NIPASHE

yanga wakifanya mazoezi.

13Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Timu hizo zinazoshika nafasi ya pili na tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zinashuka kwenye viwanja tofauti kucheza mechi zao za viporo...
Yanga ilikuwa ikitibuana na Al Ahly ya Misri - Klabu Bingwa Afrika na kutoka sare 1-1 na Azam ilitunishiana msuli na Esperance ya Tunisia na wageni kulala 2-1. Siku sita baadaye, timu hizo...

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.

13Apr 2016
Nipashe
Dk. Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa ufunguzi wa kikao cha wakurugenzi wa kampuni za wajasiriamali wadogo zaidi ya 20 na kampuni ya...

Wawakilishi Wa vikundi vya wakulima Wa Chai wilayani njombe.

13Apr 2016
George Tarimo
Nipashe
Akizungumza kwenye uzinduzi wa uvunaji wa chai katika shamba linalomilikiwa na umoja wa wakulima wa chai Igominyi (Itoa), Mwenyekiti Umoja huo, Padre Anord Ngole, alisema tozo hizo pamoja na ukosefu...
13Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Mchakato huo ulianza baada ya Rais Dk. John Magufuli, kuwataka wakuu wapya wa mikoa aliowapisha Machi 15, mwaka huu, kubaini watumishi hewa katika mikoa yao na kuwasilisha taarifa ndani ya siku 15...
13Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mtindo wake huo wa kufanyakazi umeendelea kuwaweka ‘roho juu’ watendaji wa serikali wa ngazi mbalimbali hatua ambayo huenda ikasaidia kuwaamsha wale ambao walizoea kufanya kazi kwa mazoea. Wapo...
13Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Rais Magufuli alitangaza uamuzi huo akisema kuwa hiyo imetokana na mkoa huo kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusiana na watumishi wa umma hewa. Taarifa ya mkoa huo ni utekelezaji wa agizo la Rais...

Mabadiliko ya soko la Hisa.

13Apr 2016
Marco Maduhu
Nipashe
CRDB imekuwa ikikutana na wanahisa wake mara moja kwa mwaka kupeana taarifa mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ununuzi wa hisa pamoja na kusikiliza kero za wateja wao na kuzitatua ili wanufaike...

Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete.

13Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Asema anajiandaa kumuachia chama Magufuli yeye kubaki mzee mashuhuri
Kikwete alistaafu rasmi Novemba 5, mwaka jana baada ya kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli, ambaye anatarajiwa kukabidhiwa Uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Juni, mwaka huu...
13Apr 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Likisomwa na Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad, aliyewania Urais wa Zanzibar na kuamini (hata sasa) kwamba alishinda, tamko hilo linajijenga katika ‘sura’ tatu. Moja ni kwamba...

Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh.

13Apr 2016
Restuta James
Nipashe
Aonya si suala la kwisha leo au kesho, Aonya si suala la kwisha leo au kesho, Kutumbuliwa Anne-Kilango kwapokelewa kwa hisia tofauti..
Utouh ambaye amehudumu kwenye nafasi ya CAG kwa miaka minane mfululizo, aliliambia Nipashe jana kuwa tatizo la watumishi hewa lina sura mbili ambazo zinatakiwa kushughulikiwa na serikali ya awamu ya...
13Apr 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Amri hiyo imetolewa na uongozi wa serikali ya kijiji cha Ntatumbila wilayani Nkasi, Rukwa kutokana na silaha hizo kuhatarisha usalama. Mwenyekiti wa kijiji hicho, Ignas Kanjele, alipiga marufuku...

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Hillary Aesh.

13Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na PAC kutopokea mkataba huo jana baada ya Mwenyekiti wa kamati hiyo, Hillary Aeshi, kufika ofisini kwa Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilillah, kufuatilia mkataba huo kama...

kocha mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo Julio.

13Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Akizungumzia matokeo ya mechi ya robo fainali kati ya Wekundu wa Msimbazi dhidi ya Coastal Union, Julio alisema timu aliyokuwa akiihofia ni Simba, ambayo sasa haipo tena. "Mimi nilikuwa naihofia...

korosho.

13Apr 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe
Akizungumza katika kikao cha pamoja na viongozi na watendaji hao, Luhahula alisema kitendo cha wao kushindwa kuwalipa wakulima fedha hizo kinaonyesha kuwa wamekula kwa sababu wanazozijua wenyewe,...
13Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kati yao, nane wanatoka Nipashe, wanne ITV, wawili The Guardian na EATV na Radio One zikitoa mteule mmoja kila moja. Wateule hao kutoka IPP Media ni Salome Kitomari, Lulu George, Beatrice Shayo,...

naodha wa Azam FC, John Bocco.

13Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza jana, Bocco alisema ushindi wa goli 2-1 walioupata kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Chamazi, utakuwa nguzo ya wao kufanya vizuri kwenye mechi ya marudiano. "...

wachezaji wa simba wakiwa wamepoteza moja ya mchezo wao katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

13Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Simba ilinyukwa 2-1 na Union na kutupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho, ambayo bingwa wake anaiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Wakati Mayanja akiwaangushia...

Kamanda wa Takukuru mkoani Njombe, Charles Nakembetwa.

12Apr 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Kamanda wa Takukuru mkoani Njombe, Charles Nakembetwa, aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa mwishoni mwa wiki. Nakembetwa alisema kuwa fedha hizo nyingi zimeokolewa...
12Apr 2016
Daniel Limbe
Nipashe
Vifo hivyo vimefikisha idadi ya watu watano ndani ya mwezi mmoja, wakitanguliwa na wawili waliokufa Aprili Mosi, mwaka huu, kwenye machimbo mapya ya Busaka. Katika ajali hiyo, mtu mmoja alijeruhiwa...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.

12Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, akiwa katika ziara ya kikazi Wilaya ya Bukombe mkoani Geita. Sambamba na amri hiyo, mifugo yote ya wafugaji ambao...

Pages