NIPASHE
03Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Dira ya taifa inaweza kufikiwa tu ikiwa watoto wetu watakua wakiwa na afya, wenye kupata lishe bora, elimu bora na kulindwa dhidi ya vurugu, udhalilishaji na unyonyaji.
Kila nchi iliyofikia kuwa...
03Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Sababu ya kujitoa imekuja baada ya chama hicho kuwagawa baadhi ya wanachama wake kikiwataka wachinje ng’ombe wawili kwa siku badala ya ng’ombe 10 waliokuwa wakiwachinja kwa ajili ya wateja wao maalum...
03Mar 2016
Frank Monyo
Nipashe
Unyanyasaji wa kijinsia upo wa aina nyingi na mara nyingi unafanyika bila ya kujali umri wa mtu.
Hivi karibuni katika vyombo vya habari zimeripotiwa taarifa za unyanyasaji wa kijinsia unaofanywa kwa...
03Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Lengo la kuadhimisha siku hiyo ni kukumbusha na kuhamasisha jamii, kuhusu umuhimu wa kutunza na kuhifadhi mazimgira.
Changamoto kubwa kwa karne ya 21 inayokabili nchi zinazoendelea, ikiwamo...
03Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Uchunguzi huo umepangwa kufanyika kwa siku mbili mfululizo mwishoni mwa wiki ijayo.
Aidha, ufadhili huo unafanywa na LAPF ikiwa ni sehemu ya shughuli za mkutano mkuu wa nane wa mfuko huo Machi 10...
03Mar 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe
Mmoja wa wakulima akizungumza na Nipashe kwa niaba ya wenzake, Machite Mwaluko, alisema hawayakatai madeni ya Suma JKT na benki ila serikali iwasaidie kuwaomba wadai hao kuwavumilia kwa muda ili...
03Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Straika huyo wa kimataifa kutoka Kenya, amefunga mabao mawili katika mashindano yote tangu ajiunge na Azam FC.
Kabla ya kufunga bao la pili la Wanalambalamba katika ushindi wao wa 2-1 dhidi ya Panone FC juzi na kuvuka hatua ya 16-bora ya Kombe la Shirikisho, straika huyo wa kimataifa kutoka Kenya, alikuwa...
03Mar 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Wanafunzi hao ambao walikuwa kati ya 106, waliandamana kwenda kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu, kumpelekea malalamiko dhidi ya Makamu Mkuu wa Shule hiyo, Shaibu Champunga, kwa madai kuwa...
03Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kocha huyo raia wa Tunisia, Nizar Khanfir mtihani wake wa kwanza utakuwa katika mechi dhidi ya Yanga mjini Kigali, Jumamosi wiki ijayo.
Taarifa ambazo gazeti hili imezipata jana kutoka Kigali,...
03Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe
Aliyelisoma asema aliletewa bila kujua kama ni halali ama laa, mwanasheria wa jiji adai hajui lilikotoka, Simbachawene avuta pumzi……….
Jana gazeti hili lilimtafuta Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, ambaye alikuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Jumamosi iliyopita, ili kujua alikotoa zuio,...
03Mar 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Hali hiyo inatokana na vijiji vitatu kati ya 12 vinavyomiliki misitu ya hifadhi kuanza kunufaika kwa mauzo ya mazao yanayotokana na rasilimali hiyo.
Mazao hayo ni kama miti na magogo kwa ajili ya...
03Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Watumishi hao ni waliowahi kuhusika na upotevu wa mapato ya serikali hata kama walishaondolewa kazini.
Jafo aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akizungumza na wakuu wa idara...
03Mar 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Sivangilwa Mwangesi, Dk. Kiruswa alidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na mchezo mchafu.
Alisema...
02Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na TTB jijini Dar es Salaam jana ilisema kuwa taasisi hiyo imekuwa ikifuatilia video iliyotumwa katika YouTube https://www.youtube.com/watch?=iveX49WE7fw na...
02Mar 2016
John Ngunge
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa kituo cha kuuza mafuta cha Total kilichopo Makuyuni wilayani Monduli jana, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Francis Miti, alisema...
02Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Ni jambo zuri kwa kuwa linajaribu kufungua vichwa na mawazo ya jamii nzima na kuiweka tayari kuingia katika uchaguzi.
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uwakilishi katika jimbo la Kikwajuni visiwani...
02Mar 2016
Nipashe
Utafiti uliofanywa na taasisi ya ysats.com, umebaini vyombo vya habari navyo vimebadilisha mazingira kwa wafanyabiashara wadogo na kwamba sekta zote zimeguswa na biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa...
02Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
******Wasomi wasema ana kibarua kizito kuushinda mtihani huo.
Baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema kiongozi huyo atakuwa mtegoni baada ya kukabidhiwa wadhifa huo na kwamba baadhi ya watu wanaomuunga mkono kwa sasa, wengine wakiwa si wapenzi wa CCM...
02Mar 2016
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya changamoto ya miji inayokuwa kwa kasi na usimamizi wa sheria za mazingira, Mkurugenzi wa Nemc, Bonaventure Baya, alisema kigogo...
02Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Uamuzi huo ulielezwa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi, baada ya upande wa mashitaka kwa kutumia kifungu cha 98 (a) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kuiomba mahakama kuiondoa...