NIPASHE

29Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwa klabu ambazo zina viongozi na mabenchi wa ufundi makini na masuala ya soka ni wakati ambao wameshaanza kuona wachezaji itakaowahitaji kwa ajili ya msimu ujao. Ni wakati ambao timu inayohitaji...

Zinedine Zidane

29Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kocha huyo raia na mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa, alichukua mikoba ya kuinoa timu hiyo kutoka kwa Rafael Benitez aliyetimuliwa Uwanja wa Bernabeu Januari mwaka huu. Tangu alichukua...
29Feb 2016
Nipashe
Wachezaji ni kama wamechanganyikiwa, hawajui nini kinaendelea kuhusiana na hatima ya Kocha Louis van Gaal. Stori zimekuwa nyingi kuhusua hatima ya VCan Gaal, ambaye hata yeye hajaelezwa lolote...
29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Katika mechi 12 zilizopita za Ligi Kuu, timu hizo zimetoka sare mara sita huku kila moja ikishinda mara tatu na kufunga mabao 10.
Kikosi cha matajiri hao wa Chamazi kimeweza kuzipiku Simba na Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi hiyo huku timu hizo kongwe zikifungwa mara kwa mara na timu hiyo changa. Uwezo wao wa kifedha na kuwa...

WACHEZAJI WA ARSENAL

29Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni kama bahati mbaya! Arsenal imepangwa dhidi ya Barcelona ya Hispania -- timu ambayo, hakuna timu nyingine zilizofuzu kwa hatua ya mtoano (16 - bora) Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyotaka kupangwa...

MAKAMU WA RAIS Samia Suluhu Hassan

29Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Hatua hiyo imeelezwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza na viongozi wa serikali, siasa na watendaji wa mkoa wa Tanga, katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani hapa...

Wanafunzi wakipewa mafunzo ya usalama barabarani

29Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
Mafunzo hayo yanafanyika baada ya wilaya hiyo kukabidhiwa vifaa vya kuwawezesha kuvuka barabara ili kukabiliana na tatizo la ajali. Wakati elimu hiyo ikitolewa kwao, yako matukio kadhaa ambayo...

Rais John Magufuli

29Feb 2016
Asraji Mvungi
Nipashe
Rais Magufuli ambaye kwa sasa ndiye Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, jana aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kwenda Arusha kuhudhuria mkutano huo na kupata...

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Khamis Iddi Lila (kushoto).

29Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Lila amesema ana matumaini makubwa ya chama chake kufikia malengo makubwa ya kisiasa visiwani humo baada ya kuibuka mvutano baina ya vyama vikuu vya CCM na CUF juu ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba...

MAKAMU Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi

29Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ushauri huo aliutoa jana alipokuwa akiizindua Jumuiya ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja (JMMK) katika hafla iliyofanyika Malindi, Mkoa wa Mjini Magharibi. Alisema takwimu zinaonyesha wazi...

MBUNGE wa Ubungo Saed Kubenea

29Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kubenea alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na Umoja wa Wamiliki na Wazalishaji wa Unga wa Sembe na Dona (Uwawase) jijini Dar es Salam. Alisema tayari fedha hizo za mfuko wa jimbo zimeshafika na...

Wavuvi wakivua samaki

29Feb 2016
Frank Monyo
Nipashe
Mafunzo hayo ya majaribio yanatarajiwa kuanza Mei, mwaka huu, katika chuo cha Maendeleo ya Uvuvi Mbegani, Bagamoyo, yana lengo la kuongeza ajira na kupunguza uvuvi haramu na uharamia katika Bahari ya...

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro

29Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
mtu anayedaiwa kuwa kinara wa uhalifu huo ametiwa mbaroni baada ya kutajwa na washirika wake, akiwamo aliyekamatwa akiwa anafunga ndoa. Taarifa za uhakika ambazo gazeti hili ilizipata zinaeleza...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

29Feb 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mbowe amedai kuwa Serikali yake ya Awamu ya Tano imekuwa ikiwatimua watumishi mbalimbali wa umma bila kuwapa nafasi ya kuwasikiliza kupitia kampeni ya kupambana na ufisadi, inayotambulishwa kwa...

MKUU WA MKOA KILIMANJARO AMOS MAKALLA

29Feb 2016
Woinde Shizza
Nipashe
“Wanafunzi wanao soma katika shule hii wanatoka vijiji vya mbali sana na wengine hutoka zaidi ya kilometa 15 hivyo inawabidi kuamka saa 11:00 alfajiri na kupitia eneo la msituni,
Hayo yalisemwa na mwalimu mkuu wa shule hiyo, Philip Mzava, wakati akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea mradi wa bweni la wasichana lilojengwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa)...
27Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kiwanda cha Sukari Kilombero, Balozi Ami Mpungwe, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa wazalishaji sukari wamepewa kibali hicho na serikali. Rais John...

Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui.

27Feb 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na wanachama wa Cuf wa Dunga wilaya ya Kati, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui, alisema ana hofu kuwa hawataendelea kuvumilia vitendo hivyo. Mazrui alikuwa kwenye...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe.

27Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Meneja Mkazi wa Jovago Tanzania, Andrea Guzzoni, alisema hayo wakati alipokuwa akitoa ripoti kuhusu utafiti waliofanya kuhusu sekta ya utalii na changamoto zake katika utoaji wa huduma. Alisema...

Ajetovic, akizumgumza na waandishi wa habari.

27Feb 2016
Nipashe
Baada ya mabondia hao kupima afya jana, Cheka aligundulika kuwa na uzito kilo mbili zaidi na kutakiwa kupunguza kufikia kg 76 za mpinzani wake huyo kutoka Serbia. Rais wa WBF, Howard Goldberg,...

Donald Trump.

27Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Trump - ambaye ameshinda chaguzi tatu kati ya hizo nne, ukiwemo ushindi wa kishindo kwenye Jimbo la Nevada – sasa anajiandaa kukabiliana na mahasimu wake kwenye chaguzi 11 wiki ijayo katika kile...

Pages