NIPASHE

23May 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Imeelezwa kuwa, misaada hiyo yenye thamani ya Sh. milioni 800, itatolewa kwa wakazi wa Dar es Salaam, Pwani na Visiwani Zanzibar kwa lengo la kuunga juhudi za serikali katika kukabiliana na janga la...
23May 2020
Hellen Mwango
Nipashe
Madai hayo yalitolewa jana na Jamhuri katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa maarufu kama ya Mafisadi, iliyoketi chini ya Jaji Immacula Banzi. Wakili wa Serikali...

Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akitoa onyo kwa mwakilishi wa mkandarasi Kampuni ya M/S Nangai Engineering Ltd baada ya kukagua na kutoridhishwa na maendeleo ya kazi ya ujenzi wa Mradi wa Maji wa Vijiji 6 vya Songambele, Mlowa, Majengo, Tambukareli, Zinginali na Itigi katika Halmashauri ya Itigi, mkoani Singida.

22May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Waziri Aweso ametoa agizo hilo baada ya kukasirishwa na utendaji wa wakandarasi wa Kampuni za M/S Nangai Engineering Ltd na M/S Nipo Africa Engineering Ltd wanaosuasua katika utekelezaji wa...

Ndege ya Ethiopia ikiwa tayari kubeba minofu ya samaki.

22May 2020
Neema Emmanuel
Nipashe
Mzigo uliosafirisha ni zaidi ya tani 19 zilizotumia USD 79820 gharama za usafirishaji na kwamba Kampuni ya Victoria Perch Limited ambao wamesafirisha tani 5.4 kwa USD 21,600, Nile Perch Limited...

Mkurugenzi wa Taasisi ya The Desk and Chair Foundatio, Sibtain Meghjee akimkabidhi vifaa hivyo.

22May 2020
Neema Emmanuel
Nipashe
Upasuaji huo umefanyika Mei 20 mwaka huu na kurudisha matumaini mapya kwa mtoto huyo huku Taasisi ya Desk and Chair Foundation ikiendelea kutoa msaada wa matibabu na vifaa wezeshi vya kumsaidia...
22May 2020
Dotto Lameck
Nipashe
Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya Mkurugenzi wa FM Abri, Arifu Abri mwakilishi wa kampuni hiyo, Yusuph Majaliwa amesema lengo la kampuni hiyo ni kuunga mkono jihudi za serikali katika mapambano...
22May 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akisoma mkataba huo bungeni jijini hapa jana, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, alisema kuridhiwa kwa mkataba huo kutaleta manufaa tisa...

Meneja wa CRDB akigawa chakula kwa watoto yatima.

22May 2020
Neema Hussein
Nipashe
Akikabidhi msaada huo leo kwa Shekh Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meneja wa benki hiyo Tawi la Mpanda, Hamad Masoud, amesema watoto hao wanahaki ya kufurahia sikukuu ya Eid kama walivyo watoto wengine...
22May 2020
Augusta Njoji
Nipashe
maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Tahadhari zingine ni kuhakikisha wanafunzi na walimu wanavaa barakoa na kunawa mikono kwa maji tiririka kwenye maeneo yote ya kuingilia shuleni na madarasani....

Waziri wa elimu, Prof. Joyce Ndalichako, picha mtandao

22May 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza leo na Waziri wa elimu, Prof. Joyce Ndalichako, amesema wanafunzi ambao ni wa bweni wanatakiwa kuanza kuripoti Mei 30, mwaka huu ili ifikapo Juni mosi waanze masomo. Ameliagiza Baraza...
22May 2020
Mhariri
Nipashe
Hali hiyo ilijitokeza hivi karibuni kutokana na kasoro zilizojitokeza kuhusiana na utaratibu wa kuwaruhusu madereva wa malori ya mafuta. Kikubwa ni utaratibu wa kuwataka wapimwe kupimo cha virusi...
22May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Walieleza hayo baada ya Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, kuwasha umeme katika kijiji hicho na kukagua maendeleo ya usambazaji, juzi.Walisema, miaka mingi wamekuwa wakipewa ahadi...

Hafla ya mradi unaohamasisha watoto kusoma, kisiwani Pemba. PICHA: MTANDAO

22May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ya simanzi mama hadi mtoto , Faraja uchokonozi wa Tamwa
Mikataba kimataifa, kikanda na kitaifa inaelekeza wajibu wa kila mmoja kuwalinda watoto dhidi ya maovu na haja ya kuwapa huduma stahiki kama elimu, chakula, lishe bora na kuimarishwa kiafya....
22May 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Amesema amefuatilia kwa muda mrefu viwanja hivyo, ikiwamo kumfuata Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Bilinith Mahenge, na Mkurugenzi wa jiji hilo, Godwin Kunambi bila mafanikio. Kutokana na kushindwa...
22May 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Ndege hiyo imewasili zikiwa ni siku chache baada ya kutangaza kufungua kwa anga la Tanzania lililokuwa limefungwa kutokana na ugonjwa wa corona. Sambamba na hilo, Mei 28, mwaka huu, Tanzania...
22May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sehemu nyingine ambazo misaada hiyo imepelekwa ni Taasisi ya Mifupa ya Moi na Taasisi ya Magonjwa ya Moyo ya Jakaya Kikwete.Mbali na dawa hizo, pia Simba na taasisi hiyo wametengeneza mabomba kwa...
22May 2020
Romana Mallya
Nipashe
Aliyasema hayo jana Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, alipowaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni na kuagiza endapo vifaa hivyo vikikutwa na maambukizo ya corona, wahusika washitakiwe kwa...

Sehemu ya korosho ikiwa ghalani Mkuranga, ikifanyiwa ukaguzi na uongozi wa serikali mwaka jana. PICHA: MTANDAO.

22May 2020
Yasmine Protace
Nipashe
•DC: Tunadaiwa Sh. bn. 1 za korosho; Sh. 33 dalili ‘kupigwa’
Ni mwendelezo wa simulizi ya Ijumaa iliyopita kuhusu janga la wakazi kukosa daraja ambalo ni janga la kiuchumi. Kimsingi, wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wakazi wake wakuu ni wakulima na zao lao...

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi, Kanali Denice Mwila (kushoto na shati la kitenge), akipokea madawati 100 kutoka Burute Saccos. Kulia (aliyevaa koti jeusi) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi, Innocent Mkandara. PICHA: LILIAN LUGAKINGIRA

22May 2020
Lilian Lugakingira
Nipashe
• Kusamehe deni ‘waliotumbuliwa’ vyeti , • Mwasisi wake asimulia ilichomfanyia, • Yasaidia madawati 200, kila wilaya 50%
Mkoani Kagera katika wilaya za Bukoba na Missenyi, mwaka 2006, walianzisha Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Walimu na Watumishi wa kada nyingine, kiitwacho Burute Saccos Ltd, kikiwa imara...

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara :PICHA NA MTANDAO.

22May 2020
Faustine Feliciane
Nipashe
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara alisema kuwa ni jambo zuri kwa Yanga kufuata nyayo zao mfumo wa uendeshaji kuzitaka klabu nyingine kufanya mabadiliko hayo ili wasiachane...

Pages