NIPASHE

waziri wa afya, ummy mwalimu.

14Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe
Kuna tathmini inayotolewa, inasema kuwa mkoani Pwani kunatawaliwa na TB kwa sababu ya mabweni kuwa na vyumba vidogo na msongamano mkubwa wa wanafunzi. Tathmini ya hivi karibuni zilizofanywa na...

Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Vita Kawawa.

14Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Dismas Kisusi, alisema jana tukio hilo lilitokea juzi saa 12:15 jioni. Majambazi hayo yapatayo manne, yalivamia duka hilo, lakini hayakufanikiwa kupora...
14Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mshtakiwa huyo ni mmiliki wa duka la la kuuza vyombo vya plastiki katika mtaa wa Mchikichini Kariakaoo wilayani Ilala. Hata hivyo, mshtakiwa huyo hakusomewa mashtaka hayo kutokana na kutofika...

David Kafulila.

14Apr 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Uamuzi huo unatokana na hoja iliyotolewa na Wakili wa Serikali Mkuu Gabriel Malata, kwamba kesi hiyo itupiliwe mbali kwa madai kwamba ushahidi uliotolewa pamoja na vielelezo vya upande wa mlalamikaji...

mashine za EFD.

14Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Lengo la kutoa mashine hizo ni utekelezaji wa Sheria mpya ya Usimamizi wa Kodi ya mwaka 2015 na kukusanya kodi kutoka kwenye kampuni na mashirika kwa urahisi. Meneja wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA...

aliyekuwa mbunge wa Mvomero, Amos Makalla, akimsaidia mmoja wa waathirika wa mapigano ya wakulima na wafugaji jimboni kwake.

14Apr 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Vijiji kugawanywa upya na wafugaji kutengewa malisho 50 katika mikoa 16
Wilaya za Kilosa na Mvomero ndizo kwa sasa zimeshamiri katika migogoro hiyo, licha ya kuwepo jitihada za serikali na asasi binafsi kudhibti. Kushamiri migogoro hiyo, kunatokana na maeneo hayo kuwa...

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.

13Apr 2016
Grace Mwakalinga
Nipashe
Aliyeuawa ni Samson Mwandembwa (64), mkazi wa kitongoji cha Mpunguti, kwa mujibu wa Afisa Mtendaji wa kijiji hicho, Erick Gwakisa.Gwakisa alisema mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa alifika katika eneo...

mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.

13Apr 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Makala alitoa agizo hilo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa halmashauri hiyo, akisema migogoro mingi inayotokea mara kwa mara inakwamisha maendeleo. Aliwaambia kuwa...

kadi za Bima ya Taifa ya Afya (NHIF).

13Apr 2016
Lulu George
Nipashe
“Tunaamini kwa kuboresha kadi za CHF kuwa kwenye muundo wa smart card, hivyo kuzifanya zikidhi mahitaji sambamba na kupitishwa kwa muswada wa sheria ya kila Mtanzania kutumia kadi ya bima ya afya
Imeelezwa kuwa kama utapitishwa, hadi mwaka 2018/2019 kila Mtanzania atakuwa akitumia kadi ya NHIF kwa ajili ya kupata huduma za afya na hospitali zote zitatakiwa kujiendesha kutokana na mapato...

wananchi wakiwa katika hospitali ya Magunga ya wilaya ya Korogwe.

13Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangwalla, wakati wa ziara na kubaini mfumo usioridhisha wa maji, hali inayosababisha...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

13Apr 2016
Bosco Nyambege
Nipashe
Alikuwa akizungumza katika uzinduzi wa vituo vya maarifa ya udhibiti wa maradhi hayo vilivyopo Mpemba wilayani Momba na Chimbuya wilaya ya Mbozi. Alisema Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo...
13Apr 2016
Halima Ikunji
Nipashe
Taarifa hizo zilitolewa na Mkuu wa Takukuru mkoa wa Tabora, Fidelis Kalungula, wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha Januari hadi Machi, mwaka huu, mkoani hapa. Alieleza kuwa...
13Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Washtakiwa hao, Robert Mwaipyana, Ramadhani Mneke, Mohammed Mboweto maarufu Ustadhi, Exavery Sylvester, Frank Sadick na Issah Pilla, walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka yao mbele...

mkuu wa Mkoa wa Singida, Matthew Mtigumwe.

13Apr 2016
Elisante John
Nipashe
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa vijiji vitano vilivyoko kandokando ya hifadhi hivyo, akiwa na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, Mtigumwe aliagiza watu hao kuhama...

Anne Kilango Malecela na mumewe Mzee John Samuel Malecela.

13Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kilango alivuliwa wadhifa huo juzi, akiwa amekalia kiti hicho kwa siku 27 tangu kuapishwa kwake Machi 15, mwaka huu, hivyo kuwa mkuu wa mkoa aliyeweka rekodi ya kukaa muda mfupi katika historia ya...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju.

13Apr 2016
Restuta James
Nipashe
Miongoni mwa vigogo waliotikishwa na kashfa ya Panama Papers ni Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, ambaye amekiri kunufaika na kampuni ya baba yake iliyosajiliwa nchini Panama. Tayari wananchi...
13Apr 2016
Robert Temaliwa
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe juzi wakati wa kuzindua umoja waliouanzisha kwa lengo la kusaidiana, wazee hao walisema hawafaidiki na matibabu bure kutokana na uhaba wa dawa katika hospitali wanazoenda...

Meneja Masoko wa Airtel, Anethy Muga.

13Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko wa Airtel, Anethy Muga, alisema huduma hiyo mpya ni kwa ajili ya kuwapatia wateja uhuru wa kuchagua na kupanga...

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi.

13Apr 2016
Restuta James
Nipashe
Hata wenyeviti wa vyama vya siasa visivyo hata na mjumbe mmoja wa serikali ya mtaa au kijiji nao walikuwa wanatoa matamko ya kukemea au kuonya. Na katika kukemea kwao, walikuwa wakiegemea upande...

IGP Ernest Mangu.

13Apr 2016
Hekima Akilimali
Nipashe
Masuala mengi yamesikika katika matukio yaliyohusu bomoa bomoa, hasa jijini Dar es Salaam; agizo alilopewa Jaji Mkuu na mahakama anazozisimamia juu ya dhana ya haki; na mtindo wa Rais na wa mawaziri...

Pages