NIPASHE

Bondia Francis Cheka (kulia) akipambana na Geard Ajetovic

29Feb 2016
Nipashe
Pambano hilo la uzito wa kati linalotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani (WBF), lilifanyika usiku wa kuamkia jana jijini Dar es Salaam. Majaji watatu Anthony Lutta, Sako Mtulya na Ibrahim Kamwe...
29Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Mabingwa hao mara 25 wa Tanzania Bara walishinda 1-0 ugenini nchini Mauritius wiki mbili zilizoita kabla ya kuitungua tena timu hiyo kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi. Kwa...
29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mshindi wa mechi hiyo ataungana na timu za Yanga, Ndanda FC, Coastal Union, Tanzania Prisons na Mwadui FC (zilizokuwa tayari zimefuzu kabla ya mechi za jana) kutinga hatua ya robo-fainali ya michuano...

SHOMARI KAPOMBE

29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mchezaji huyo wa zamani wa Simba na FC Cannes ya Ufaransa, amefunga mabao saba katika mechi 19 zilizopita za Ligi Kuu msimu huu.
Katika mwezi huo uliokuwa na raundi tatu, Kapombe, 24. alicheza dakika zote 180 za mechi mbili za timu yake walizotoka sare ya 1-1 dhidi ya African Sports Januari 16 kabla ya kushinda 2-1 Mgambo...

WACHEZAJI WA TIMU YA AZAM

29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mechi hiyo ya hatua ya 16-bora ya michuano hiyo, itakuwa ya kwanza kwa Azam FC kucheza mjini Moshi kutokana na mkoa wa Kilimanjaro kutokuwa na timu Ligi Kuu tangu kikosi cha Wanalambalamba kianze...

KOCHA mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm

29Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Yanga imetinga raundi ya kwanza ya michuano hiyo ikiing'oa Cercle de Joachim ya Mauritius kwa jumla ya mabao 3-0 wakati APR iliyoanza kwa kichapo ugenini, ikisonga mbele kwa jumla ya magoli 4-2....

MRISHO MPOTO

29Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbali na kuiga vionjo vya nje, wamekuwa wakidaiwa pia wakikumbatia tamaduni za kigeni na kusahau za kwao. Kwa upande wake msanii na mtaalam wa kughani ushairi, Mrisho Mpoto naye amepigilia msumari...

Msanii Snura Mushi

29Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Snura alisema kuwa anapokuwa jukwaani huwa hana mchezo na amekuwa akiwachangamsha mashabiki wake kwa kucheza kila aina ya mtindo wa kisasa, lakini ameona kuna haja ya kuongeza vionjo vya asili. "...

Ommy Dimpoz

29Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Ommy Dimpoz ambaye jina lake halisi ni Omary Nyembo, alisema kuwa Trace Urbun walishatangaza kurusha video ya wimbo huo mfululizo kwa wiki nzima kitu ambacho kinaonyesha luninga hiyo imeikubali kazi...

Mwigizaji wa filamu,Mwanaheri Afcely

29Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mtayarishaji na mwigizaji wa filamu nchini, Mwanaheri Afcely ni miongoni mwa wanatambua na kuthamini mchango wa mashabiki wake.Msanii huyo amesema kuwa ana deni kwa mashabiki wake na lazima alilipe...
29Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwa klabu ambazo zina viongozi na mabenchi wa ufundi makini na masuala ya soka ni wakati ambao wameshaanza kuona wachezaji itakaowahitaji kwa ajili ya msimu ujao. Ni wakati ambao timu inayohitaji...

Zinedine Zidane

29Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kocha huyo raia na mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa, alichukua mikoba ya kuinoa timu hiyo kutoka kwa Rafael Benitez aliyetimuliwa Uwanja wa Bernabeu Januari mwaka huu. Tangu alichukua...
29Feb 2016
Nipashe
Wachezaji ni kama wamechanganyikiwa, hawajui nini kinaendelea kuhusiana na hatima ya Kocha Louis van Gaal. Stori zimekuwa nyingi kuhusua hatima ya VCan Gaal, ambaye hata yeye hajaelezwa lolote...
29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Katika mechi 12 zilizopita za Ligi Kuu, timu hizo zimetoka sare mara sita huku kila moja ikishinda mara tatu na kufunga mabao 10.
Kikosi cha matajiri hao wa Chamazi kimeweza kuzipiku Simba na Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi hiyo huku timu hizo kongwe zikifungwa mara kwa mara na timu hiyo changa. Uwezo wao wa kifedha na kuwa...

WACHEZAJI WA ARSENAL

29Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni kama bahati mbaya! Arsenal imepangwa dhidi ya Barcelona ya Hispania -- timu ambayo, hakuna timu nyingine zilizofuzu kwa hatua ya mtoano (16 - bora) Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyotaka kupangwa...

MAKAMU WA RAIS Samia Suluhu Hassan

29Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Hatua hiyo imeelezwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza na viongozi wa serikali, siasa na watendaji wa mkoa wa Tanga, katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani hapa...

Wanafunzi wakipewa mafunzo ya usalama barabarani

29Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
Mafunzo hayo yanafanyika baada ya wilaya hiyo kukabidhiwa vifaa vya kuwawezesha kuvuka barabara ili kukabiliana na tatizo la ajali. Wakati elimu hiyo ikitolewa kwao, yako matukio kadhaa ambayo...

Rais John Magufuli

29Feb 2016
Asraji Mvungi
Nipashe
Rais Magufuli ambaye kwa sasa ndiye Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, jana aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kwenda Arusha kuhudhuria mkutano huo na kupata...

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Khamis Iddi Lila (kushoto).

29Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Lila amesema ana matumaini makubwa ya chama chake kufikia malengo makubwa ya kisiasa visiwani humo baada ya kuibuka mvutano baina ya vyama vikuu vya CCM na CUF juu ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba...

MAKAMU Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi

29Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ushauri huo aliutoa jana alipokuwa akiizindua Jumuiya ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja (JMMK) katika hafla iliyofanyika Malindi, Mkoa wa Mjini Magharibi. Alisema takwimu zinaonyesha wazi...

Pages