NIPASHE

Mkuu wa Wilaya akiwa wafundisha wanafunzi wa shule ya Msingi kambarage.

17May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa wilaya hii Farida Mgomi na moja ya mikakati yake ni kuhakikisha kuwa shule zote wilayani humo hakuna watoto wa shule za msingi na sekondari wanaokaa chini kwa kukosa madawati ili kukukuza...
17May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
“Mwanadada nyota wa Tenisi Serena William bado ameonekana kutoteleka baada ya kuachana na Mpenzi wake wa muda mrefu …” Sehemu ingine ya sentensi hiyo yenye maneno 64 bila kituo iliandikwa: “ …...
17May 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Kufikia daraja ya juu pekee haitoshelezi kama mfumo wa elimu haumjengi mhitimu katika kufikiri kwa uyakinifu na kumjengea uwezo wa kujitegemea kimawazo na kuwa mwenye uwezo wa kutatua matatizo....

waziri wa viwanda na biashara, charles mwijage.

17May 2016
Lulu George
Nipashe
Kwa upande wa Mkoa wa Tanga, takriban vyama vya ushirika 76, vimewasilishwa kwa mrajis wa vyama vya ushirika ikiwa ni mapendekezo ya kuvifuta kutokana na kushindwa kufanya kazi zake kwa mujibu wa...
17May 2016
Rose Jacob
Nipashe
Wameshauriwa kuwa kwa kuendeleza kasumba hiyo, wanaweza kuathirika ikiwamo kukabiliana na tatizo la njaa. Akizungumza katika ziara ya kukagua hali ya kilimo wilayani humo, Mkurungenzi Mtendaji wa...
17May 2016
Woinde Shizza
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Chazi Mkumbo, alithibitisha mtuhumiwa huyo kuwa alikamatiwa jijini Dar es Salaam juzi na kusafirishwa hadi mkoani hapa ili kujibu shtaka linalomkabili. Alifafanuwa...
17May 2016
Idda Mushi
Nipashe
Menejimenti ilikuwa imekubali nyongeza ifikie asilimia 2.2 baada ya kuvutana kwenye vikao kwa muda mrefu. Uamuzi huo ni miongoni mwa maazimio ya wafanyakazi waliokutana kiwandani hapo huku...
17May 2016
Abrahamu Ntambara
Nipashe
Imekuwa kero inayofanana na maradhi ya kansa, ambayo tiba yake ni tatizo. Mtu akienda kukagua mahakamani anakutana na kesi nyingi za namna hiyo ambazo hazijafanyiwa maamuzi. Chanzo kikubwa...

Wananchi wakiwa wamefunga barabara ya Mwanza- Magu baada ya daladala kuwagonga wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Isangijo wilayani Magu.

17May 2016
Neema Emmanuel
Nipashe
Ajali hiyo iliyotokea jana saa 1:30 asubuhi katika kivuko cha waenda kwa miguu, ilihusisha gari namba T155 DFX Toyota Hiace daladala inayofanya safari zake kati ya Mwanza na Magu, baada ya...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu

17May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Mbunge wa Viti Maalum, Kemilembe Lwota (CCM), alilifikisha suala hilo bungeni jana na kuitaka serikali itoe tamko kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya wahusika. Kabla ya kuwasilishwa kwa...
17May 2016
Mhariri
Nipashe
Wiki iliyopita tuliandika maoni tukizitahadharisha mamlaka zinazohusika kuhakikisha kwamba zinamaliza kwanza kero zilizobainika wakati wa siku za majaribio ambazo mabasi hayo yalikuwa yanasafirisha...

Naibu wa afya, hamiss kigwangalla.

17May 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Katibu wa Hospitali hiyo, Kilwanila Kiiza, alisema mashine hizo zitafungwa katika maeneo mbalimbali, ikiwamo dirisha la kuchukulia dawa, idara ya mionzi na picha (x-ray), wodi ya watoto , wodi ya...
17May 2016
Stephen Chidiye
Nipashe
Madai hayo yalitolewa juzi na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya, Daniel Nyambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ally Mpenye, walipozungumza katika kikao cha baraza hilo kwenye ukumbi...
17May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Changamoto hizo zilijitokeza jana, ikiwa ni siku saba tangu Mei 10, mwaka huu, mabasi hayo yalipoanza kutoa huduma bure ikiwa sehemu ya majaribio. Tofauti na siku za majaribio, wakati mabasi hayo...

serengeti boys.

17May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shime ambaye kikosi chake kilitoka sare ya 1-1 na Marekani Jumapili ya Mei 15, 2016, leo kinashuka dimbani Tilak Maidan, Vasco jijini Goa kwa ajili ya mchezo huo. Katika mchezo wa Jumapili,...

TIMU ya mpira wa Kikapu ya Savio

17May 2016
Renatha Msungu
Nipashe

Hadi robo ya kwanza inamalizika, Savio walikuwa mbele kwa vikapu 18-8 na waliendelea kupeta na kumaliza nusu ya kwanza wakiwa mbele kwa vikapu 18-16.
Mabingwa hao waliendelea kutawala mchezo katika...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) George Simbachawene

17May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Hayo yalisemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) George Simbachawene katika hotuba yake iliyosomwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick wakati wa ufunguzi wa udhamini wa kampuni...

Maalim Seif Sharif Hamad.

17May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Maalim Seif ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu wa Zanzibar, alitoa tamko hilo jana, alipokuwa katika ziara ya siku tano inayoendelea kisiwani Pemba, kuelezea hali ya kisiasa Zanzibar,...

Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo, Masha Mshomba.

17May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa sasa mfuko huo umeanza kutoa mafunzo kwa madaktari ili watathmini magonjwa yatokanayo kazini. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo, Masha Mshomba, wakati wa...

Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Godbless Lema, akichangia bungeni.

17May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wapinzani watia kwapani hotuba ya Mambo ya Ndani, Lema agoma kuisoma baada ya kutakiwa kuondoa baadahi ya vipengele...
SAKATA la utata wa mkataba wa utekelezaji wa mradi kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises Limited, limeendelea kutikisa nchi, baada ya jana shughuli za Bunge mjini hapa kusimama...

Pages