NIPASHE

WAZIRI WA UJENZI, PROF.MAKAME MBARAWA

09Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Maelekezo hayo yalitolewa kwenye mkutano wa kwanza mwaka huu uliofanyika Machi 5, jijini Dar es Salaam kwa kuwakutanisha wadau kujadili maendeleo ya Tazara. Akitoa ufafanuzi baada ya mkutano huo...

MBUNGE WA UKONGA, MWITA WAITARA

09Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Alizitaja mbinu hizo kuwa ni kuahirisha uchaguzi huo mara tatu bila sababu za msingi ikiwamo kisingizio cha zuio la Mahakama kwa ajili ya uchaguzi uliopangwa kufanyika Februari 26 ambalo limebainika...

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Maimuna Tarishi (kushoto) akiwa na Waziri wa wizara hiyo, Prof.Joyce Ndalichako

09Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Katibu Mkuu Wizara hiyo, Maimuna Tarishi, akizungumza katika halfa ya kuwazawadia washindi hao juzi, aliwataka wanafunzi hao kuwa na nidhamu, kuweka bidii katika masomo yao na kuwa waadilifu. “...

Kaimu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch

09Mar 2016
Amri Lugungulo
Nipashe
Kaimu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa watakaopewa mkono wa kwaheri ni waliochangia chama hicho kwa zaidi ya miaka 15. Alisema katika kipindi...

SAID KUBENEA

09Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Katika utetezi wake alioanza kuutoa jana, Kubenea alidai kuwa siku ya tukio, Makonda alimzuia kuzungumza na wananchi waliokuwa wamemwita, akidai kwamba yeye Rais wa Kinondoni na ameshazungumza, hivyo...

WAZIRI WA FYA UMMY MWALIMU

09Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na tatizo hilo, Ummy amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa TWB, Margareth Chacha, kutoa maelezo ndani ya siku tatu kwa nini benki hiyo inatoza riba kubwa zaidi ya asilimia 19 kwa mikopo...

WAZIRI WA TAMISEMI, GEORGE SIMBACHAWENE

09Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Awali ilitarajiwa kuwa jana madiwani wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wangekwenda ofisi za Jiji la Dar es Salaam ili pamoja na mambo mengine, waambiwe tarehe ya uchaguzi lakini hawakutokea...

Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Saimon Sirro

09Mar 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Tukio hilo lilitokea juzi saa tano asubuhi. Majambazi hao walirushiana takriban risasi sita na kufanikiwa kupora fedha hizo. Baada ya majambazi hao kuchukua fedha hizo, mmoja wao ambaye alikuwa na...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akipunga mkono baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Hindu Mandali

09Mar 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Maalim Seif, ambaye jana aliruhusiwa kutoka hospitali, amesema alikuwa anasumbuliwa na uchovu wa safari, baada ya kutoka India, alikokuwa amekwenda kufanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo....

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu

09Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Katika kitengo cha afya, Rais Magufuli alianza kwa kuhakikisha mashine ya ST-Scan, MRI, vitanda, magodoro pamoja na mashuka vinapatikana katika Hospitali ya Muhimbili. Kadhalika, aliagiza...

WAZIRI WA ELIMU, PROF. JOYCE NDALICHAKO

08Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaama jana, Mwenyekiti wa Umoja huo, Jafary Ndege, alisema wanataka chuo hicho kimrejesha masomoni haraka na kwamba ikiwa hawatafanya, hivyo...

MKUU WA MKOA WA MBEYA, ABASS KANDORO

08Mar 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 5:00 asubuhi wakati wanafunzi walipokuwa wamerejea madarasani baada ya mapumuziko. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni hitilafu ya umeme.Bweni hilo, lenye...

JAMES MBATIA

08Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Machi 2, mwaka huu, Mbatia kupitia wakili wake Mohamed Tibanyendera, aliwasilisha mahakamani mapingamizi hayo, akidai maombi ya mshindani wake ya kupinga matokeo yake, hayakusainiwa na wakili na...

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI (IGP) ERNEST MANGU

08Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Wamekuwa wakifanyakazi kuhakikisha kwamba wanaweka mambo sawa pale wanapogundua kuna viashiria vya uvunjifu wa amani ndani ya jamii ama kwenye mkusanyiko wa watu. Mfano wa jinsi Polisi...

George Simbachawene

08Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akifungua mkutano wa Umoja wa Maofisa Elimu wa Mikoa na Wilaya nchini (REDEOA), uliofanyika mjini hapa.Simbachawene alisema ni vyema utatuzi wa madawati katika...
08Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi wa Nida, Modestus Kipilimba, alisema jana kuwa sababu za kufuta mikataba hiyo ni kutokana na kutokuwapo na bajeti ya kutosha ya kuwalipa wafanyakazi hao pamoja kubadilisha mfumo wa...

JULIUS NYERERE

08Mar 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*Mwenyewe asema Rais Magufuli hakuwa na ulazima wa kuendelea naye.
''Watu walipoanza kusemasema, yule waziri alimwandikia Waziri Mkuu barua ya kujiuzulu, lakini Waziri Mkuu kwa jinsi alivyokasirika wala hakumjibu. Alichagua mtu wa kumridhi, wala hakumjibu.” Hayo...
08Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kumbukumbu zangu zinanikumbusha, uliwahi kuwaambia wananchi wote wa Wilaya ya Kinondoni wanaotaka kupima afya zao hususani ugonjwa wa moyo wajitokeze na watapimwa bure, ni kweli ilifanikiwa na...
08Mar 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Ni kitendo kinatakiwa kulaaniwa. Kinahitaji kulaaniwa kwa sababu sio tu kuwa wanawake wanabakwa katika mazingira ya vita,bali hata katika mazingira mengine ili mradi tu wanaume waone kuwa, kuna fursa...
08Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tatizo, kama kawaida ya waandishi na wazungumzaji wengi, ni kutumia maneno yasiyo kwenye msamiati wa Kiswahili au kama yapo, hutumiwa tofauti na maudhui yake. Baadhi ya waandishi, kama walivyo watu...

Pages