NIPASHE

uwanja wa taifa.

18May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Katika mahojiano maalum na Nipashe kwenye viunga vya Bunge mjini hapa juzi, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Michezo katika Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Alex Mkenyenge, alisema...

Donald Ngoma na Thaban Kamusoko.

18May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
**Yanga inahitaji sare tu ili itinge hatua ya makundi ya michuano hiyo baada ya ushindi wa nyumbani wa magoli 2-0.
Nyota hao waliukosa mchezo wa awali wa ushindi wa magoli 2-0 nyumbani dhidi ya timu hiyo kutokana na kuwa na kadi mbili za njano walizopata katika michezo miwili mfululizo dhidi ya Al Ahly kwenye...

Haruna Niyonzima

18May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Rwanda (Amavubi) ametajwa kuwa ni bora ukimlinganisha na Mzimbabwe Kamusoko...
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha wa zamani wa Yanga na mchambuzi wa maarufu wa soka nchini, Kenny Mwaisabula amemtaja kiungo Haruna Niyonzima kuwa ndiye kiungo bora kwenye kikosi cha mabingwa...

mfanyabishara wa mafuta mkoa wa mbeya.

18May 2016
Paul Mabeja
Nipashe
Ringo aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana kuhusiana na taarifa zilizopo katika vyombo vya habari zikidai kuwa mafuta ya kula yatapanda bei na kuadimika kama...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akisaidia kusukuma moja ya magari mabovu nane ya ofisi yake ambayo yanapelekwa kufanyiwa matengenezo bure. PICHA: MICHAEL MATEMANGA

18May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Iliyoelezwa kusheheni ukiukwaji Kanuni za Kudumu za Bunge, Kambi hiyo jana iliirejesha 'kiana' taarifa hiyo bungeni mjini hapa. Kabla ya kuwasilishwa kwa hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud.

18May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ikiwamo kufungiwa leseni za biashara visiwani humo. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud, mjini hapa jana baada ya Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif...
18May 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Hapa ninajadili elimu kwa umma, ikiwa ni katikati ya kazi ‘nzuri’ iliyofanywa na inayofanywa na mamlaka hiyo, ingawa ishara kadhaa zimedhihirisha kuwapo mianya iliyochochea ukwepaji kodi. Nikiwa...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

17May 2016
Daniel Limbe
Nipashe
“Tunahitaji kufanya kazi kwa uzalendo wa hali ya juu, tusifanye kazi ya udiwani kwa lengo la kujipatia fedha wakati wananchi wetu wanataabika kwa ugumu wa maisha huku miradi mingi ya maendeleo ikiwa haijakamilika…
Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Christian Manunga, alisema mapato yaliongezeka hadi kufikia asilimia 53.3 kwa kipindi cha miezi...

kiwanda cha urafiki.

17May 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Meneja Rasilimali watu wa kiwanda hicho, Dickson Machilika, alisema watawalipa wafanyakazi 400 waliokwisha chukua majina yao....

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospter Muhongo akijibu swali bungeni.

17May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospter Muhongo, alisema hayo jana wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mpanda Vijijini (CCM), Moshi Kakoso. Mbunge huyo alihoji ni kwa nini miradi hiyo...
17May 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Imepigwa kalenda hadi Mei 30, mwaka huu itakapotajwa tena. Mbali na Tito washtakiwa wengine ni, Mfanyabiashara Kanji Mwinyijuma na Katibu wa Rahco, Emmanuel Massawe. Jana kesi hiyo ilipangwa...

jengo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

17May 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba, kesi hiyo ilipopangwa kutajwa. Wakili wa Serikali Mwandamizi, Salum Mohammed, alidai kuwa kesi hiyo ilipangwa kusikilizwa ushahidi wa...

watoto wa mitaani ambao wametelekezwa na wazazi.

17May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Akijibu swali la Mbunge wa Morogoro Kusini (CCM), Prosper Mbena, alitaka kujua mpango wa serikali wa kuwabaini wanaume hao na kuwafikisha mahakamni kwa kosa la kuwatelekeza watoto na kuwasababishia...
17May 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Wakizungumza katika mkutano wa wakulima, watafiti na maafisa ugani kutoka mikoa sita ya Mbeya, Mtwara, Tabora, Kilimanjaro na Dodoma inayotekeleza mradi huo, walisema utaalamu waliopata kupitia...
17May 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Hadi kufikia mwishoni mwa wiki, hospitali hiyo ilikuwa imebakiwa na uniti 21 tu huku mahitaji yake yakiwa wastani wa kati ya uniti 250 na 300 kwa mwezi za damu. Akizungumza Nipashe mwishoni mwa...

Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka

17May 2016
Felix Andrew
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, alisema mamlaka yake imelifanyia kazi suala hilo kwa mujibu wa kifungu cha 27(5) cha Sheria Na. 8...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

17May 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Ofisa Afya Mkoa wa Kigoma, Shija Ganai, alisema dalili za ugonjwa huo wa ajabu ni kuumwa kichwa, homa ya muda mrefu, maumivu ya viungo, kukohoa, maumivu ya tumbo, mwili kulegea na kuharisha. Ganai...

naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi,Seleman Jafo.

17May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Jafo alisema hayo jana Bungeni mjini hapa, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Lucy Mlowe, aliyetaka kujua serikali ina mpango gani wa kukabiliana na changamoto ya kupunguza...

tiketi za elekroniki

17May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
***Ni zile zilizokuwa zikitolewa viwanjani kwa makubaliano ya TFF na Benki ya CRDB
Katika mahojiano maalum na gazeti hili kwenye viunga vya Bunge mjini hapa mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Michezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Alex Mkenyenge,...

Mrajis wa Elimu Zanzibar Siajabu Suleiman Pandu akiwa ofisini kwake Majestic mjini Zanzibar.

17May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Ina wakazi wapatao 1,303,569 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012. Hata hivyo imekuwa na ongezeko kubwa la shule binafsi za maandalizi, msingi na sekondari.Hali hiyo ni tofauti na miaka 40 iliyopita...

Pages