NIPASHE

Azam FC.

24Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Chamazi imeshinda mechi sita kati ya saba ilizocheza nje ya Dar es Salaam msimu huu, lakini inakutana na Prisons ambayo ina rekodi nzuri dhidi yao.
Mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 16, inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na historia ya timu hizo pamoja na ubora wao. Rekodi za Nipashe zinaonyesha kuwa timu hizo zimekutana mara 11...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Christopher Fuime.

24Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana, wakati majambazi hao walipovamia eneo hilo wakiwa katika pikipiki mbili na gari mbili, huku wakiwataka wateja na wauzaji waliokuwa katika maduka hayo...

Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii katika serikali ya awamu ya nne, Ezekiel Maige.

24Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Katika kesi hiyo, Maige anadaiwa kulipiwa nauli ya safari ya nje na mamlaka hiyo kwa idhini ya Murunya, ambaye sasa ni Mbunge wa Afrika Mashariki. Shahidi wa kwanza katika kesi hiyo, Sezari...

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba.

24Feb 2016
John Ngunge
Nipashe
Walitoa tishio hilo kupitia kwa wakili wao Kampuni ya Uwakili ya Nuclear Law Chambers katika barua yao ya Februari 19, mwaka huu, yenye Kumbukumbu namba NLC/GC/VOL.1/8 kwenda kwa uongozi wa muda wa...
24Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Maneno hayo ama ahadi hizo ni pamoja na kutatua kero za maji nchi nzima ili suala hilo libaki historia, kuijenga viwanda vingi nchi nzima ili kuifanya Tanzania iwe nchi ya viwanda na kutatua...

Balozi mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) hapa nchini, Jean Mutamba.

24Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
“Tutakaa kwa pamoja na Rais kuangalia ni njia gani za kuwasaidia wafanyabiashara hawa ili kuwaondolea vikwazo katika biashara.”, Wakati mwingine, kontena linaweza kufika mapema, lakini unatakiwa kulipia gharama za kuchelewesha. Bado tuna tatizo, wanatupatia muda mchache wa kurudisha kontena bila kujali vikwazo tunavyokutana navyo barabarani.
Alitoa ahadi hiyo jijini Dar es Salaam jana wakati wa halfa ya kumkabirisha. Hafla hiyo iliyoambatana na maombi ya kumuombea balozi huyo afanye kazi zake kwa umakini, pia ilihudhuriwa na wadau...

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi.

24Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Matokeo hayo ya kupangwa, yalizihusisha Geita Goldmine FC ya Geita iliyoibamiza JKT Kanembwa ya Kigoma mabao 8-0, wakati Polisi Tabora wakiifunga JKT Oljoro ya Arusha mabao 7-0. Mechi hizo zilichezwa...
24Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Katika uchaguzi huo uliofanyika juzi na kusimamiwa na Katibu Tapsoa Taifa, Tino Mmasy, nafasi ya Mwenyekiti ilichukuliwa na Said Baghozah, huku Amour Ali, kutoka kampuni ya GBP,a kichaguliwa kuwa...

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Adelhem Meru.

24Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Maonyesho hayo ambayo yameanza leo hadi Jumamosi, yanalenga kuzitambulisha bidhaa za ndani zenye nembo ya Tanzania, ili kukuza soko la kitaifa na kimataifa. Ofisa Mdhibiti Ubora wa Shirika la...

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu.

24Feb 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Nyota huyo anayekipiga na mabingwa wa soka Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), amesema hatasaini mkataba mpya na klabu hiyo ya Lubumbashi mara ule wa sasa utakapokwisha...

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec) Jecha Salum Jecha.

24Feb 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano na Umma wa chama hicho, Hamad Masoud, alidai CUF inatambua kwamba Mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salim Jecha,...

Rais, John Magufuli.

24Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
*Apangua maofisa maeneo nyeti viwanja vya ndege na mipakani
Moja ya idara ambazo maofisa wake watakumbwa katika mabadiliko hayo ambazo zilikuwa uchochoro wa kupitisha dawa za kulevya kwa muda mrefu, wahamiaji haramu na wanyama hai, ni viwanja vya ndege vya...
24Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Tangu aingie madarakani, Dk. Magufuli ameshafanya uamuzi mgumu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) mara mbili, baada ya kujionea uhalisia na kielelezo cha hospitali nyingine zilivyo. Kwa...
24Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Rais Magufuli ambaye aliingia madarakani Novemba 5, mwaka jana, amekuwa akirudia kauli hiyo mara kwa mara anapopata nafasi ya kuzungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. Kauli hii ya Rais...

Stella Jailos aligombea viti maalum Dodoma CCM.

24Feb 2016
Nipashe
Katika ngazi ya urais mwanamke mmoja alijitokeza kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku katika nafasi za ubunge na udiwani idadi ya wanawake na wenye ulemavu ikiwa ndogo. Kwa...

Katibu Mkuu wa Necta, Dk. Charles Msonde.

24Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Huku pia likitaka shule na taasisi zilizokwisha kuvigawa kuhakikisha wahusika wanavirejesha, wadau mbalimbali wa elimu wamekishangaa chombo hicho kwa uamuzi huo. Licha ya Necta juzi kutokuwa wazi...

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali (mstaafu) Issa Machibya.

24Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kufunguliwa kwa tawi hilo wilayani Kakonko kunaongeza mtandao wa matawi ya NMB sasa kufikia 175 nchi nzima. Aidha, hatua hiyo ni kutimiza azma ya benki hiyo kuufikia kila mkoa na kila wilaya hapa...

Walimu na wanafunzi wa Shule ya Kaizirege ya Kagera wakifurahia baada ya kupata taarifa shule yao imekuwa ya kwanza kitaifa matokeo ya kidato cha Nnne 2015/2016.

24Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*Zaanzia nafasi ya 53
Katika kundi la shule zenye watahiniwa zaidi ya 40, kati yake ndipo zilipo nne za serikali zilizofanikiwa kupenya 100 bora. Katika kundi hilo lenye shule 3,452 nchi nzima, shule za serikali...

Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

24Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uteuzi huo ulifanywa mjini Addis Ababa nchini Ethiopia katika kikao cha wakuu wa nchi za Afrika. Kikwete amewashukuru wakuu wa nchi za AU kwa imani kubwa waliyoonyesha kwake pamoja na wadau wa...
24Feb 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Ubia huo wa kampuni hizo mbili ni kupitia huduma ya kifedha ya Airtel Money wenye lengo la kuwawezesha wateja wao kutumia kadi ya kugusisha ijulikanayo kama `Airtel Money Tap Tap ' kufanya malipo ya...

Pages