NIPASHE

WAZIRI KITWANGA

21Mar 2016
Fredy Azzah
Nipashe
alilazimika kuapa mahakamani dakika za mwisho kabla ya siku ya kupiga kura ili jina lake la utani alilopewa na wananchi ‘mawe matatu,’ liingie kwenye karatasi za kupigia kura. Kitwanga tangu...

Mawakala wa vyama wakiwa katika kituo cha kupigia kura cha Forodhani

21Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (Zec) walisema pamoja na vyama kusimamisha wagombea wa urais, uwakilishi na udiwani, CCM...

Makamu wa Rias mstaafu, Dk. Gharib Bilal akipigakura

21Mar 2016
Richard Makore
Nipashe
Juzi, ZEC ilisema watakuwapo waangalizi wa nje kutoka nchi za Jumuiya ya Maendeleo kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Umoja wa Afrika (AU), Commoro na Ubalozi...
21Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Hali ya amani na utulivu ilitanda kuliko uchaguzi wowote uliofanyika tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi huku baadhi ya watu wakisifu hali hiyo. Akizungumza na Nipashe, Naibu Mkurugenzi...

SENDEKA

21Mar 2016
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, alisema Nape ataendelea kuwa na wadhifa wa Katibu wa Itikadi...

Rais John Magufuli

21Mar 2016
Jumbe Ismaily
Nipashe
Fedha hizo zinatolewa ikiwa utekelezaji wa ahadi zilizotolewa na Rais Dk.John Magufuli, wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika Oktoba 25,mwaka jana. Mkuu wa Mkoa wa Singida,Mhandisi...

MWENYEKITI WA CCM TAIFA, Jakaya Kikwete

21Mar 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Amesema kuwa fedha hizo ni zile ambazo zinatolewa na jumuiya na michango kutoka wadau mbalimbali, kwa ajili ya kukiendeleza chama. “Nawataka watendaji wafanye kazi kwa uadilifu mkubwa....

DK SHEIN AKIPIGA KURA

21Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Mgombea huyo alifika kituoni hapo ya saa 1:02 asubuhi akiwa mpigakura wa tano kati ya 350 walioandikishwa katika kituo namba moja cha Shule ya Bungi. Dk. Shein alifika kituoni hapo jana...

PAUL MAKONDA

21Mar 2016
Nipashe
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajia kukutana na klabu za jogging, wasanii na wanamichezo mbalimbali Aprili 7 mwaka huu kwa ajili ya kujadili kuinua viwango vya michezo...

NGOMA

21Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza baada ya mechi yao dhidi ya Yanga juzi, Khanfir, alisema kuwa Ngoma alikuwa na hatari kila alipokuwa na mpira na kumuelezea kuwa ni mchezaji mwenye uzoefu na mashindano ya...

MAYANJA

21Mar 2016
Nipashe
Simba kwa sasa iko kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 57, saba mbele ya Yanga na Azam FC zinazoshika nafasi ya pili na ya tatu, lakini timu hiyo ya Msimbazi...
21Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ni baada ya timu hiyo kufuzu hatua inayofuata ya Kombe la Shirikisho Afrika
Kwa ushindi huo, Azam inasonga mbele kwa jumla ya mabao 7-3, baada ya kushinda mchezo wa kwanza ugenini kwa mabao 3-0. Straika wa kimataifa wa Azam FC kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche alikuwa wa...

Balozi Ombeni Sefue.

19Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe
Sefue ambaye alitumikia nafasi ya ukatibu mkuu kiongozi kwa miezi miwili katika utawala wa sasa wa Rais John Magufuli, alizoeleka kwa ukarimu wake na pia namna alivyokuwa mwepesi kupokea simu na...

Agness Joseph.

19Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni maneno ya muathirika Agness Joseph (16) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili wa Sekondari ya Ilolangulu wilayani Uyui, ambaye ni mjamzito wa miezi mitano. “Nimetimuliwa shuleni baada ya...
19Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Zaidi ya michezo 50, ukiwamo soka hushindaniwa kwenye mashindano haya ya pekee na aina yake. Tanzania ni moja ya nchi zinazotarajia kupeleka wawakilishi watakaoshindana katika michezo hiyo....

Jackson Mayanja.

19Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Msimbazi itaingia kwenye Uwanja wa Mkwakwani leo jioni ikisaka ushindi ili ijitanua kileleni mwa msimamo wa VPL kwa pointi saba.
Licha ya kuwa mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Coastal Union ambayo Mayanja aliinoa kabla ya kujiunga na Simba Desemba mwaka jana, imeweka rekodi ya kuwa timu pekee iliyoshinda dhidi ya...

waziri Charles Kitwanga.

19Mar 2016
Grace Kambaulaya
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Idara ya Uhamiaji, Idara hiyo imefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya maofisa wandamizi katika Ofisi ya Makao Makuu, Mikoa, Wilaya na vituo vya...

Dk. Othaman Kiloloma.

19Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Madaktari hao wametenga siku hiyo ya mapunziko baada ya kubaini ongezeko la idadi ya wagonjwa wenye matatizo ya ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu ambao wanahitaji kufanyiwa upasuaji....

yanga.

19Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mabingwa hao wa Tanzania watakuwa na kibarua kinene cha kulinda utangulizi wa mabao 2-1 waliupata kwenye mechi ya wiki mbili zilizopita kwenye Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda. APR, timu mali ya...

Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akimkabidhi funguo za gari jipya la wagonjwa Mbunge wa Chalinze Ridhiwani.

19Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Gari hilo la kubebea wagonjwa limekabidhiwa kwa niaba ya Rais John Magufuli, na Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo kwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete jijini Dar es Salaam. Akizungumza...

Pages