NIPASHE

16May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Kimahesabu ni kwamba Mgambo Shooting ingebakiwa na pointi zake 24 na kubaki wa mechi moja. Hata kama ingeshinda mechi iliyobaki ingefikisha pointi 27 ambazo zisigemuacha salama. Jumamosi...
16May 2016
Mhariri
Nipashe
Tunachukua nafasi hii kuipongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo. Kama kawaida, ligi inapomalizika timu huanza kujipanga kwa ajili ya usajili wa wachezaji. Uzoefu...

Katibu Mkuu wa Cecafa, Nicholas Musonye

16May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***ZFA iliandika barua Cecafa ikisema imeshindwa kuwa mwenyeji wa michuano hiyo baada ya kukosa Sh. milioni 600 za kulipia gharama za malazi, chakula na usafiri wa ndani...
Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Juni 18 hadi Julai 2 mwakahuu. Akizungumza kwa njia ya simu jana kutoka Nairobi, Kenya, Katibu Mkuu wa Cecafa, Nicholas Musonye...

bondia Thomas Mashali

16May 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Pambano hilo lililokuwa na vuta nikuvute lakini Mashali alionekana kumzidi mbinu mpinzani wake na hatimaye kupata pointi nyingi kutoka kwa majaji wawili kati ya watatu waliosimamia. Jaji wa kwanza...
16May 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Wachezaji waliosimamishwa ni Riziki Juma wa Bandari Tanga kwa kosa la utovu wa nidhamu wakati Joseph Jackson wa JKT yeye ameshiriki ligi zaidi ya mbili katika jiji la Arusha na Dar es Salaam wakati...

Maalim Seif Sharif Hamad.

16May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na watendaji na viongozi wa CUF kutoka Wilaya ya Micheweni katika Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku tano hapa.‘Tukikazana,...

waandishi wa habari wakiwa katika majukumu yao bungeni.picha: maktaba.

16May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Ofisi ya Bunge, Owen Mwandumbya, wakati akitoa mada kwa Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge, kuhusu namna ya kujenga...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London.

16May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia amesema serikali imeamua kupambana na wala rushwa ili kiasi kidogo cha rasilimali kinachopatikana kiwanufaishe wananchi. Majaliwa alisema hayo juzi, alipokuwa akizungumza na Watanzania...

makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu

16May 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kwa mujibu wa Afisa Mawasiliano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), Zablon Bugingo, mkutano huo unatarajia kufunguliwa leo jijini hapa. Alisema mkutano huo unatarajia kushirikisha wadau wa...
16May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Sasa watumishi wa umma wataishi kwa kutegemea mishahara tu, bajeti ya matumizi ya kawaida, mipango ya ulaji yafyekwa...
Watumishi wa umma watalazimika kujibana na kuishi kwa kutegemea mishahara. Hali hiyo inatokana na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara, yanayoendelea kupitishwa bungeni mjini hapa, kukatiwa...

waziri wa elimu, profesa joyce ndalichako.

16May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Kamishna Uhamiaji Mkoa wa Tanga, Andrew Kalengo, wakati akizungumza na Nipashe kuhusu suala zima la wahamiaji haramu. Alisema huwa hawapati ushirikiano...

mkuu wa mkoa wa dar es salaam, paul makonda.

16May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Miongoni mwa kero hizo ni miundombinu, vitendo vya uhalifu na wamiliki wengi wa viwanja vya makazi kutoviendeleza. Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa wa mtaa huo, Abdallah Mindu, alisema kuwa wakazi...
15May 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe
Bila shaka lengo la kuwekwa kwa kituo hicho karibu na hospitali ni kuwasaidia watu wanaokwenda kutibiwa au kuangalia wagonjwa. Hata hivyo, matumizi yake yamegeuka kero kubwa kutokana na madereva wa...
14May 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hayawezi kuvunja mfupa, tena fupa lenyewe la mlevi aliyezoea kila aina ya sulubu kwenye kaya ya sulubishi. Hivyo, kunitukana ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Watukane wasitukane, nitaendelea...
14May 2016
Vivian Machange
Nipashe
Hii ni fenicha muhimu inahitaji uwe makini kuichagua hasa kwa kuangalia rangi na umbo.Muonekano mzuri wa viti hivyo sebuleni kwako ni jambo la kuzingatia ili kuwa na eneo ama chumba maridadi. Kama...

Waziri wa Sheria na Katiba , Dk Harrison Mwakyembe.

14May 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Tena kuna mengine mamilioni hayafikishwi polisi kwa hiyo hali inatisha kwa vile ukweli halisi wa ukatili haufahamiki. Sasa hakuna ubishi Tanzania inaelekea kuwa eneo hatarishi kwa maisha ya...
14May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Hivi karibuni Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), liliipokonya Azam FC alama (pointi) tatu na mabao matatu iliyopata dhidi ya Mbeya City Februari mwaka huu na kuinufaisha timu hiyo ya Mbeya kwa mabao...
14May 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Zaidi ya watu 1,300 wanaoishi katika uwanda wa juu wa safu za milima ya Upare, wanazalisha dawa hizo katika kata 13 za Wilaya ya Same. Ombi hilo lilitolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Same, Herman...

Meneja wa TRA, Abdul Mapembe.

14May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Meneja wa Mamlaka hiyo, Abdul Mapembe, alivitaja viwanda hivyo (majina yamehifadhiwa) kuwa ni kiwanda bubu cha kutengeneza viatu, kiwanda cha bidhaa za ujenzi, na kiwanda cha kutengeneza pombe....
14May 2016
Steven William
Nipashe
Katibu wa Muheza Vijana Saccos, Ramadhani Mzungu, aliyasema hayo wakati akitoa taarifa ya utendaji wa Saccos hiyo jana katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani hapa...

Pages