NIPASHE
04Mar 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Rukwa, Bupe Mwakang'ata, alisema hayo Jumanne wiki hii, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ubaguzi na Unyanyasaji duniani.
Katika hafla hiyo, Mwakang'ata...
04Mar 2016
Nipashe
Mashindano hayo yenye lengo la kuchagua timu ya taifa, yatashirikisha klabu kutoka mkoa wa Pwani, Dar es Salaam na Morogoro ambazo ni mwanachama hai wa Skita.
Rais wa shirikisho hilo, Philip...
04Mar 2016
Juma Mohamed
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Mtwara katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Mashujaa.
Waziri Mkuu alifanya ziara mkoani humu kwa...
04Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hii ni mara ya pili kwa Rais Dk. Magufuli kuwarejesha nyumbani Mabalozi wa Tanzania walioko nchi za nje baada ya muda wao wa mkataba kumalizika.
Ikumbukwe kuwa Januari 25, mwaka huu, Rais Magufuli...
04Mar 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwambisi, Kata ya Kongowe wilayani Kibaha, Salum Mponda, alisema mwili huo ulikutwa juzi majira ya mchana na wafanyakazi wa msitu, waliokuwa wanafyeka ndipo walipotoa taarifa...
04Mar 2016
Mary Mosha
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, Said Mderu, aliwataja watumishi hao kuwa ni Ofisa Kilimo wa Wilaya, Dk, Lalashowi Kweka, Ofisa Rasilimali Watu na Utumishi, Gudila Mashele, Mweka...
04Mar 2016
Richard Makore
Nipashe
Wananchi hao wamefikia hatua hiyo, baada ya kukosa shule kwa zaidi ya miaka mitano.
Mwananchi huyo ambaye hana taaluma ya ualimu, anawafundisha watoto hao bila kutumia mtaala wa elimu wala...
04Mar 2016
Denis Maringo
Nipashe
Fursa hizo zikitumika ipasavyo na wakati huo huo serikali ikatekeleza kwa dhati ukomeshwaji wa kero za rushwa, upendeleo (udugunaizesheni), katika utoaji wa ajira na fursa za biashara, basi kwa...
03Mar 2016
Mary Mosha
Nipashe
Kufuatia hali hiyo, Serikali Mkoa wa Kilimanjaro na Kamati ya Ulinzi na Usalama, imetembelea kiwanda cha sukari cha TPC, na kukuta uzalishaji ukiendelea huku kukiwa na ziada ya tani zaidi ya 22,000...
03Mar 2016
Anceth Nyahore
Nipashe
Amesema serikali imelenga kukuhakikisha mapato yanaelekezwa katika miradi ili kuharakisha maendeleo ya Watanzania kwa kuwahudumia wananchi.
Kauli hiyo aliitoa jana Busega mkoani Simiyu, wakati...
03Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, alisema jana wakati wa kupokea msaada wa Sh. milioni 222.2, zilizotolewa na taasisi ya Baps Chartes ya Dar es Salaam,...
03Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Tukio hilo lilitokea Februari 26, mwaka huu, saa 12.00 jioni katika maeneo ya Manga, Kata ya Funta, Bumbuli wilayani ya Lushoto. ussein aliuawa na kutupa porini.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,...
03Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Migogoro hiyo imesababishwa na uchaguzi wa wenyeviti na mameya wa halmashauri hizo na unakihusisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Hadi sasa...
03Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Msimbazi imemsimamishwa kwa muda usiojulikana beki huyo huku ikitangaza kumlipa nusu mshahara.
Jumatatu uongozi wa Simba ulitaka kumfungia mchezaji huyo na kupendekeza alipwe nusu mshahara kutokana na kile ulichodai kuwa utovu wa nidhamu.
Huku akiomba radhi kwa uongozi, Isihaka (21),...
03Mar 2016
Fatma Amir
Nipashe
Kilevi hicho kina tafsiri pana, mojawapo ni iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Inaanzia na bangi, mirungi na zile ambazo ni tatizo kubwa zinazozalishwa viwandani na zinapatika katika aina...
03Mar 2016
Frank Monyo
Nipashe
Ujenzi wa tangi hilo lililopo eneo la Kibamba jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 90 na litakuwa na uwezo wa kuhifadhi lita milioni 10 za maji ambapo litakuwa na uwezo wa kuhudumia wateja...
03Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pg 21
Tayari imejengeka utamaduni kutoka kwa baadhi ya watu kwamba kila inapofika mwaka mpya, miongoni mwa mikakati ya watu wengi ni namna gani wanavyopunguza uzito ndani ya msimu mpya wa...
03Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Dar es Salaam, ambacho kiliwahusisha wabunge, wakuu wa wilaya, mameya, wahandisi na wadau wengine....
03Mar 2016
Nipashe
Hayo yamo katika ripoti ya tathmini ya hali ya lishe Tanzania kwa mwaka 2014, iliyowasilishwa hivi karibuni na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe, Dk. Joyceline Kaganda, wakati...
03Mar 2016
Nipashe
Mtaalam huyo wa kughani, ameteuliwa kuwania tuzo hizo katika kipengele cha Msanii Bora wa Muziki wa Asili Afrika akichuana na Mathias Walukaga (Uganda), Stanlux (Togo), N’Dulo Kitoxi (Angola), Kandla...