maalum aliyosaini kati yake na mahakama, itatengua adhabu hiyo na kutoa adhabu nyingine itakayoona inafaa. Hukumu hiyo ilisomwa jana...

Malkia Mette-Marit.

14Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Marit ambaye pia ni Balozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ukimwi (Unaids), alizungumza na vijana wenye maambukizi ya VVU walionufaika na miradi mbalimbali kupitia shirika hilo...

Wiliam Mhando (Katikati) na washtakiwa wenzake, wakisindikizwa na askari kanzu wa mahakama ya Kisutu (Kulia) kueleka chumba cha mahakama hiyo (picha na maktaba).

14Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Awali, mahakama hiyo chini ya Hakimu Mkazi Mkuu, Kwey Rusema, ilipiga kalenda kutoa hukumu hiyo Aprili Mosi, mwaka huu, kwa madai kuwa alikuwa hajamaliza kuiandaa. Hata hivyo, mhakama hiyo...

Mhariri Mkuu wa kampuni the guardian ltd , Jesse Kwayu (kulia), na Mhariri Mtendaji wa gazeti la the guardian, Wallace Maugo (wa tatu kushoto) wakitoa maelezo ya magazeti ya Nipashe na The Guardian wakati walipotembelea ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana.

14Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wamesifu uwekezaji huo uliofanywa na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi na kutoa wito kwa wawekezaji wengine wachangamkie fursa hiyo ya kuwekeza katika jumuiya hiyo yenye nchi sita...

Meneja Uhusiano Airtel Jackson Mmbando (katikati)akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha.

14Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lengo la kampuni hiyo ni kutoa elimu jinsi ya kujitengenezea vifurushi vinavyokidhi mahitaji ya wateja wao. Hatua hiyo inafuatia kuzinduliwa kwa huduma hiyo mpya ya Airtel Jipimie Yatosha....

uyoga.

14Apr 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Miongoni mwa chakula bora chenye rutuba kwa mwili ni uyoga ambao una protini zinazohitajika kujenga mwili na kuwezesha viungo vya mfumo mzima wa mwili, vifanye kazi vizuri. Kimsingi, lishe ya...
14Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Utouh anaheshimika nchini kutokana na alivyoibadili ofisi ya CAG na kutekeleza majukumu yake kwa tija na ufanisi, anasema kuwa hatua zinazochukuliwa kwa sasa na Serikali ya Awamu ya Tano katika...
14Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Rais wa BD, Mwenze Kabinda alisema Jiji la Dar es Salaam mwaka huu linatakiwa kupeleka timu mbili – wanawake na wanaume. Kabinda alisema fedha hizo wanazohitaji ni...

wanafunzi wa Chuo cha Polisi Moshi.

14Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Habari za uhakika zilizopatikana mjini hapa jana na baadae kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Wilbroad Mtafungwa na Mkuu wa chuo hicho, Kamishna Mwandamizi Matanga Mbushi,...

Swabrina Ghalib, akiwa kazini kwake.

14Apr 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Ni mwanamke wa kwanza kutumikia Mochuari yake, asifiwa 'Jembe'
wariLeo ni mwendelezo wa makala hiyo, ikimhusu Swabrina Ghalibu (19), msaidizi pekee wa Iswalala, ambaye katika kipindi kifupi cha mafunzo kazini hospitalini hapo, ameonyesha uwezo mkubwa wa jukumu...

Haruna Niyonzima.

14Apr 2016
Mary Mosha
Nipashe
Niyonzima alianza mazoezi jana baada ya kupona malaria na sasa ana matumaini ya kusafiri na timu hiyo Jumapili kwa ajili ya mchezo wa marudiano. Akizungumza na gazeti hili jana, Niyonzima alisema...

Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Joseph Masikitiko.

14Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hali hiyo imeifanya serikali kutoa azimio la pamoja la kuwataka wazalishaji nchini na waagizaji wa bidhaa hiyo nje kusajiliwa kabla ya bidhaa hizo kuondolewa sokoni na kuchukuliwa hatua za kisheria...
14Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Ratiba ya hatua hiyo ya nusu fainali iliyopangwa juzi usiku inaonyesha kuwa Aprili 24, Coastal Union itaikaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Mkwakwani na siku hiyo hiyo Mwadui FC itachuana na Azam...
14Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, mara kadhaa wagonjwa wamekuwa wakilaumu kupata huduma hafifu huku serikali nayo ikitoa matamko kukemea na kuwafuta kazi wakuu wa taasisi hizo.Huku hayo yakiendelea, gazeti hili...

spika wa bunge, job ndugai.

14Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Utata waibuka, Naibu Katibu wa Bunge, PAC watoa kauli tofauti, *Katibu Mkuu Mambo ya Nadani adai amepewa maagizo maalum, *IGP amshushia mzigo Waziri kupeleka mkataba bungeni...
Hilo ni swali wanalojiuliza watu wengi baada ya kukiukwa kwa amri ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ambayo Aprili 5, mwaka huu, ilitoa siku sita ipewe mkataba wa wabia hao wa kufunga...

Anne-Kilango Malecela.

14Apr 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Kilango aliondoka muda huo baada ya kufanya majadiliano na wakuu wa wilaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Shinyanga. Aliondoka ofisini hapo akiwa mwenye huzuni na kupanda gari la...

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiwania mpira na beki wa Mwadui, Iddy Mobby wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 2-1 PICHA; MICHAEL MATEMANGA.

14Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Matokeo hayo yana maana kuwa, Wanajangwani wako nyuma kwa pointi moja dhidi ya Wekundu wa Msimbazi wanaoendelea kuganda kilele. Yanga wana pointi 56, nyuma ya Simba yenye pointi 57 na mchezo...

Pages