NIPASHE

Mjasiriamali akikatiza mitaani kukusanya chupa za plastiki zilizozagaa. Akiinza kazi anakuwa nadhifu baada ya muda anachanganyikiwa na kupoteza muelekeo. PICHA: MTANDAO

09Apr 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Wapo wengine wanaokimbia huko na huko wakiimba na kujitumbuiza kwa kucheza na kupiga makofi. Bila kuwasahau wale wanaofoka, kukimbiza na kugombana na kila mtu anayekatiza mbele yao. Kama kawaida...
09Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Nitapendekeza wanyotolewe roho hadi kudedi kabisaa. Hapa sitasikia stori za haki za binadamu. Kwani washenzi hawa wameua wangapi kwa ukapa wa kutengenezwa? Hivi kweli hawa nao wanahitaji kufaidi...

waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

09Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa aliyasema hayo jana wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), unaofanyika mkoani hapa. Waziri Mkuu Majaliwa alisema haoni sababu ya kuwa na halmashauri...

Stanslaus Mabula wa (CCM) akifurahia ushindi.

09Apr 2016
Masyenene Damian
Nipashe
Kesi hiyo ilifunguliwa Novemba 25, mwaka jana na aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ezikiah Wenje dhidi ya Stanslaus Mabula wa (CCM). Akitoa...

mbeya city.

09Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Phiri amepania kuhakikisha timu yake inaondoka na pointi tatu katika mchezo huo wa ugenini utakaofanyika kwenye Uwanja wa Mkwakwani. Kwa mujibu wa mtandao wa klabu hiyo, daktari wa timu hiyo,...

mbunge wa CCM Viti Maalumu Singida, Aysharose Matembe.

09Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Wakati akiingia madarakani miaka 10 iliyopita, Rais wa nne Jakaya Kikwete aliahidi kutoa Sh. bilioni 1 kila mkoa kwa ajili ya kuwezesha wananchi kiuchumi. Hata hivyo, fedha hizo zilizokuwa maarufu...
09Apr 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Morani ambao kwa asili ni nguvu kazi iliyokuwa na jukumu la kulinda mifugo dhidi ya wanyama wakali kama simba na wezi wa mifugo hiyo, sasa wanaonekana zaidi kwenye biashara za kushona viatu, kuuza...

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP ambaye pia ni mwenyekiti wa TPSF, Dk Reginald Mengi akizungumza katika hafla ya utoaji wa Tuzo ya kimataifa kwa Mshindi Mjasiriamali Kijana.

09Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Mengi, ambaye ni mmoja wa wafanyabiashara wenye mafanikio makubwa barani Afrika, alitoa maelezo hayo wakati akihutubia wajasiriamali wanaochipukia na wanaotamani kuingia katika uwekezaji...

kocha wa Simba Jackson Mayanja.

09Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mayanja alisema kuwa ugumu wa mchezo huo unatokana na hali ya sasa ya wapinzani wao Coastal Union walio kwenye wakati mgumu kushuka daraja. "Mchezo hautakuwa rahisi...tumecheza nao siku chache...

Msemaji wa CCM, Christopher Olesendeka.

09Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Akizungumza na wanazuoni wa ndani na nje ya nchi jijini juzi, Lowassa aliishutumu serikali kuwa inatimua watendaji wabovu bila kufuata taratibu na mfumo wa serikali kuwa chanzo cha rushwa na uzembe...

Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelu 'Julio'.

09Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Julio alisema kuwa hana hofu yoyote na Ndanda FC ambao katika mechi yao iliyopita 'waliwakamata' Azam FC na kutoka nao sare ya 2-2. Julio alisema kuwa licha ya...

Rais Dk. John Magufuli.

09Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
MUDA si mrefu wezi watakuwa wamejulikana na sheria itachukua mkondo wake, wapo watakaosimamishwa kazi, wengine watafukuzwa kabisa...
Hivi karibuni, Rais John Magufuli alisema kuna mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) ambaye anajilipa mishahara 17 ya wafanyakazi hewa. Kwa mujibu wa Waziri wa Utumishi, Angela Kairuki, watumishi...

rais John Magufuli akisaini kitabu cha ikulu.(picha na Maktaba)

09Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa mabadiliko yaliyotangazwa na Ikulu jana, Rais Magufuli amemwondoa Ikulu Gelasius Byakanwa, ambaye alikuwa msaidizi wake wa karibu. Taarifa ya iliyotolewa jana na Kurugenzi ya...
09Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Kwa nini rushwa imekithiri kiasi hiki? Jibu lake ni: “Mwana umleavyo ndivyo akuavyo.” Kwa kawaida mwana (mtoto) hukua jinsi alivyolelewa. Akilelewa vibaya ataishia kuwa na tabia mbaya. Ni methali...
09Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Mechi hiyo itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, tayari imeshavuta hisia, hamu na matamanio kutoka kwa mashabiki. Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ,Yanga inateremka uwanjani leo...

Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Rosemery Senyamule.

08Apr 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Rosemery Senyamule, alisema mradi huo utaenda na ujenzi wa barabara ya kutoka Mpemba hadi Isongole yenye urefu wa kilomita 52 kwa kiwango cha lami na kufungua mpaka wa...

MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Jenerali (mstaafu) Emmanuel Maganga.

08Apr 2016
Pius Jayunga
Nipashe
Alitoa wito huo wakati wa harambee ya kuchangia madawati kwa shule hizo, na kupatikana Sh. 9,128,500 na madawati 5,352 kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo. Alisema baadhi ya shule...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

08Apr 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Aginatha Rutazaa, alisema mafanikio hayo yanatokana na ushawishi walioujenga katika masuala ya utetezi, mapambano ya ugonjwa wa Ukimwi, uongozi na haki za...

Aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro, Innocent Melleck.

08Apr 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mauaji hayo yametokea Aprili 6, aliyeuawa ni Augustino Juma (60), mkazi wa Mrangu Arisi, Wilaya ya Moshi. Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi (ACP), Wilbroad Mtafungwa,...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.

08Apr 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Meli hiyo inatarajiwa kuwa na uwezo wa kubeba abiria 200, mizigo tani 200 na magari 10-15. Meli hiyo ambayo ipo katika hatua za mwisho, inatarajiwa kukamilika mwezi Agosti, mwaka huu, lengo la...

Pages