NIPASHE

Wachezaji wa Yanga

01Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Jangwani imelazimika kurejea Pemba ilikonasa mbinu zilizoipa ushindi dhidi ya Simba katika mechi mbili zilizopita.
Katika miaka ya karibuni, timu hiyo ya Jangwani imeachana na utaratibu wake wa kupiga kambi Bagamoyo mkoani Pwani kabla ya kucheza mechi kubwa na badala yake imekuwa ikijichimbia visiwani Zanzibar...

Wachezaji wa Azam FC

01Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Ikitoka nyuma kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, timu hiyo ya Chamazi ililamizika kufanya kazi ya ziada kwenye uwanja wenye changamoto ya mashimo wa Ushirika. Kikosi cha Wanalambalamba kilichoanza na...

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesera

01Mar 2016
George Tarimo
Nipashe
Akizungumza katika kikao cha baraza hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Ahmad Sawa, alisema Sh. bilioni 39.6 zitatokana na ruzuku ya serikali kuu na Sh. bilioni 4.5...

Waziri wa Viwanda na Biahara, Mhe. Mwijage

01Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akifunga maonyesho ya bidhaa yaliyoandaliwa na Shirika la Viwango Tanzania...

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa

01Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia ametoa agizo la kufungwa kwa maduka yote ya dawa yaliyo nje ya hospitali hiyo kuanzia jana na kumtaka Katibu Tawala wa Mkoa huo, Alfred Luanda, asimamie utekelezaji wa agizo hilo mara moja....

MSIKITI WA HASSAN ENEO LA CHURWI-MKURANGA AMBAO BAADHI YA WATUHUMIWA WA TUKIO LA UJAMBAZI WALIKAMATWA .

01Mar 2016
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti jana katika kijiji cha Churwi kata ya Mtambani Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, wananchi hao walisema majambazi watatu waliuawa katika eneo hilo baada ya...

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI

01Mar 2016
John Ngunge
Nipashe
Ratiba ya shughuli zitakazofanyika mahakamani hapo katika vikao vyake vya kawaida, zinaonyesha kuwa Rais wa mahakama hiyo, Jaji Agostino Ramadhani, tayari amekwishaanza kuongoza vikao vya majaji...

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA

01Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Wakati hali hiyo ikionekana hivyo, Chama cha Walimu nchini (CWT) kimesema kinahitaji kuwapo kwa mkataba wa kimaandishi kati ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Chama Cha Wasafirishaji Dar es Salaam (Darcoboa...

KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas

01Mar 2016
John Ngunge
Nipashe
Wakuu hao wanatarajia kuanza kikao cha kawaida cha Jumuiya hiyo katika mkutano wa 17 kesho. Akizungumzia hali ya ulinzi, Kamanda Sabas alisema: “Tumejipanga wageni wawasili salama, wafanye...

Hassan Isihaka (Mwenye jezi nyekundu)

01Mar 2016
Nipashe
Beki huyo wa kati anadaiwa kumtolea maneno machafu kocha mkuu wa muda wa timu hiyo, Maganda Jackson Mayanja.
Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara jana, kutokana na kitendo hiko kisichokuwa cha kiungwana kinadaiwa kufanywa na Isihaka mbele ya wachezaji wenzake, Kamati...

Bondia Francis Cheka (kulia) akipambana na Geard Ajetovic

29Feb 2016
Nipashe
Pambano hilo la uzito wa kati linalotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani (WBF), lilifanyika usiku wa kuamkia jana jijini Dar es Salaam. Majaji watatu Anthony Lutta, Sako Mtulya na Ibrahim Kamwe...
29Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Mabingwa hao mara 25 wa Tanzania Bara walishinda 1-0 ugenini nchini Mauritius wiki mbili zilizoita kabla ya kuitungua tena timu hiyo kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi. Kwa...
29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mshindi wa mechi hiyo ataungana na timu za Yanga, Ndanda FC, Coastal Union, Tanzania Prisons na Mwadui FC (zilizokuwa tayari zimefuzu kabla ya mechi za jana) kutinga hatua ya robo-fainali ya michuano...

SHOMARI KAPOMBE

29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mchezaji huyo wa zamani wa Simba na FC Cannes ya Ufaransa, amefunga mabao saba katika mechi 19 zilizopita za Ligi Kuu msimu huu.
Katika mwezi huo uliokuwa na raundi tatu, Kapombe, 24. alicheza dakika zote 180 za mechi mbili za timu yake walizotoka sare ya 1-1 dhidi ya African Sports Januari 16 kabla ya kushinda 2-1 Mgambo...

WACHEZAJI WA TIMU YA AZAM

29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mechi hiyo ya hatua ya 16-bora ya michuano hiyo, itakuwa ya kwanza kwa Azam FC kucheza mjini Moshi kutokana na mkoa wa Kilimanjaro kutokuwa na timu Ligi Kuu tangu kikosi cha Wanalambalamba kianze...

KOCHA mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm

29Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Yanga imetinga raundi ya kwanza ya michuano hiyo ikiing'oa Cercle de Joachim ya Mauritius kwa jumla ya mabao 3-0 wakati APR iliyoanza kwa kichapo ugenini, ikisonga mbele kwa jumla ya magoli 4-2....

MRISHO MPOTO

29Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbali na kuiga vionjo vya nje, wamekuwa wakidaiwa pia wakikumbatia tamaduni za kigeni na kusahau za kwao. Kwa upande wake msanii na mtaalam wa kughani ushairi, Mrisho Mpoto naye amepigilia msumari...

Msanii Snura Mushi

29Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Snura alisema kuwa anapokuwa jukwaani huwa hana mchezo na amekuwa akiwachangamsha mashabiki wake kwa kucheza kila aina ya mtindo wa kisasa, lakini ameona kuna haja ya kuongeza vionjo vya asili. "...

Ommy Dimpoz

29Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Ommy Dimpoz ambaye jina lake halisi ni Omary Nyembo, alisema kuwa Trace Urbun walishatangaza kurusha video ya wimbo huo mfululizo kwa wiki nzima kitu ambacho kinaonyesha luninga hiyo imeikubali kazi...

Mwigizaji wa filamu,Mwanaheri Afcely

29Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mtayarishaji na mwigizaji wa filamu nchini, Mwanaheri Afcely ni miongoni mwa wanatambua na kuthamini mchango wa mashabiki wake.Msanii huyo amesema kuwa ana deni kwa mashabiki wake na lazima alilipe...

Pages