NIPASHE

21Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Kutokana na kukua kwa kasi kwa shughuli mbalimbli za kiuchumi , kielimu na mengineyo katika jiji la Dar es Salaam, usafiri wa mabasi ni muhimu kwa watu wa kada tofauti wakiwamo wafanyabiashara,...
21Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Ni jambo la kusikitisha kuwa pamoja na Tanzania kusifiwa duniani kote kwa kuwa nchi ya amani na utulivu, lakini bado suala la Zanzibar limekuwa kitendawili. Tangu kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi...

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja

21Jan 2016
Nipashe
Taarifa ambazo Nipashe imezipata kutoka gerezani humo, zilizoelezwa na wafungwa hao, zilisema tatizo la kupewa chakula kibovu limekuwa la muda mrefu na uongozi wa gereza umekuwa hauchukui hatua kila...

mBWANA SAMATTA

21Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Samatta aliondoka jijini Dar es Salaam jana saa tatu asubuhi akifuatana na mmoja wa viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo inamsaidia kumshawishi mmiliki wa TP Mazembe,...

Wachezaji wa timu ya Yanga

21Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mabingwa Yanga wenye nafasi kubwa ya kushinda mchezo wa leo kutokana na ubora wa kikosi chao kulinganisha na timu hiyo ya Songea, hawatakuwa na mchezaji 'kiraka' Mbuyu Twite na nahodha wao, Nadir...

rais dk.john magufuli akisalimia na wafanyabiashara

21Jan 2016
Nipashe
Wafanyabiashara wanaolengwa kupatiwa mashine hizo katika awamu ya kwanza ni 200,000 wenye maduka ya vipuri, mawakili, maduka ya jumla, wafanyabiashara wakubwa wa mbao, migahawa mikubwa, maduka ya...

fREEMAN MBOWE

21Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, kambi hiyo imepanga kutangaza Baraza lake la mawaziri kivuli Januari 26, mwaka huu. Chanzo kutoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeliambia Nipashe kuwa siku hiyo...

Waziri wa Elimu, Prof.Joyce Ndalichako

21Jan 2016
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako, wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa. Alisema pamoja na serikali kutoa siku saba...

Rais Dk Mohamed Shein na Maalim Seif Shariff Hamad

21Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Maalim Seif alijiondoa katika mazungumzo ya kutafuta maridhiano ya muafaka katika kamati iliyowajumuisha Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...

rais john magufuli

20Jan 2016
Richard Makore
Nipashe
Ni magezi makubwa ambayo hakuna mtu aliyethubutu kuyadharau na wote waliokihama CCM walijiunga moja kwa moja na upinzani hususan Chadema
Ni mageuzi makubwa ambayo hakuna mtu aliyethubutu kuyadharau na wote waliokihama CCM walijiunga moja kwa moja na upinzani hususani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Hatua hiyo ya...

madiwani wa dar es salaam

20Jan 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Uchaguzi huo ulifanyika Jumamosi iliyopita kwa kufuata taratibu ambazo imekuwa zikitumika siku zote za kuwashirikisha wapigakura kata na majimbo husika husika bila kuhusisha wengine kutoka nje ya...

Wabunge wakiwa bungeni

20Jan 2016
Nipashe
Katika vikao hivyo, wananchi watapata fursa ya kuwashuhudia na kuwasikiliza Wabunge wakitoa na kuchangia hoja juu ya masuala mbalimbali pamoja na kuuliza maswali kuhusu kero zinazoihusu jamii....

Theo Walcott

20Jan 2016
Nipashe
Baada ya kutua kwenye klabu hiyo akiwa na umri mdogo na asiye na uzoefu wa kucheza michuano mikubwa, Walcott amejengwa na kuwa mmoja wa mawinga hatari barani Ulaya na sasa ni mchezaji muhimu ndani...

Lionel Messi na Christiano Ronaldo

20Jan 2016
Nipashe
*** Mreno huyo amesema alimsaidia hasimu wake huyo wa muda mrefu kutatua changamoto ya lugha na sasa anasubiri malipo.
Wawili hao wamekuwa mahasimu kwa muda mrefu kutokana na kuzidiana kete katika tuzo mbalimbali za soka, wakitinga fainali ya kusaka mataji nane yaliyopita ya Ballon d'Or. Lakini, akizungumzia...

WACHEZAJI WA SIMBA

20Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Morocco alitua jijini Dar es Salaam wiki iliyopita kwa ajili ya mazungumzo ya mara ya pili na uongozi wa timu hiyo, lakini jana alilazimika kurejea Unguja kuendelea na shughuli zake. Kocha huyo...

Wachezaji wa Azam FC

20Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*** Ligi hiyo iliyoanzishwa 1965, leo inaingia katika raundi ya 15 ikihitimisha mzunguko wa kwanza msimu huu.
Mechi hiyo ya raundi ya 15 ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) itachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni sawa na mechi nyingine nne za leo kukamilisha...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

20Jan 2016
Nipashe
Hatua hiyo imelenga kuhakikisha kwamba wapinzani wanakosa hoja za kuidhoofisha serikali bungeni. Wabunge wa vyama vya upinzani wamekuwa wakiibana serikali kwa kuikosoa na kufichua mianya yote ya...

BOMOABOMOA

20Jan 2016
Nipashe
*Yadaiwa mamia si wahusika, hujiegesha kwenye vibanda mchana, usiku wanayeyuka
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe katika eneo la Mkwajuni, jijini Dar es Salaam, umebaini kuwa matapeli hao wamefikia hatua ya kujenga vibanda kwenye vifusi ambavyo serikali ilibomoa nyumba za...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff.

20Jan 2016
Nipashe
Afanya kikao kizito cha siri Dar na Lowassa,viongozi Ukawa na kupanga mikakati
Mpaka sasa Maalimu Seif, Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein, marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Dk. Salmin Amour Juma, Amani Abeid Karume na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali...
19Jan 2016
Nipashe
Wananchi waliokumbwa na kadhia hiyo walipaaza sauti zao juu wakilalamikia kuvunjiwa nyumba zao, kwa kile walichodai kuwa hawakupewa taarifa yeyote mapema inayowataka kuhama eneo hilo na mamlaka...

Pages