NIPASHE

02Mar 2016
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Malalamiko hayo yamekuwapo muda mrefu Tanzania Bara na Zanzibar. Malalamiko hayo yanahusu mambo mengi, lakini kwa kutaja baadhi ni kutokuwa na fedha za kutosha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi au...

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars).

02Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Timu hizo zinakutana Ijumaa wiki hii kwenye Uwanja wa Azam, Chamazi, Dar es Salaam. Akizungumza jana jijini, Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura...
02Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Utekelezaji wa makubaliano hayo utaanza utaanza baada ya kukamilika utengenezaji wa vitambulisho maalum kwa waalimu hao. Mwenyekiti wa Chama cha Wasafirishaji Dar es Salaam (Darcoboa), Sabri...

Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui.

02Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Chama hicho sasa kinasema kimechoshwa na maumivu kinayoyapata yanayotokana na vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu. Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui, anataja baadhi ya...

Wahamiaji haramu.

02Mar 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Wahamiaji hao haramu walibainika baada ya majirani wa kijana huyo kutoa taarifa polisi kuwa wana wasiwasi nae kutokana na mara kadhaa kuonekana akirudi usiku na magari makubwa huku akiteremsha...

Rais wa TFF, Jamal Malinzi.

02Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Bingwa wa mashindano hayo, ataiwakilisha Bara kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani. Habari za ndani zinadai kuwa, droo hiyo itaonyeshwa live na kituo cha televisheni...
02Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Wakati Dk Magufuli akikabidhiwa ramsi chama hicho, kuna haja ya kushauri kiundani kwamba ajitahidi asiwe kama waliomtangulia. Miaka 20 iliyopita naweza kusema CCM ilisahau sana shida za...

Ndege ya Fastjet.

02Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na makubaliano hayo, wateja wa fastjet watakaoununua tiketi kupitia Airtel Money, watapata nafasi ya kushinda tiketi ya kusafiri ndani na nje ya nchi kupitia droo ambayo itafanywa kwa miezi...

Francis Cheka baada ya pambano la bondia wa Serbia, Geard Ajetovic.

02Mar 2016
Nipashe
Cheka alishinda kwa pointi katika pambano ambalo mpinzani wake alikataa kukubali matokeo yake. Akizungumza jana, Cheka alisema ataupeleka mkanda huo kwa Magufuli kama alama ya kuitaka Serikali...

Mkurungezi wa Tanesco, Feichesmi Mramba.

02Mar 2016
Kibuka Prudence
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa baada ya wateja wengi kulilalamikia shirika hilo kuwa kukata umeme bila kuwataarifu na kuwasha umeme ghafla, imekuwa ikisababishia kuunguza mali zao zikiwamo redio, televisheni...
02Mar 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Waziri wa wizara hiyo, Charles Kitwanga, amesema kumekuwapo na taarifa zinazothibitisha ongezeko la matumizi ya bodaboda katika vitendo vya uhalifu kama ujambazi, hivyo wahusika katika biashara hiyo...

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. Ashiatu Kijaji.

02Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Mkurugenzi wa Taasisi ya Civil Education Network of Tanzania, Eunice Manamba, wakati wa mafunzo ya kuweka akiba kwa wajasiriamali wa mitaa mitano ya...

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) na Makamu wake wa Kwanza.

02Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yote hii ni katika jitihada za wahenga wetu kujaribu kumtahadharisha mwanadamu kwamba kuna madhara makubwa sana kama kuna jambo au tatizo la kushughulikiwa leo likaachwa mpaka likawa kubwa sana na...

Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar, Hassan Nassor Moyo.

02Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Moyo ameamua kutafuta mustakabali wa mgogoro huo huku wananchi wa Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya kushiriki uchaguzi wa marudio uliopagwa kufanyika Machi 20 mwaka huu. Mazungumzo ya awali...

Kocha wa Timu ya Yanga Hans Van Der Pluijm, akiwaongoza wachezaji wake kutoka uwanjani baada ya kumaliza kwa mazoezi.

02Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Mabingwa hao waliichapa Simba wakitokea kisiwani humo, Jumamosi wanakutana na Azam FC wakitokea huko huko...
Mabingwa Yanga, waliwafunga wapinzani wao wakubwa Simba mabao 2-0, ushindi walioupata wakitokea kisiwani Pemba. Jumamosi hii wanakumbana na Azam FC katika mechi kali ya Ligi Kuu Bara mwaka huu na...

Jaji Mfawidhi Dk. Kiruswa.

02Mar 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Baada ya mgombea ubunge wa Chadema Onesmo Ole Nangole aliyeshinda kuanzisha fujo chumba cha kujumlishia matokeo. Akizungumza mjini hapa jana wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Jaji Mfawidhi wa...

Mzee Selemani Kikwete.

02Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa jana, Rais Magufuli amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo hicho na kwamba anaungana na familia ya...
01Mar 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Wanaume ni kikwazo kwa sababu wao ndio waliolelewa kwa kuaminishwa kuwa bila mwanaume hakuna linalowezekana na kuwa kama mwanamke atafanikiwa katika moja au mawili, basi huyo atakuwa amefanikiwa kwa...
01Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Pande hizo mbili zikishirikiana katika suala hilo, uwezekano wa kuwasaidia watoto kuwa na maendeleo mazuri katika masomo yao ni mkubwa. Pamoja na umuhimu huo, lakini kumekuwapo uzembe kwa baadhi...
01Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Rais John Magufuli, kwa mara ya kwanza atakuwa Mwenyekiti wa mkutano huo wa 17 utakaohudhuriwa na Marais Yoweri Museveni wa Uganda, Pierre Nkuruzinza wa Burundi, Paul Kagame, wa Rwanda na Uhuru...

Pages