NIPASHE

waziri wa mambo ya ndani ya nchi Charles Kitwanga.

23Mar 2016
Samson Chacha
Nipashe
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya, Andrew Satta, alimtaja marehemu huyo kuwa ni Marwa Ryoba maarufu kwa jina la Hamba (24). Kamanda Satta alisema tukio hilo lilitokea juzi usiku...
23Mar 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Kauli mbiu hiyo ilisikika zaidi wakati wa kampeni na iliibuliwa na aliyekuwa mgombea urais wa umoja huo, Edward Lowassa, alisema kuwa endapo Ukawa ingeingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa...

Kipre Tchetche.

23Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Straika huyo wa kimataifa kutoka Ivory Coast, atalazimika kufanyiwa vipimo baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati wa mechi aliyopiga 'hat-trick' dhidi ya Bidvest Wits Jumapili.
Tchetche, kinara wa mabao wa Azam FC msimu huu, alipata majeraha hayo ya enka katika dakika ya 88 baada ya kufunga bao lililokamilisha 'hat-trick' yake na kushindwa kuendelea na mchezo huo na...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ,January Makamba.

23Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Aidha, wakazi wawili wa kijiji hicho wamezikimbia familia zao baada ya kuitwa mahakamani kujibu tuhuma za kutotii amri hiyo ya serikali ya kuchimba vyoo. Kutokana na kutotumia vyoo hivyo...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.

23Mar 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Hata hivyo, kumeibuka na utata kwa upande wa majina ya marehemu hao kutokana kuwa tofauti na yale yaliyokuwa yameandikwa kwenye kitabu cha nyumba ya kulala wageni ya Mexico walimolala kabla ya mauti...

meli ya mv serengeti.

22Mar 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Meli hiyo ambayo ilisimamisha huduma Februari 16 mwaka huu kwa ajili ya matengenezo ya injini ya kulia, ilifungwa baadhi ya vipuri vipya ambavyo viliwasili Mwanza kutoka nje ya nchi kupitia wakala wa...
22Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
‘Lughawiya’ ni taaluma inayoshughulikia uchambuzi wa lugha katika nyanja mbalimbali kama vile sarufi, maana, matamshi na matumizi; isimu. Niliandika maelezo haya kwenye moja ya makala...

Woinde Shisael.

22Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Sms makini zitawaunganisha walimu na wafunzi kupata fursa ya kujadiliana, kushirikiana mawazo, kurejea na kupakua mitihani iliyopita ya Baraza la Taifa la Mitihani na kuwasiliana kwenye mtandao...
22Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jambo baya zaidi katika hilo ni kwamba kwa wale wanaojiuza, baadhi bei yao ni ama mkate mmoja au walau wenye bei ya juu ni sawa na fedha za Kitanzania Sh. 3,000. Kwa kifupi, umaskini unawaingiza...

gali lililokuwa kwenye msafara baada ya kupata ajali.

22Mar 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya asubuhi, wakati kamati hiyo ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bagamoyo, ikiongozwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Suleman Jafo. Kabla ya kupata ajali,...

Nape Nnauye.

22Mar 2016
Nipashe
Baada ya timu hizo kusonga mbele, Yanga itacheza dhidi ya Al Ahly ya Misri, wakati Azam watapepetana na Esperance ya Tunisia. Yanga ilisonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-2 dhidi ya APR ya...

Aliyekuwa mgombea urais, Maalim Seif Sharif Hamad.

22Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Dk. Shein alitangazwa jana na Mwenyekiti wa Zec, Jecha Salim Jecha, kuwa ameshinda uchaguzi huo uliofanyika juzi kwa kupata asilimia 91.4 ya kura zote kisha kumkabidhi cheti cha ushindi. Uchaguzi...

kikosi cha yanga.

22Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yanga itamenyana na wababe wao wa kihistoria katika michuano ya Afrika, Al Ahly katika hatua ya 16-Bora ya Ligi ya Mabingwa Aprili 9 Uwanja wa Taifa kabla ya timu hizo kurudiana jijini Cairo, Misri...
22Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kaulimbiu hiyo ililenga kuelimisha serikali na jamii kwa ujumla kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa sera na mipango inayowekwa kwa kuzingatia haki za wanawake. Nyingine ni kutoa fursa maalum kwa...
22Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Uchaguzi huo ulifanyika kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana kufutwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec), Jecha Salim Jecha, kwa madai kuwa ulijaa kasoro kadhaa...

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lupemba.

22Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Ripoti ya Taasisi ya Takwimu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sanyansi na Utamaduni (Unesco), iliyotolewa mapema mwezi huu inaeleza kuwa wavulana wenye umri huo ni milioni nane ikilinganishwa...

Haruna Niyonzima.

22Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Niyonzima alisema kuwa kikosi cha Yanga msimu huu kimeimarika na wamejipanga kufika mbali kwenye michuano hiyo. "Watu wanaliona jina la Al Ahly ni kubwa, soka sasa hivi limebadilika na Yanga...

Jecha Salim Jecha.

22Mar 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Wamesema ili uweze kuaminika na kukubalika ni lazima mchakato wa uchaguzi uwe jumuishi na unaowakilisha kwa dhati matakwa ya watu. Wakati mabalozi hao wakisema hayo, Rais John Magufuli,...

Jecha Salim Jecha.

22Mar 2016
Richard Makore
Nipashe
Viongozi mbalimbali wa serikali walionekana wakitoka kwenye magari yao na kuingia ukumbini na muda wa kutoka walionekana pia, lakini Jecha alionekana akiwa amekaa meza kuu ukumbini bila kuonekana...

mwanasheria Chriss Peter – Maina.

22Mar 2016
Nipashe
Inapoangaliliwa katika elimu ya juu, suala linaigusa zaidi umma, kwani ndiko ambako wanapatikana wataalam wa kitaifa katika kila nyanja. Katika elimu ya juu, wahusika ni kuanzia wahitimu...

Pages