NIPASHE

OMBENI SEFUE

07Mar 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
BAADA ya kuzoeleka kuonekana kwenye vyombo vya habari akitangaza watu ambao uteuzi wao umetenguliwa na Rais John Magufuli, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, naye uteuzi wake umetenguliwa na...
05Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Kwa mujibu wa TFF, mechi za robo-fainali ya michuano hiyo zitaanza kuchezwa wikiendi ya mwisho ya mwezi huu, Geita Gold FC watachuana na wachimba madini wenzao, Mwadui FC kwenye Uwanja wa Kirumba,...
05Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Jamal Malinzi alipata kuwa Katibu Mkuu wa Yanga miaka ya nyuma. Sasa ndiye Rais wa TFF. Vilabu vyote vya kandanda (ikiwamo Yanga) nchini vipo chini ya TFF. Vinapaswa kufuata kanuni zilizowekwa na...
05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ukame unawaumiza wanavijiji kwani huongeza uhaba wa maji ambayo licha ya kujaa ardhini ni vigumu kuyachimba kutokana na gharama kubwa na uduni wa teknolojia, unaokolezwa na umaskini.Hata hivyo, ukame...
05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakazi wa kijiji cha Miima waliaanza kutekeleza azma ya kutumbua majipu mapema mwaka jana, baada ya kubaini uongozi wa Mwenyekiti wa kijiji hicho kuwa sehemu ya wahalifu wa mazao ya misitu na...

Rais Yoweri Museveni

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
kama nchi hiyo itabadili katiba yake kumuwezesha kiongozi huyo abakie madarakani kwa maisha yake yote. Museveni (71), ambaye aliingia madarakani mwaka 1986 na akiwa amejifafanua kwa mataifa ya...

Rais Yoweri Museveni

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
kama nchi hiyo itabadili katiba yake kumuwezesha kiongozi huyo abakie madarakani kwa maisha yake yote. Museveni (71), ambaye aliingia madarakani mwaka 1986 na akiwa amejifafanua kwa mataifa ya...

KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un,

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
katika kukabiliana na vitisho vinavyoongezeka kutoka kwa maadui wake, vyombo vya habari vya serikali vilisema jana. Kauli hizo, zilizotolewa na shirika rasmi la habari la Korea Kusini (KCNA),...
05Mar 2016
Nipashe
kwa mapenzi na uwezo wangu, bila kutegemea kupata faida yoyote wala kusababisha hasara yoyote, kwa mapenzi ya taaluma na taifa, kwa kutambua udhaifu na mianya iliyopo kwenye mfumo wetu mfu, napanga...

Waziri wa Elimu, Prof.Joyce Ndalichako

05Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
*Vyeti bandia vyenye saini ya Prof. Ndalichako kwa 50,000/- *Wahitimu vyuo vikuu wafanyiwa tafiti kwa Sh. 720,000/-, msingi nako balaa, *Necta, TCU wakiri hali ni mbaya
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa siku kadhaa, umebaini kuwapo kwa tatizo kubwa la udanganyifu ikiwamo kuuzwa kwa vyeti bandia vya kumaliza elimu ya sekondari; vinavyoonyesha kuwa vimetolewa na...

Waziri wa Ujenzi, Prof.Makame Mbarawa

05Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Mapema mwezi uliopita Mbarawa aliiagiza Halotel iwe imekamilisha zoezi la kufunga mkongo wa intaneti katika shule tatu za kila wilaya hapa nchini, kama yalivyo masharti ya leseni ya kampuni hiyo...
05Mar 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Bajeti hiyo ilikataliwa baada ya kujadiliwa katika kamati za afya, elimu, ukimwi, uchumi, miundombinu na mazingira na kugundulika kuwa vipaumbele ambavyo vilipaswa kuwamo havikuingizwa. Juma...

mkulima akiuza tangawizi

05Mar 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Hali hiyo imechochea kushuka kwa uzalishaji wa tangawizi kiwandani hapo kutoka tani tisa, hadi kufikia 1.2 kwa siku, huku baadhi ya mitambo inayotumia mafuta machafu ya vilainishi kwa ajili ya...
05Mar 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Inaelezwa kuwa serikali imekuwa ikiwataka wafanyabishara wote wenye vituo vya mafuta kulipia dola 10 za Marekani, kwa kila mita moja ya mraba kwa vituo ambavyo milango ya kuingia na kutoka, kujengwa...

WACHEZAJI WA YANGA NA AZAM WAKIPAMBANA KATIKA MOJA YA MECHI ZA LIGI KUU YA VODACOM

05Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mechi 15 zilizopita kati ya timu hizo Ligi Kuu zimeshindwa kumtoa mbabe, kila timu ikishinda mara tano na kutoka sare mara tano pia.
Mshindi wa mechi hiyo anapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa licha ya timu zote mbili zitakuwa na mechi zingine 10 kabla kumalizika kwa msimu huu. Licha ya Yanga kushinda mechi zote tatu...

Hassan Isihaka (KULIA) akipamba na mchezaji wa Yanga

05Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mapema wiki hii uongozi wa klabu hiyo ulitangaza kumsimamisha beki huyo wa kati Isihaka kwa muda usiojulikana kutokana na kile ulichodai kuwa utovu wa nidhamu ukimtuhumu kutoa ligha chafu dhidi ya...

LIONEL Messi

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mshambuliaji huyo wa kimataifa kutoka Argentina, sasa amefunga mabao 20 katika mechi zote 16 alizocheza mwaka huu.
Ivan Rakitic aliwapa uongozi wa mechi Barcelona katika dakika ya 22 kabla ya Messi kuyafanya matokeo kuwa 2-0 baada ya kugongeana vyema na Neymar dakika saba kabla ya nusu saa ya mchezo. Diego...

KOCHA wa Geita Goldmine FC, Selemani Matola

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Timu hiyo ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL), imeweka rekodi ya kuwa timu pekee ambayo haishiriki Ligi Kuu iliyotinga robo-fainali ya Kombe la FA ikiungana na Azam FC, Coastal Union, Mwadui FC, Ndanda FC...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

05Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati akiwa katika kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, mgombea wa CCM wakati huo, Rais John Magufuli alisema akichaguliwa kuishi katika Ikulu ya Magogoni, hakutakuwa na...

Rais wa Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein

05Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Mlipuko huo ulileta mtafaruku mkubwa kwa wakazi wa eneo zima la nyumba za Maendeleo Michenzani na mitaa ya karibu yake mjini hapa. Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,...

Pages