NIPASHE

Shuwea Salum ‘Mama Uji' akiosha vitendea kazi vyake baada ya kumaliza biashara. (PICHA: JUMA MOHAMED).

26Feb 2016
Juma Mohamed
Nipashe
Katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, mtu akimiliki kiwanja au jengo naye ‘huangaliwa mara mbili’ na wenyeji wa mji kwa maana ya kwamba amefanikiwa kimaisha. Miongoni mwa watu hao ambao katika...
26Feb 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Kutokana na changamoto ya ukosefu wa mitaji ya kununulia pembejeo za kilimo zikiwamo dawa na mbegu bora, kuna wananchi masikini wenye ardhi ambayo ingewasaidia kuongeza uchumi wao. Baadhi ya...

kocha wa Simba, Jackson Mayanja.

26Feb 2016
Nipashe
Raia huyo wa Uganda alisema: “Soka lina matokeo matatu; kushinda, kupoteza na kutoka sare. Tumepoteza mchezo dhidi ya Yanga. Hatupaswi kuwaza kipigo hicho, tuna mechi 10 za ligi mbele yetu na michezo...

Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Bunge, Owen Mwandumbya.

26Feb 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Bunge, Owen Mwandumbya, alithibitisha jengo hilo kufanyiwa ukarabati huo na akieleza kwamba halijawahi kukarabatiwa tangu lijengwe takriban miaka 10...

Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni -FIFA, Sepp Blatter.

26Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wagombea watano (hakuna kutoka Afrika), watajipanga jukwaani kujinadi, kisha kupigiwa kura. Ni pamoja na Prince Ali bin al-Hussein, Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa, Gianni Infantino, Tokyo...

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui.

26Feb 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, aliyasema hayo jana wakati akizungumza na wanachama wa kijiji cha Dunga, baada ya kutembelea baraza ya CUF iliyovunjwa na kuchukuliwa bendera za chama...

Donald Ngoma akichanja mbunga.

26Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
*** Nyota hao wataikosa mechi ya kesho ya Klabu Bingwa Afrika pamoja na kiungo Salum Tetela.
Yanga, mabingwa mara 25 wa Tanzania Bara, kesho jioni watakuwa wenyeji wa timu hiyo ya Ligi Kuu ya Mauritius katika mechi ya marudiano ya raundi ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwenye...

Zao la Ufuta.

26Feb 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Malalamiko hayo yametolewa ili kuiomba serikali kuingilia kati mgogoro upangaji bei kiholela baada ya kukosekana kwa bei elekezi ya zao hilo. Mkulima wa ufuta, Joel Ndalu, mkazi wa Wilaya ya...

Yobnesh Yusuf 'Batuli'.

26Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tatizo hili linawakera watu mbalimbali na mmojawapo ni msanii wa Bongo Movie, Yobnesh Yusuf 'Batuli', anaitaka jamii kuunguna na Serikali kupiga vita ya matumizi ya dawa hizo. "Nilishasema awali,...

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

26Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, alisema wanaotaka kujua hatua zinazochukuliwa na serikali kudhibiti mazingira...
26Feb 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Yaani dhamana za serikali za muda mfupi (Treasury Bills) ambazo huiva kuanzia siku 35, 91, 182 hadi siku 364. Pia zipo zile dhamana za serikali za muda mrefu (Treasury Bonds) ambazo huiva kuanzia...

Mbunge wa jimbo Njombe, Edward Mwalongo.

26Feb 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na Wakili wa Serikali Apimark Mabrouk, kuweka mapingamizi mawili baada ya kuleta majibu yaliyoombwa na wakili wa mshitakiwa siku ya kwanza wakati kesi hiyo inatajwa. Wakili wa...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani.

26Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Makani aliyasema hayo juzi wakati alipokuwa akifungua warsha ya wadau wa mazao ya misitu nchini, iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, mjini hapa. Alisema serikali ya awamu ya tano...

Kocha wa Azam FC, Stewart Hall.

26Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Chamazi ililazimishwa suluhu na Prisons juzi huku Erasto Nyoni akilimwa kadi ya njano na kumfanya akose mechi ijayo dhidi ya Yanga.
Mabingwa hao wapya wa Afrika Mashariki na Kati wamefanikiwa kuchukua pointi nne kati ya sita mjini Mbeya msimu huu wakishinda 3-0 dhidi ya Mbeya City kabla ya juzi kubanwa na maafande hao ambao...
26Feb 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Wamesema katika soko hilo lenye zaidi ya wafanyabiashara 70, wanalipa ushuru wa Sh. 200 kila siku, lakini choo kilichopo hakina ubora. Mathalani, wamesema milango ya vyoo vilivyopo humfanya...
26Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Alitamka:"Kutokusanya kodi ni sifa moja ya ‘vi-serikali corrupt’ popote pale. Popote, wala usifikiri ni Tanzania peke yake. "Serikali ‘corrupt’ popote pale haitozi kodi. Serikali ‘corrupt’...

Waziri wa Sheria na Katiba Dk. Harison Mwakyembe.

26Feb 2016
james kuyangana
Nipashe
Kwa sababu kampuni zimetumiwa na wafanyabiashara makini kote duniani kama injini za kujiletea maendeleo ya uhakika na ya haraka, nimeona si vibaya kama ewe msomaji wetu mpendwa ukajiongezea maarifa...
26Feb 2016
Peter Orwa
Nipashe
Mjadala huo ukiangaliwa kwa kina, dhana kuu imesimama katika mazingira ya kulaumu, inakuwaje Mchina kutuongoza na sauti ya malalamiko inapazwa zaidi katika somo la Kiswahili. Naam! Wanamichezo...

Wafanyakazi wa Airtel wakawakabidhi moja ya wajasiliamali wa Dar es Salaam zawadi katika promosheni ya Airtel Fursa.

26Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, Airtel Fursa imewaongezea mbuzi 44 pamoja na vitendea kazi yakiwamo majembe na rato kwa ajili ya kuanza kilimo. Vijana hao watano, waliamua kuungana baada ya kupata mafunzo kwenye mradi wa...

Mkuu wa Wilaya ya Songea, Benson Mpesya.

26Feb 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Songea, Benson Mpesya, alisema Kaijage alikwenda kumuaga ofisini kwake na kumueleza kuwa amepewa barua kutoka wizarani ya kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi kuanzia Februari 24,...

Pages