NIPASHE
18Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mama Janeth alisoma katika shule hiyo tangu darasa la kwanza hadi la saba na baadae kuwa mwalimu kwa miaka 18 katika shule hiyo kabla ya mume wake, Rais John Magufuli, kuchaguliwa kuwa Rais wa...
18Feb 2016
Christina Haule
Nipashe
Kuna usemi wa Kiswahili, ‘hayawi hayawi yamekuwa.’ Wiki iliyopita ilitwaliwa na mjadala wa mitaani na kwenye vyombo vya habari, kutathmini kutumia siku 100 za utawala huo mpya na ahadi za Samia...
18Feb 2016
Nipashe
Matokeo yake, jiji hilo limegubikwa na chakula kuuzwa katika mazingira machafu, baadhi ya waandaaji wa chakula nao wanakiandaa katika mazingira machafu na yanayohatarisha maisha ya mlaji.Kutokana na...
18Feb 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Dk. Mwakyembe aliyasema hayo wakati akijibu malalamiko ya wananchi yaliyojitokeza wakati wa mikutano yake ya kampeni katika ziara yake ya kutembelea wananchi kusikiliza kero zao wilayani Kyela....
18Feb 2016
Elisante John
Nipashe
Azimio hilo lilifikiwa juzi, baada ya kikao cha Halmashauri Kuu cha Wilaya ya Singida Mjini kukutana ili kutathmini hali ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka jana.
Baada ya kufanya...
18Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kwa wale ambao wamekuwa wakiitumia kwa muda mrefu watakubaliana nami kuwa kwa kipindi hicho chote, tangu wasafiri waanze, kuitumia kumekuweko na mabadiliko tele ya muonekano kando kando ya hiyo...
18Feb 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Wakizungumza wakiwa katika ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Rudewa jana, baadhi ya wafugaji hao walisema wiki iliyopita waliitwa katika mkutano wa kijiji na kutakiwa kila mfugaji kuchanga Sh. 100,000 kwa...
18Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Taasisi hiyo iitwayo Sikika, ambayo inafanya kazi katika wilaya 10 nchini, ikiwamo Kondoa mkoani Dodoma ilikoanza mwaka 2011.
Mkurugenzi wa Sikika, Irinei Kiria, anasema mwaka huu wamepanga...
18Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe ofisini kwake jana, Kaimu Meneja wa Tanesco mkoa wa Manyara, Michael Kidoto, alisema shirika hilo limejipanga kusambaza umeme maeneo mapya kuanzia Januari hadi Julai, kwa awamu...
18Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza wakati wa kukabidhi hundi ya msaada huo kwa Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, mbaye aliongozana na wanakijiji hao, Ofisa Uhusiano wa MoDewji Foundation, Zainul Mzige, alisema wamemua...
18Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Katika hali hiyo, mambo 12 yamejitokeza zaidi kama vitu vitakavyotumika kupima hatima ya siku 1,825 (miaka mitano) ambazo kiongozi huyo atakaa Ikulu kwa awamu ya kwanza ya miaka mitano kwa mujibu wa...
18Feb 2016
Mary Mosha
Nipashe
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga na timu yake ya wataalam, kupitia upya kumbukumbu za mkutano mkuu wa kijiji cha Jipe ambao ulitoa...
18Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Sekta hii kimsingi ilipaswa kuwa na muundo wa wizara yake maalum . imekuwa ikitegemea kurudishiwa makombo badala kula vitu stahiki yake, ambavyo serikali imekuwa ikikusanya kupitia uvuvi na wavuvi...
18Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
***Muuguzi aliyeajiriwa anaona, kastaafu haoni na majuto tele
Tangu nikiwa mdogo mwanafunzi wa elimu ya msingi kwa miaka saba yote, eneo la Ilala Sharif Shamba, jijini Dar es Salaam, kila ama nikienda au kurudi shule nilikuwa nakutana na bibi huyo ambaye...
18Feb 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mjini haopa jana, Zonga alisema hata kama CUF haitashiriki uchaguzi wa marudio, hicho si kigezo au sababu ya kuvunjika kwa serikali hiyo.
“Nchi hii si ya CCM wala CUF....
18Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mbali na kazi ambazo wamekuwa wakizifanya baada ya kuanza kutumikia adhabu ya kifungo hicho, pia watakuwa msaada katika kutoa ushauri kwa idara za hospitali hiyo kulingana na taaluma na uwezo wao...
18Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Akizungumza na watumishi wa sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilino wilaya ya Musoma, Prof. Mbarawa amesema kufanya kazi kwa umoja, uadilifu, uwazi na ubunifu kutasababisha kufikiwa kwa malengo hayo...
18Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*** Shirikisho hilo limebaini viashiria vya upangaji matokeo katika mechi za mwisho za ligi hiyo msimu huu zilizozihusisha Geita Gold na Polisi Tabora.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na shirikisho hilo, Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi (Kamati ya Saa 72) iliyokutana juzi kupitia taarifa za mechi mbili za Kundi C la FDL -- JKT...
18Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
WAKATI mwingine ushabiki wa mchezo wa soka ni kama utumwa unaoweza kusababisha madhara makubwa, kikiwamo kifo.
Shabiki mmoja wa Arsenal amelazwa hospitalini na kufanyiwa upasuaji baada ya kuugua...
18Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hizo zitachuana katika mechi hiyo ya pili ya watani wa jadi msimu huu itakayochezeshwa na refa mwanamama Jonesia Rukyaa kutoka Kagera.
Akiwa kambini Morogoro jana mchana, Mganda huyo...