NIPASHE

Naibu Waziri wa Afya, Dk.Hamis Kigwangalla

05Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam, Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Profesa Samwel Manyele, alisema nia ya serikali ni kuwabana watabibu hao. Alisema kabla tiba hiyo haijatumika,...

Waziri wa Elimu, Prof.Joyce Ndalichako

05Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Aidha, wanafunzi nao wametakiwa kutoridhika na kiwango wanachopata mashuleni, badala yake wajitume kutafuta elimu zaidi itakayokuwa mwanga wa mafanikio yao ya sasa na baadaye. Wito huo umetolewa...

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu

05Mar 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Mkuu huyo alikuwa akituhumiwa na wanafunzi wa shule hiyo kwa lugha chafu na vitendo vya udhalilishaji kwa kuwachapa viboko visivyokuwa na idadi kinyume na sheria za nchi. Akizungumza na Nipashe...

Jaji Mkuu, Othman Chande (KUSHOTO).

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe juzi jijini, Mariam Meghjee aliyedai kuwa na kesi ya ardhi namba 67 ya mwaka 2010, alisema amekuwa akisuburi kupata nakala ya hukumu yake kutoka Mahakama Kuu kwa mwezi mmoja...

Jaji Patricia Fikirini.

04Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CUF, Amina Mwindau, anayepinga ushindi wa Jumaa Awesso, inasikilizwa na Jaji Patricia Fikirini, ambaye alisema jana kwamba atasikiliza mfululizo....

Mbunge wa Ubungo Chadema, Saed Kubenea.

04Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi watatu wa upande wa Jamhuri. Hakimu Simba alisema ushahidi uliotolewa unaonyesha maswali dhidi...

kocha wa Simba, Jackson Mayanja.

04Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Straika huyo wa kimataifa kutoka Uganda ameponzwa na ujumbe wake wa kumtetea Hassa Isihaka kwenye mtandao wa kijamii.
Jumatatu uongozi wa Simba ulitangaza kumfungia kwa muda usiojulikana Isihaha kwa madai kuwa beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 21 alitoa lugha chafu dhidi ya Mayanja. Na katika kile...

Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.

04Mar 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Ilamico inadaiwa imekuwa ikikusanya ushuru wa soko hilo, lakini inashindwa kuliboresha. Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, baadhi ya wafanyabiashara hao walisema licha ya kutoa ushuru wa...
04Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Ni uamuzi ambao kwa namna moja au nyingine, jamii na uchumi kwa jumla ina maana kubwa katika maisha ya. Benki ya Barclays imekuwa barani humo kwa karne moja sasa. Mchambuzi wa uchumi na raia wa...

Mkurugenzi Mtendaji wa Barcalys Tanzania, Kihara Maina.

04Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Barcalys Tanzania, Kihara Maina, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Maina alisema taarifa za benki hiyo kusitisha...
04Mar 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Na kama tulivyoona huko nyuma kuwa, tunapoongelea dhamana za serikali, tunakuwa tukirejea dhamana za serikali za muda mfupi (Treasury Bills) ambazo huiva kuanzia siku 35, 91, 182 hadi siku 364....
04Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Ripoti za tafiti mbalimbali za kimataifa za hivi karibuni zinaeleza kwamba zaidi ya hekta milioni 203 barani Afrika zinamilikiwa na matajiri wakubwa waliomilikishwa kwa kisingizio cha uwekezaji....
04Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Wamekuwa wakifanyakazi kuhakikisha kwamba wanaweka mambo sawa pale wanapogundua kuna viashiria vya uvunjifu wa amani ndani ya jamii ama kwenye mkusanyiko wa watu. Mfano wa jinsi Polisi...

Kipre Tchetche.

04Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Straika huyo wa Azam FC kutoka Ivory Coast amefunga katika mechi zote mbili zilizopita walizokutana na Wanajangwani.
Straika huyo wa kimataifa kutoka Ivory Coast, ameifunga Yanga katika mechi zote mbili zilizopita ambazo zote walizotoka sare ya 1-1 Dar es Salaam na Zanzibar. Pacha huyo wa Michael Bolou wa Azam...
04Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Kwamba hali hiyo imetokana na jokofu moja kuharibika kwa miaka nane sasa huku moja lililobaki likifanya kazi ‘chemba’ (droo) moja, hali inayosababisha baadhi ya maiti kupangwa mbili mbili katika...

Shaame Ali Mfanyibiashara wa matikiti maji akiwa eneo la Darajani akifanya biashara hiyo. (Picha Na Rahma Suleiman.)

04Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Baada ya kuona mkusanyiko mkubwa katika eneo hilo nilitaka kujua ni kitu gani kinachoendelea, ndipo nikakutana na mfanyabiashara wa matikiti maji, Shaame Ali Saleh akiwa katika harakati za kuuza...

Mbuzi na kondoo wakiwa machinjioni Vingunguti, ambako kuna mgogoro wa wachinjaji. (PICHA NA MTANDAO)

04Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Katika kufanikisha jukumu hilo, kuna watu mahsusi ambao wanawajibika na kuchinja na kuuza nyama mnadani Pugu. Ili kujiweka sawa katika jukumu hilo, wafanyabiashara wanaohusika na uchinjaji, pia...

Twiga Stars.

04Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Stars itaingia uwanjani leo ikisaka kisasi cha kutolewa kwa matuta 4-2 na Wazimbabwe hao katika mashindano ya Cosafa baada ya kutoka sare katika muda wa kawaida wa dakika 90 mwaka juzi. Kocha wa...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki.

04Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Vile vile, kampuni hiyo imejitolea kulea kituo cha watoto wenye mahitaji maalum kilichopo shuleni hapo. Hayo yalisemwa na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Abdul Ngomi, wakati akizungumza na Nipashe...

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamis Kigwangalla.

04Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamis Kigwangalla, alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa wodi ya wagonjwa chini ya uangalizi...

Pages