NIPASHE

27Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Oktoba 2014, Kamati ya Nidhamu ya TFF ilimfungia miaka saba kujihusisha na masuala ya soka mwanasheria huyo aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Klabu ya Simba. Beki wa kati Juma Said,...

Bidhaa feki zikiaribiwa na kalandinga.

27Feb 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Uthibitisho wa hayo ni kiwanda cha kuzalisha chumvi cha Sea Salt Company limited, kilichopo eneo la Saadan, mkoa wa Pwani, kufungwa baada ya kubainika bidhaa inayoingiza haifai kwa matumizi ya...

Aliyekuwa kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.

27Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Aidha, mahakama hiyo imeamuru Nzowa kulipa gharama. Akisoma jana maamuzi ya Mahakama yaliyotolewa na majaji watatu wa vikao vya mahakama ya rufaa vinavyoendelea Jijini Arusha, ambao ni Mwenyekiti...

Mbunge wa Jimbo la Isimani, Wiliam Lukuvi.

27Feb 2016
George Tarimo
Nipashe
Wakizungumza mbele ya Mbunge wa Jimbo la Isimani, Wiliam Lukuvi, wananchi hao walisema wanaishi bila ya chakula kwenye kambi ya muda iliyopo katika kijiji cha Mapogoro. Petro Mbiki ambaye ni mmoja...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani.

27Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akifungua warsha kwa wadau wa mazao ya misitu nchini iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii mjini hapa juzi, Makani alisema serikali ya awamu ya tano imejipanga katika kuhakikisha inaleta...
27Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Kwa mujibu wa wataalam wa historia wanasema, matumizi ya saa yalianza miaka mingi iliyopita. Kipindi hichi ilionekana kama kifaa muhimu cha kutunza muda katika makazi ya watu na mahekalu ya ibada...

Wachezaji wa Yanga wakijifua kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam jana kujiandaa kuikabili Cercle de Joachim. Picha: Michael Matemanga.

27Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Timu hiyo ya Jangwani iinayomkosa straika Donald Ngoma, itachuana na Cercle de Joachim jijini Dar es Salaam
Katika mechi ya marudiano na timu hiyo ya Ligi Kuu ya Mauritius, Yanga inayohitaji sare ushindi au sare ya aina yoyote kutinga hatua ya kwanza ya michuano hiyo, itawakosa viungo Haruna Niyonzima na...

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu.

27Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe juzi, Kaimu Mganga mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk. Nassoro Mzee, alisema ugonjwa huo ambao ulikuwa umepotea katika mkoa wa Dodoma, umerudi kwa kasi katika wilaya hizo ambazo idadi...
27Feb 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Jamaa hakumlazia damu mfalme M7. Alizoza wazi kuwa alichakachua na kuwaburuza wapingaji wake. Kama asemavyo Dk Kanywaji Mugful, Msemakweli ni mpenzi wa Mungu na si Mnafiki. Laiti Mugful angeamua...

Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu.

27Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Vyama hivyo vimesema CCM imeandaa mazingira ya kushinda kwa gharama yoyote na tayari wameshapata taarifa za vurugu zitakazosababisha baadhi ya wapiga kura wa Ukawa kutolewe nje ya ukumbi....

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa), Edda Sanga.

27Feb 2016
Nipashe
Udhaifu huo, imeelezwa, husababisha waathirika wa ubakaji na ulawiti kukosa haki mahakami kwa kesi nyingi kutupwa bila kusikilizwa au kuchukua muda mrefu. Lawama hizo zilitolewa jana na Mkurugenzi...

Marehemu Kassim Said Mapili anayepiga gita.

27Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Kifo cha Mzee Mapili kimetokea ikiwa ni miezi mitatu tangu mkongwe mwingine wa muziki wa dansi, Kasongo Mpinda kufariki dunia mwanzoni mwa Desemba mwaka jana. Mazishi ya gwiji hilo la muziki wa...

Rais Dk. John Magufuli.

27Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Viongozi hao walioibuliwa juzi katika sekta maalumu Ikulu walikuwa na wakati mgumu huo, baada ya Rais John Magufuli kuwataka wawe wametimiza matakwa hayo ya kisheria kwa kwa Secretarieti ya Maadili...

Waziri wa Kilimo Mwigulu Nchemba.

27Feb 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Wakulima hao wameeleza kuwa tayari wafugaji hao wameshafanya makazi ya kudumu na hivyo eneo hilo kushindwa kupangiwa matumizi bora ya ardhi. Akizungumza na waandishi wa habari, kwa niaba ya...

Dereva bodaboda akiwa amepakia mshikaki (Picha kwa hisani ya Blogu ya Newztanzania).

27Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
*Idadi yao sasa ni 60% ya wagonjwa wote
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe hivi karibuni na kuthibitishwa na Mkurugenzi wa MOI, Dk. Othman Kiloloma, umebaini kuwa asilimia 60 ya wagonjwa wote wanaofika kwenye taasisi hiyo kwa ajili ya kupata...
27Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Jumamosi iliyopita Simba na Yanga (watani wa jadi) walipambana Uwanja wa Taifa katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Kama ilivyokuwa duru la kwanza, ni Yanga ndio waliotoka...

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk Ashiatu Kijaji.

27Feb 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Akizungumza katika kikao cha kamati ya ushauri ya wilaya hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Azimina Mbilinyi, alisema kati ya fedha hizo zitatumika kwa ajili ya shughuli ya miradi ya...

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.

27Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Desemba mwaka jana, Makonda alitangaza ujenzi wa shule sita za sekondari katika kata zote ambazo hazina sekondari. Hatua hiyo imelenga kuwezesha wanafunzi 3,000 ambao walifaulu mtihani wa darasa...

Rais John Magufuli.

27Feb 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Ombi hilo limetolewa na wakazi hao mwishoni mwa mafunzo ya siku tatu ya ujasirimali, ambapo walieleza ukosefu wa mitaji ya kuendeleza biashara zao. Mmoja kati ya wanakikundi, Yasinta Kapangamwaka...
26Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Lengo la kutumia kilichokusanywa ni kuweka nidhamu katika matumizi ya fedha za umma sambamba na fedha za makusanyo kutoka vyanzo mbalimbali kuelekezwa katika maeneo ya vipaumbele. Wizara ya Fedha...

Pages