NIPASHE

Hii ndiyo hali halisi ya adha ya maji katika kata ya Kimara, jijini Dar es Salaam. (PICHA NA MTANDAO)

12May 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Miongoni mwa maeneo yanayonufaika ni katika sekta za elimu, afya, miundombinu, kilimo na uwekezaji katika ustawi wa uchumi wa nchi. Kwa mujibu wa taarifa ya ubalozi wa Kuwait nchini, hiyo ni...

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro, akizungumza kwenye Maadhimisho ya Kupinga Mimba na Ndoa za utotoni. Alilaani tabia ya ‘Sangoma’ kusafisha nyota watoto za mabinti hao, kama maandalizi ya ndoa. (PICHA NA MARCO MADUHU)

12May 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Katika jamii hiyo, ndiko kunakopatikana mila ya kutothamini watoto wa kike na hasa kuwapo dhana kuu ya “wao ni wa kuolewa tu.” Hiyo inawafanya watoto wa kike wawe mbali na fursa ya kupelekwa shule...

Aneth David.

12May 2016
Peter Orwa
Nipashe
Dhana hiyo inapoelekezwa kwa Aneth David, inakuwa na jibu tofauti zaidi, kwani yuko katika jinsia hiyo na ni mpenzi kupindukia wa fani ya sayansi. Akiwa kijana mdogo na kwa muonekano ni “mtu wa ‘...

Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar e s Salaam, Paul Makonda.

12May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hiyo inawafanya wakazi wa jiji wawajibike katika usafi kwa moyo wa kizalendo. Ni falsafa ya kipekee na adimu sana serikalini. Wazo hilo la Makonda bila shaka limepokewa na wananchi na wakurugenzi...
12May 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Makunga aliwapa somo hilo, wakati akifunga mafunzo ya wiki mbili yaliyoandaliwa na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO), yakiwashirikisha wajasiriamali wadogo 50 wa Wilaya za Moshi,...
12May 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza jana wakati wa kukabidhi mikopo hiyo, Mratibu mtetezi wa Kanda ya Ziwa wa mtandao huo, Gaudense Msuya, alisema kila wilaya imepatiwa Sh. milioni 14, kwa Wilaya ya Siha vikundi 14...

shamba la bangi.

12May 2016
Ahmed Makongo
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo, akizungumza wilayani Bunda jana kwenye mikutano ya hadhara, alisema lengo la hatua hiyo ni kutaka kukomesha kilimo cha zao hilo mkoani humo. “Tutatoa kiasi...
12May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Yawezekana mfumo huu mpya wa usafiri, unaweza kuwa mwarobaini wa kukabili adha ya usafiri wa umma uliokuwapo awali katika baadhi ya maeneo, hususan kati ya Kimara, mjini kati Posta hadi Kivukoni....
12May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tuzo hiyo imetolewa na Shirikisho la Usafiri wa Kimataifa wa Anga (IATA) i kwa kuzingatia vigezo vya kimataifa katika kutoa huduma bora katika sekta ya usafiri wa anga. Akizungumza na waandishi wa...

Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya The Guardian Limited, Richard Mgamba.

12May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika taarifa hiyo, Mgamba amesema amefanya mabadiliko ya mfumo wa chumba cha habari kwa magazeti mawili makubwa ya kampuni hiyo, Nipashe na The Guardian. Magazeti mengine yanayozalishwa na The...
12May 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki wa BoT, Marcian Kobello, alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na Nipashe kuhusiana na uvumi huo. Kabello alisema uvumi huo si wa kweli kwa kuwa Bot imetengeneza...

mabasi ya uda.

12May 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Msimamo huo ni mwendelezo wa uliotolewa awali na Baraza la Madiwani wa Jiji hilo Mei 2, mwaka huu, ambalo liliazimia kubatilisha uuzwaji wa hisa zake asilimia 51 zilizouzwa kwa Simon Group kwa kile...

Rais John Magufuli.

12May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika uteuzi huo, Rais amemteua Anna Abdallah (Mbunge Mstaafu) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Makumbusho ya Taifa, Dk. Felician Kilahama (mbobezi katika fani ya misitu) kuwa Mwenyekiti wa...
12May 2016
Mhariri
Nipashe
Hayo yalisemwa na Waziri wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, bungeni mjini Dodoma jana wakati akiwasilisha hotuba yake bungeni kuhusu makadirio ya bajeti ya...

Mohamed dewij

12May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Ni ya Kampuni ya Mohammed Enterprises, mwenyewe adai alikuwa akiipeleka Uganda...
Kukamatwa kwa kampuni hiyo ikiwa imeficha sukari ni muendelezo wa mafanikio ya msako uliomariwa na Rais John Magufuli akiwa ziarani mkoani Manyara, mwishoni mwa wiki iliyopita.Sukari iliyofichwa na...

waziri wa afya ummy mwalimu

12May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mwaka jana, wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli aliahidi kuimarisha huduma za afya nchini ili kila Mtanzania apate huduma bora na za uhakika. Rais Magufuli aliahidi serikali...

rpc mwanza Ahmed Msangi

12May 2016
Renatus Masuguliko
Nipashe
Tukio hilo lililohusisha ndugu watano wa tumbo moja wakiwamo wanafunzi watatu, walivamiwa usiku wa manane na watu wasiojulikana na kuanza kucharangwa mapanga kabla ya kuwamaliza. Mauaji hayo...

kikosi cha yanga

12May 2016
Joseph Kapinga
Nipashe
***Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewapa pongezi rasmi za kutwaa ubingwa huo na kuzishukuru timu nyingine 15 zilizoshiriki ligi hiyo..
Mwanzoni mwa wiki hii baada ya mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, mjini hapa, Msemaji wa Yanga, Jerry Muro alisema ubingwa wao msimu huu ni wa pekee na aina yake, kwa...

majimaji vs simba

12May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sare hiyo ya jana ni ya tano kwa Simba msimu huu na inaifanya ifikishe pointi 59 na kushindwa kuishusha Azam FC yenye pointi 60 iliyokuwa katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo...

rais tff jamal malinzi

12May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
***Rufaa ya klabu hiyo yenye maskani yake Chamazi jijini Dar es Salaam haijapangiwa siku kwa sababu rufaa iliyokatwa ni ya kawaida na si ya maombi ya dharura...
Pazia la Ligi Kuu ya Bara linatarajiwa kufungwa Mei 21 huku tayari Yanga ikiwa imeshatwaa ubingwa. Azam wamekata rufaa katika Kamati ya Rufaa ya TFF ikipinga kupokonywa pointi baada ya timu yake...

Pages