NIPASHE

03Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano serikalini, Kadogosa anakwenda kuchukua nafasi ya Mhandisi Elias Mshana anayestaafu hivi karibuni. Imeeleza kuwa kabla ya uteuzi...
03Feb 2016
Nipashe
Hoteli hiyo ijulikanayo kwa jina la Konokono iliyoko Michamvi, mkoa wa Kusini Unguja, inamilikiwa na watu watatu, akiwamo Amina Karume, kwa mara ya kwanza iliungua wiki iliyopita. Akizungumza na...
03Feb 2016
Nipashe
Hiyo imekuwa neema kwa wanariadha wa Tanzania na nchi nyinmgine, ambazo wanariadha wake walikuwa hawajafikia viwango vinavyotambulika na shirikisho hilo. Akizungumza na gazeti hili jana Kaimu Katibu...
03Feb 2016
Nipashe
Kocha wa sasa Louis van Gaal yuko kwenye presha kubwa ya mahitaji ya ushindi na mabadiliko ya uchezaji wa kikosi hicho na mara kadhaa amekuwa akirpotiwa kutaka kutimuliwa. Manchester City wameingia...
03Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Wachezaji hao walikuwa Lubumbasi kwa wiki kadhaa kufanya majaribio ya kucheza soka ya kulipwa na taarifa rasmi ni kwamba wamefuzu. Meneja wa wachezaji hao, Jamal Kisongo alisema jana kuwa amepokea...
03Feb 2016
Nipashe
***Duru la lala salama ligi kuu linaingia raundi ya pili, huku mabingwa watetezi wakiwa Mbeya na Msimbazi wakibaki Dar...
MABINGWA Yanga walipoteza mechi yao ya kwanza msimu huu, huku mahasimu wao, Simba wakishinda mechi ya tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara na leo vigogo hao wanashuka dimbani Mbeya na Dar es Salaam...
03Feb 2016
Nipashe
***Duru la lala salama ligi kuu linaingia raundi ya pili, huku mabingwa watetezi wakiwa Mbeya na Msimbazi wakibaki Dar...
Yanga itakuwa kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya kujaribu kutibu majeraha ya kipigo cha kushtukiza walichokipata kutoka Coastal Union ya Yanga wiki iliyopita. Simba chini ya kocha Jackson Mayanja iko...
03Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mamlaka hiyo ilipewa jukumu la kusimamia utendaji kazi kwa kuzingatia utawala bora na kutunza daftari la taifa la usajili na utambuzi wa taarifa za wahusika kwa maendeleo ya taifa. Serikali...
03Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Mwongozo huo uliowasilishwa juzi bungeni na kuainisha maeneo mbalimbali, ambayo matumizi yatadhibitiwa. Pia unaonesha mwaka ujao wa fedha, serikali imepanga kutumia Sh. trilioni 22.9 kwa matumizi ya...
03Feb 2016
Nipashe
Kadhalika, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa Sh. 55, hivyo kufanya mafuta hayo kuanzia leo kuuzwa kwa bei isiyozidi Sh. 1,842 kutoka Sh. 1,898 kwa lita kama kilivyokuwa ikiuzwa mwezi uliopita...
03Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Taarifa ambazo Nipashe imezipata mjini hapa jana, licha ya kuwapo kwa baadhi ya wajumbe walioomba kuhamishwa kwenye kamati walizopangiwa awali, kumekuwapo na mazungumzo kati ya Kambi ya Upinzani...
03Feb 2016
Nipashe
Vyama hivyo, kikiwamo cha CUF, ndivyo vilivyosimamisha wagombea wa nafasi za urais, uwakilishi na udiwani katika majimbo 54 Unguja na Pemba katika Uchaguzi wa Oktoba 25, mwaka jana, kabla ya matokeo...
03Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
*Wampania kwenye bajeti ya kwanza ya serikali, wasema wakilazimishwa watahamasishana watoke nje ya Bunge
Wabunge hao wametahadharisha kuwa iwapo bajeti hiyo haitaonyesha mpango wowote wa kuanza kwa ujenzi huo, watahakikisha wanaikwamisha. Mwenyekiti wa umoja huo ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige (CCM...
02Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Msimbazi ilishinda mechi zote nne za Ligi Kuu ikifunga mabao 15 katika mechi 9 za mashindano yote pasi na kadi nyekundu hata moja.
Wakati Wanajangwani wakifunga mabao 16 na kufungwa sita katika mechi zote nane walizocheza Januari, wapinzani wao wa jadi walikusanya pointi 12 ndani ya mwezi huo na kujisogeza kwa hatua moja hadi...
02Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
*Kiungo huyo wa kimataifa kutoka Rwanda hakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga katika 12 zilizopita, wakishinda 8, sare 3 na kupoteza moja.
Niyonzima aliyekuwa anasumbuliwa na malaria na UTI, alikosa mechi ya Jumamosi pamoja na wakali wengine kadhaa wa Yanga wakiwamo kiungo Geofrey Mwashiuya na nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' na...
02Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
MARTHA BONAVENTURE
Martha (10) ni mshindi pekee wa kike kitaifa katika mtihani wa darasa la nne, 2015 katika wanafunzi kumi bora. Ni mwanafunzi ambaye sasa ameingia darasa la tano katika Shule ya Msingi Tusiime ya...
02Feb 2016
Nipashe
Shule nyingi za sekondari na msingi zina ukosefu mkubwa wa miundombinu ya kusomea kama vile madawati, vyoo vya kisasa na visima vya maji hali inayosababisha watoto kwenda umbali mrefu kutafuta maji...

Rais wa TFF, Jamal Malinzi.

02Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na TFF, hakuna uhasama kati ya pande hizo mbili bali "mawasiliano yanaendelea kati ya TFF na vyombo husika kuhakikisha ZFA ambaye ni mwanachama mshiriki wa CAF...
02Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Miongoni mwa maeneo hayo ni Magengeni, jirani na hospitali ya Mwananyamala na Makumbusho jijini Dar es Salaam. Yameharibika kiasi ambacho hata gari la wagonjwa likiwa limebeba mgonjwa ili...
02Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Sambamba na hayo, imesema hatua hiyo pia itaondoa ulaghai wa matumizi ya fedha hizo. Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei, alisema jana jijini Dar es Salaam jana kuwa hatua ya serikali...

Pages